UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Hii ndo ile akili yako unayotumia(ninayoijua) kusoma au leo unaumwa? Nikusaidie kidogo tafuta ujue mchakato ulivyokuwa wa alivyopatikana ARAB CONTRACTOR na pia jifunze historia na vita ya mabwawa mengine duniani (Akasombo,Kabora basa,Tennessee,nk) yalipokuwa yanajengwa na vita vilivyokuwepo ili yasijengwe.arab contractors, ambao ni main contractors hawajawai kujenga kitu kaa ile, so hii ni white elephant project, jiwe alitaka tu kupiga hela, magu alikuwa jambazi la ajabu
Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya kujibu pamoja na menejiment ya Tanesco iliyokuwepo, na pengine hata JPM angekuwepo alistahili kupelekwa kisutu.Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango).
Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya kujibu pamoja na menejiment ya Tanesco iliyokuwepo, na pengine hata JPM angekuwepo alistahili kupelekwa kisutu.
Nilishauri huu mradi mama autupie jicho Kali, hawa jamaa wamekula trilioni mbili, na ujenzi chini ya viwango. Wote tunajua athari za bwawa kubomoka, na kumwaga maji kwenye hifadhi, maji yatafagia viumbe wote pale selous.
Pale Kuna subcontractors wengi akiwepo Humphrey, mwendazake na Kalemani, Wana vikampuni vyao na ndio wamekuwa wanapiga debe ili madebe yao ya unga yaendelee kujaa
Pale Kuna subcontractors wengi akiwepo Humphrey, mwendazake na Kalemani, Wana vikampuni vyao na ndio wamekuwa wanapiga debe ili madebe yao ya unga yaendelee kujaa#uchunguzi ufanyike
Kila siku linabomolewaa na kujazwa upya baadhj ya maeneo hasa kutoka njiapanda ya kijichi kwenda mtonganiHata Mradi wa Ujenzi wa Mwendo kasi wa Mbagala ni ujenzi wa chini ya kiwango ambao sijawahi shuhudia katika ujenzi wowote wa wazi barabarani.... zege linazuiliwa na mirunda...michilizi ya michuzi ya cement kila slub nyufa kibao hakika tumepigwa na tunaendelea kupigwa na wapigaji wanaitwa waheshimiwa... iiiigh
Hata Mradi wa Ujenzi wa Mwendo kasi wa Mbagala ni ujenzi wa chini ya kiwango ambao sijawahi shuhudia katika ujenzi wowote wa wazi barabarani.... zege linazuiliwa na mirunda...michilizi ya michuzi ya cement kila slub nyufa kibao hakika tumepigwa na tunaendelea kupigwa na wapigaji wanaitwa waheshimiwa... iiiigh
Ni jambo la ajabu sana kama kweli ujenzi uko chini ya kiwango na kama kweli tulikuwa tunadanganywa. Wahusika watoke waje watwambie ukweli kuhusu mradi huu. Kumekuwa na sababu nyingi zilizotolewa kuhusu kuchelewa lakini hakuna hata moja inayoonekana kuwa ya kweli. Ukiacha kuchelewa, linapokuja suala la ujenzi chini ya kiwango, tutegemee maafa makubwa katika historia ya nchi ikitokea likabomoka. Mungu atunusuru habari hizi zisiwe za kweli.Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango).
Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya kujibu pamoja na menejiment ya Tanesco iliyokuwepo, na pengine hata JPM angekuwepo alistahili kupelekwa kisutu.
Nilishauri huu mradi mama autupie jicho Kali, hawa jamaa wamekula trilioni mbili, na ujenzi chini ya viwango. Wote tunajua athari za bwawa kubomoka, na kumwaga maji kwenye hifadhi, maji yatafagia viumbe wote pale selous.
Pale Kuna subcontractors wengi akiwepo Humphrey, mwendazake na Kalemani, Wana vikampuni vyao na ndio wamekuwa wanapiga debe ili madebe yao ya unga yaendelee kujaa
Msukuma mjinga sana.Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango).
Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya kujibu pamoja na menejiment ya Tanesco iliyokuwepo, na pengine hata JPM angekuwepo alistahili kupelekwa kisutu.
Nilishauri huu mradi mama autupie jicho Kali, hawa jamaa wamekula trilioni mbili, na ujenzi chini ya viwango. Wote tunajua athari za bwawa kubomoka, na kumwaga maji kwenye hifadhi, maji yatafagia viumbe wote pale selous.
Pale Kuna subcontractors wengi akiwepo Humphrey, mwendazake na Kalemani, Wana vikampuni vyao na ndio wamekuwa wanapiga debe ili madebe yao ya unga yaendelee kujaa
Vitu vingine kama hujui kaa kimya.arab contractors, ambao ni main contractors hawajawai kujenga kitu kaa ile, so hii ni white elephant project, jiwe alitaka tu kupiga hela, magu alikuwa jambazi la ajabu
Sio itachukua muda mrefu, kiuhalisia haiwezekani kabisa.Mtu mweusi kuendelea kiuchumi itamchukua muda mrefu sana.
Tafadhali mpe heshima yake yule sio Musukuma ni Dr Musukuma.Huyo Msukuma anajua kutofautisha kati ya mradi kuwa nyuma ya muda na mradi kuwa chini ya kiwango?
Hivi, Karibu 90% ya watanzania mmelogwa?
Utawezaje kumwamini Msukuma?
Hiyo tume iliyokwenda kuchunguza hilo ni tume ipi na iliundwa na Nani?
Ujinga mtupu
Wewe ni mpuuzi, bishaarab contractors, ambao ni main contractors hawajawai kujenga kitu kaa ile, so hii ni white elephant project, jiwe alitaka tu kupiga hela, magu alikuwa jambazi la ajabu
Hilo bwawa linapigwa vita sana
Na wanajifanya hawalipigi vita wakati kila kitu kipo wazi, soon watasitisha ujenzi na kuliacha magofu ndani ya maji.
Hii ndiyo dunia.
Wakti jpm yuko hili bunge lao la hovyohovyo hawakusema haya walikua kimya,huo mradi ni ufisadi mtupu kuanzia kuvuna miti waliokata na kujenga...ccm ni genge la majambazi narudia tena ccm ni genge la majambaziLeo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango).