Kama ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere uko chini ya viwango, Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi

arab contractors, ambao ni main contractors hawajawai kujenga kitu kaa ile, so hii ni white elephant project, jiwe alitaka tu kupiga hela, magu alikuwa jambazi la ajabu
Hii ndo ile akili yako unayotumia(ninayoijua) kusoma au leo unaumwa? Nikusaidie kidogo tafuta ujue mchakato ulivyokuwa wa alivyopatikana ARAB CONTRACTOR na pia jifunze historia na vita ya mabwawa mengine duniani (Akasombo,Kabora basa,Tennessee,nk) yalipokuwa yanajengwa na vita vilivyokuwepo ili yasijengwe.

Sent from my SM-T515 using JamiiForums mobile app
 
Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango).

Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya kujibu pamoja na menejiment ya Tanesco iliyokuwepo, na pengine hata JPM angekuwepo alistahili kupelekwa kisutu.
Nilishauri huu mradi mama autupie jicho Kali, hawa jamaa wamekula trilioni mbili, na ujenzi chini ya viwango. Wote tunajua athari za bwawa kubomoka, na kumwaga maji kwenye hifadhi, maji yatafagia viumbe wote pale selous.

Pale Kuna subcontractors wengi akiwepo Humphrey, mwendazake na Kalemani, Wana vikampuni vyao na ndio wamekuwa wanapiga debe ili madebe yao ya unga yaendelee kujaa

Hata Mradi wa Ujenzi wa Mwendo kasi wa Mbagala ni ujenzi wa chini ya kiwango ambao sijawahi shuhudia katika ujenzi wowote wa wazi barabarani.... zege linazuiliwa na mirunda...michilizi ya michuzi ya cement kila slub nyufa kibao hakika tumepigwa na tunaendelea kupigwa na wapigaji wanaitwa waheshimiwa... iiiigh
Kila siku linabomolewaa na kujazwa upya baadhj ya maeneo hasa kutoka njiapanda ya kijichi kwenda mtongani
 
Lete picha ya iyo substandard kt barabara ya mwendokas uko mbagala o.w ni umbea tu kama wa bi. hadija kopa
Hata Mradi wa Ujenzi wa Mwendo kasi wa Mbagala ni ujenzi wa chini ya kiwango ambao sijawahi shuhudia katika ujenzi wowote wa wazi barabarani.... zege linazuiliwa na mirunda...michilizi ya michuzi ya cement kila slub nyufa kibao hakika tumepigwa na tunaendelea kupigwa na wapigaji wanaitwa waheshimiwa... iiiigh
 
Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango).

Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya kujibu pamoja na menejiment ya Tanesco iliyokuwepo, na pengine hata JPM angekuwepo alistahili kupelekwa kisutu.
Nilishauri huu mradi mama autupie jicho Kali, hawa jamaa wamekula trilioni mbili, na ujenzi chini ya viwango. Wote tunajua athari za bwawa kubomoka, na kumwaga maji kwenye hifadhi, maji yatafagia viumbe wote pale selous.

Pale Kuna subcontractors wengi akiwepo Humphrey, mwendazake na Kalemani, Wana vikampuni vyao na ndio wamekuwa wanapiga debe ili madebe yao ya unga yaendelee kujaa
Ni jambo la ajabu sana kama kweli ujenzi uko chini ya kiwango na kama kweli tulikuwa tunadanganywa. Wahusika watoke waje watwambie ukweli kuhusu mradi huu. Kumekuwa na sababu nyingi zilizotolewa kuhusu kuchelewa lakini hakuna hata moja inayoonekana kuwa ya kweli. Ukiacha kuchelewa, linapokuja suala la ujenzi chini ya kiwango, tutegemee maafa makubwa katika historia ya nchi ikitokea likabomoka. Mungu atunusuru habari hizi zisiwe za kweli.
 
Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango).

Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya kujibu pamoja na menejiment ya Tanesco iliyokuwepo, na pengine hata JPM angekuwepo alistahili kupelekwa kisutu.
Nilishauri huu mradi mama autupie jicho Kali, hawa jamaa wamekula trilioni mbili, na ujenzi chini ya viwango. Wote tunajua athari za bwawa kubomoka, na kumwaga maji kwenye hifadhi, maji yatafagia viumbe wote pale selous.

Pale Kuna subcontractors wengi akiwepo Humphrey, mwendazake na Kalemani, Wana vikampuni vyao na ndio wamekuwa wanapiga debe ili madebe yao ya unga yaendelee kujaa
Msukuma mjinga sana.
Hana uelewa au ujuzi wowote katika ujenzi hasa wa miradi mikubwa.

Ki PhD cha karatasi alichobabatizwa nacho ni kama dawa ya kulevya kwake.
Sasa amekuwa mjuaji na msemaji wa vitu technical!!
Huo uharo wa mtu anaitwa Msukuma ni vyema ukanyamazishwa.
 
Huyo Msukuma anajua kutofautisha kati ya mradi kuwa nyuma ya muda na mradi kuwa chini ya kiwango?

Hivi, Karibu 90% ya watanzania mmelogwa?

Utawezaje kumwamini Msukuma?

Hiyo tume iliyokwenda kuchunguza hilo ni tume ipi na iliundwa na Nani?

Ujinga mtupu
Tafadhali mpe heshima yake yule sio Musukuma ni Dr Musukuma.
 
Hivi mtu timamu unawezaje kuandika kumlaumu na kumtukana Msukuma bila kwanza kusikiliza alichosema kwa masikio yako mwenyewe wakati hiyo video ipo tele mitandaonil?!
Shame on you all kwa kushusha hadhi ya jukwaa.
 
Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango).

Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya kujibu pamoja na menejiment ya Tanesco iliyokuwepo, na pengine hata JPM angekuwepo alistahili kupelekwa kisutu.
Nilishauri huu mradi mama autupie jicho Kali, hawa jamaa wamekula trilioni mbili, na ujenzi chini ya viwango. Wote tunajua athari za bwawa kubomoka, na kumwaga maji kwenye hifadhi, maji yatafagia viumbe wote pale selous.

Pale Kuna subcontractors wengi akiwepo Humphrey, mwendazake na Kalemani, Wana vikampuni vyao na ndio wamekuwa wanapiga debe ili madebe yao ya unga yaendelee kujaa
Wakti jpm yuko hili bunge lao la hovyohovyo hawakusema haya walikua kimya,huo mradi ni ufisadi mtupu kuanzia kuvuna miti waliokata na kujenga...ccm ni genge la majambazi narudia tena ccm ni genge la majambazi
 
Tuna waziri kilaza tokea aitoe kauli yake hii "zamani umeme ulikuwa haukatiki sababu kulikuwa hamna schedule maintenance " ni kaona hatuna waziri.Sijui katuona vilaza kama yeye. Hiko kijenereta ukiache kioperate kwa miezi kazaa bila maintenance lazima kibume.

Ila uzuri yy mwenyewe alikubali zamani umeme ulikuwa haukatika, alivyo ingia yy hizi ngonjera zimeanza mara schedule maintenance, mara wafanyakazi walikuwa wanashindwa kufanyakazi sababu walikuwa wanafokewa, mara crane la tani 27 hatuna, mara kakodi chopa kukagua vyanzo vya maji nk yaani upuuzi upuuzi mwingi vitendo hamna,mgao hauelewiki ni wa masaa mangapi na wa siku zipi.

Mimi naona bwawa hili waziri anataka kulipiga chini so alipige chini na ikiwezekana kabla hajalipiga chini awakabidhi watu wanao deal na maswala ya utalii liwe kama sehemu ya utalii na kivutio (makumbusho) ili turuhusiwe na familia zetu tukapige picha, inaweza kusaidia kurudisha gharama za ujenzi zilizo tumika kidogo kidogo na hao wakandarasi awaondoe awalipe hela yao,maisha ya endelee na waendelee kufanya watakacho.

Nchi tena ni yao wao na familia zao na sitegemi kilaza MWEZI WA KWANZA KUTUMBULIWA cha msingi tutafute Majenereta au solar maisha ya endelee.
 
Back
Top Bottom