PreGE2025 Kama uchaguzi utakuwa huru na haki, Makonda hatoboi Arusha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Gambo hana utu
 
Sasa akìingia Chadema si anaishi kwa itikadi na maadili ya Chadema ?
Unakaza fuvu tu, yaani aingie cdm na awe mwenyekiti, mtu aliezoea kulamba miguu ya watawala aje kua mpinzani wa kuswekwa rumande na kuvurumishiwa mabomu ya machozi badala ya ving'ora, unaona anaweza hayo??
 
Kila binadamu ana uwezo wa kubadilika kulingana na mahitaji ya wakati na mazingira. Kwani Dr Slaa wa Kikwete na Dr Slaa wa magufuli wanafanana ?
 
bora ya makonda kuliko gambi maana hakupata hata kura 100 dhidi ya lema
 
Mtu anakuja miaka 3 anataka na Ubunge hapo!!Ingependeza Wazawa wawakilishe jimbo zao. Makonda aende Kolomije kunamfaa not Arusha mjini.
 
Mtu anakuja miaka 3 anataka na Ubunge hapo!!Ingependeza Wazawa wawakilishe jimbo zao. Makonda aende Kolomije kunamfaa not Arusha mjini.
Mantiki hiyo hiyo kama unatetea ukabila ingemhusu Lema.Amekuwa mbunge Arusha Mjini kwa miaka 10.Kwa fikra zako za ukabila angegombea Hai kwani yeye sio mzaliwa wa Arusha.Pia Makongoro Nyerere angekuwa mbunge wa Butiama. Au fikra zako ni kwa Makonda tu?
 
Makonda anafaa sana kuliko gambo
 
Makonda siyo Mkaazi wala Mzawa wa Arusha. Amepitishwa hapo kikazi. Hao uliiwataja wana Sifa ya Makazi na Uzawa. Basi wewe nyanyuka ulipo nenda ZNZ au Pemba ukatangaze kugombea.
 
Unazuia barabara Kisa kuchoma mishkaki!Pia kwani uhakika wa ubunge ni CCM?
 
Makonda siyo Mkaazi wala Mzawa wa Arusha. Amepitishwa hapo kikazi. Hao uliiwataja wana Sifa ya Makazi na Uzawa. Basi wewe nyanyuka ulipo nenda ZNZ au Pemba ukatangaze kugombea.
Hiyo sio sifa ya ukazi na uzawa ndio vigezo vya kugombea Arusha?Unatakiwa uwe mkazi kwa muda gani?Makonda ameoa Arusha na muda wote kabla ya kuteuliwa kuwa Katibu Mwenezi wa CCM aliishi Arusha.
Yupi niliyemtaja kazaliwa Arusha kama hoja yako muflis ni uzawa?
 
Kama ukiwa huru na haki hapiti basi tutaenda na hiyo plan b.Akhsante kwa tahadhari.
 
Sawa ni Mmasai / Mwarusha. Mpeni hata Mchina mkitaka.
 
Anachokitaka ni kumkomoa gambo mana anajua fisiemu watampitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…