PreGE2025 Kama uchaguzi utakuwa huru na haki, Makonda hatoboi Arusha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kagombee udiwani Zenj, hakuna ukabila kwenye uzawa, ukipenda Arusha ishi ila usijifanye kwenu, maendeleo hata wazawa wataleta!
 
Si aende kwa ndugulile kule kigamboni.
 
Nani kakudanganya Gambo alichaguliwa ?.
Wizi wa kura kupitia mungu wa Chato ndio ulimfanya mbunge si kura za wananchi.
 
Pamoja na ukabila ni mwiko nchini, ila mzawa ni muhimu kwa nafasi ya udiwani, ubunge, sio U-DC &U-RC , wenzetu wako mbele zaidi uwezi pata udiwani, ubunge wa bara huko Zenj. Sasa huyu Makonda kwao wapi?
Kwani Gambo ni mzaliwa wa Arusha?wacheni ukabila.Walishinda Makongoro Nyerere na Lema kwani ni wazaliwa wa Arusha?
 
Makonda anamiliki depo/ hiadhi za mafuta kule KIGAMBONI pesa amepata wapi ? Huyu ametoka kwao na kandambili leo utajiri huu kaupata wapi?
Ajibu kwanza hilo swali
 
Tuacheni utani,huwezi kufananisha hiyo takataka inayoitwa Gambo na Makonda,Makonda ana upepo na anakubalika kuliko hicho kituko
 
Acha wapambanie ugali wao
 
Makonda kama mamake tu.

No Reforms No Election
 
Kwani huyu Makonda, kwao halisi ni wapi? Alikozaliwa na kukulia?

Maana sielewi, au yeye kila eneo anataka kugombea? Mwaka 2020 aligombea kigamboni, japo alishindwa, ila sahivi kule kupo wazi, ndo rahisi kwake kuchanga karata.

Sasa huko Arusha kutaka vita na Gambo ina husu? Au ametumwa na wenyewe kumuharibia jamaa? Lol
 
Upo sahihi. Makongoro Nyerere alishawahi kuwa mbunge wa Arusha mwaka 1995.
 
Makonda is one of my favorite politician
We need people who can change tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…