Kama ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere uko chini ya viwango, Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi

Ndugu Chige ,Mungu akubariki sana.
Umeandika madini mpaka nimepata hasira ya kuona tunadanganywa kama watoto.
Nitaomba nichukue facts zako nimwelezee shemeji langu moja ambalo ni mwenyekiti wa CCM mkoa fulani ili ajue serikali yake ilivyokuwa ikiishi kwa uongo na uhalisia ulivyo wa JNHPP.
Tuendelee kuisaidia nnchi kwa kuweka facts tulizonazo hadharani kwani hii itasaidia pia hata kupunguza "misukule" ya chama/serikali/mtu.
NB:Mungu kakupa kipaji cha kujua mambo na kuelezea mambohayo kwa lugha rahisi na ukaeleweka kiurahisi, tafadhali ndugu kitumie vyema uendelee kutuelimisha na upanue wigo ili uwafikie watu wengi zaidi.
 
Hoja zenye akili haziwezi kuletwa na Musukuma
 
Hakuna anachofanya zaidi ya siasa
 
Mbombo ngafu
 
Kalemani alifit sna pale nishati tuache utani
Bado najiuliza Kwanini Kalemani alitolewa, Kipi hasa Ambacho anafanya au angefanya Makamba, au ni just a family case with Madame.
 
Makamba ndio yuko site? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hii ni zaidi ya mwaka mmoja. Nini kinaendelea? Si kila jambo ni siasa!

 
Musukuma kapata wapi taarifa? Kwa ujuzi upi alionao wa Civil au Electrical Engineering
 
Mimi ninavyowaamini wasomi ni wa kuacha kumwamini Profesa oh sorry Dokta.wa Salsafa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…