Kama uko smart kichwani, usiishi Tanzania. Nenda kaishi moja kati ya hizi nchi 10 utanishukuru baadaye

Asante mkuu. Tutajie Nchi 10 zenye maisha mazuri kuliko Tz hapa afrika.
 
Alaf mwana unatoa ushauri easy tu, kwa ground mambo ni vereee fuckd up 😂 watu hali mbaya kiuchumi majukumu kibao! Kwenda zanzibar tu au ngorongoro kesi ndo ije australia
Nimechukulia kama stori tu na kama ni kweli basi jamaa ni.mtu wa Kulamba Asali kweli kweli. Maana haya makundi ni watu wakuchukulia mambo easy sana.
 
NOTE: Kwa wale wapenda mbususu hizo nchi nilizozitaja hapo hazijawahi kuniangusha, nilipewa ushirikiano wa kutosha sana mpaka nikahisi dunia inazunguka kama kiuno cha mwali wa kimakonde.

Muwe na siku njema!
Nchi ipi ilikuwa na mbususu hot hot zaidi?
 
Chai
 
Naomba kuuliza swali kwann visa za visitor canada zinachelewa kutoka?MIM nimeomba imeshafika six month lakin ircc hairudish majibu. Msaada
 
Wa Danish sio wagawa mbususu hovyo hovyo, nimekaa nao sana...miaka 12 sio kidogo
 
kaka kama hutoari fanya kunicheki katika namba hii tuongee jambo
 

kama vile nchi gani mkuu kwa hapa africa ziko nema kiuchumi na kuwaali raia wake
 
Mkuu hii list ina kila kitu kasoro Luxembourg, Ile Austria hata sijui kwanini umeiweka, mi naona badala ya Austria ungeweka Luxembourg
Unaachaje kuizungumzia nchi ambayo wananchi wanapanda mabasi buree kwenda kwenye mizinguko yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…