Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,761
Ndio maana kasema mwenye Akili timamuNiandae bajeti ya tsh ngapi ili niweze kwenda kuishi huko kiharari mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana kasema mwenye Akili timamuNiandae bajeti ya tsh ngapi ili niweze kwenda kuishi huko kiharari mkuu?
Moja kati ya mambo niliyojifunza kwenye maisha yangu mpaka sasa ni mengi na bado naendelea kujifunza kupitia njia mbalimbali lakini mambo makubwa niliyojifunza yametokana na kusafiri nchi tofauti tofauti kikazi na vacations hasa Africa, Ulaya na Amerika, kwasasa nina miaka 34 na nimeshafanikiwa kuzunguka nchi 125 na hapa bado nchi sabini tu nimalize kuzunguka hii dunia na safari hii ntazunguka zaidi nchi za bara la Asia kuanzia China, Japan n.k naamini kabla sijafika miaka 70 basi nitakuwa nimemaliza kutembea nchi zote duniani.
But katika zunguka zunguka zangu nimegundua kuwa nchi hizi 10 zinawafaa sana watu wenye medium na high intelligence/smart people hapa naamanisha watu wenye akili timamu kwasababu ni nchi ambazo mbali na utulivu wake kiusalama, pia hizi ni nchi zenye geografia nzuri sana na serikali zao zimejitahidi sana kuweka kila kitu katika ubora na ufanisi unaomfaa binadamu kuishi kwa kiwango cha hali ya juu kuliko nchi zingine zote duniani.
Ukiishi kwenye nchi hizi uwezo wako wa kiakili unakuwa mkubwa sana na kwa asilimia 90% kuna uwezekano wa wewe kufanya mambo makubwa sana kuliko utakavyoishi nchi zingine duniani.
Mtu anayetaka kuiona kesho yake yenye furaha, kuishi muda mrefu(long life expectance) au mtu anayetaka kuboresha maisha yake na uzao wake basi namshauri aenda akaishi kwenye hizi nchi zifuatazo..
1. Switzerland
2. Norway
3. Canada
4. Sweden
5. Finland
6. Australia
7. Netherlands
8. Denmark
9. Austria
10. New Zealand
Nchi zote hizi nimezitembelea na nimeishi kwa kipindi cha miezi sita sita ni nchi nzuri sana kwa binadamu kuishi kutokana na miundo mbinu yake, sera za serikali zao, ajira na haki zao za kujali utu. Kama uko smart na unapenda maisha yako yawe smart usibaki Tanzania, nakushauri tafuta visa nenda kaishi kwenye moja kati ya hizo nchi nilizozitaja hapo juu niamini mimi baada ya kufika na kuishi kwenye hizo nchi utamshukuru Mungu kwa uumbaji wake na utaifurahia dunia sana.
NOTE: Kwa wale wapenda mbususu hizo nchi nilizozitaja hapo hazijawahi kuniangusha, nilipewa ushirikiano wa kutosha sana mpaka nikahisi dunia inazunguka kama kiuno cha mwali wa kimakonde.
Muwe na siku njema!
Umeshaambiwa watu smart ndio waende wewe tabulasa endelea kuijenga nchiNdio hapo sasa! Mtu anafanya utafiti fulani, sio ili aboreshe kwao bali kupakimbia kwao! Anakushauri huko ndio kuwa na 'akili timamu'.
Nimeishia hapo ulipoitaja South AfricaMauritius kuna amani kuliko nchi yeyote Africa na pia kuishi
Seychelles, Botswana, Ghana, Namibia na hata Cape Verde na SA
Hizo zote kuna maisha ya uhakika na kama una mtaji unaweza kufanya mengi tu
Ardhi unapata kama una nia ya Ranch na kilimo
Kama ni biashara wanakaribisha watu na longolongo kama za kwetu na tamaa za mswahili hakuna huko
Hata kwa Kagame ni pazuri pia na ujinga ujinga hakuna
Kama unataka kibali, ndani ya masaa 24 unapewa
Naona kuna zingine ila walizijadili sana humu kwa ubaguzi wao hizo pia zina maendeleo kuliko sisi
Punguza wivu wewe MTU WA mkoaniHakuna nchi nzuri ya kuishi kushinda nchi uliyo zaliwa, ni swala la kuweka miundo mbinu ya makazi yako na muendelezo wa kiuchumi binafsi, hili uliloongea washauri watu wanaotoka nchi zenye shida kama Somalia n.k
Nyie ndo wale kama walioko Dar es Salaam hua wana tabia ya kuwaita waTanzania wengine eti hao ni wa mikoani, yaani kimtu kilitoka huko huko mikoani tena vijijini Ngara huko Kagera,kikifika Dar miaka mitatu kinasema we wa mkoani. Yote kwa yote maisha bora yako hapa hapa TZ
Shaba nje nje nusu kuzimu dakika yoyote unawahishwa mochwariSouth Africa
Mtu anaeishi Dar huwezi mlinganisha na mtu anaeishi Namtumbo huko sijui Simanjiro Mahuta Shimoni lazima utofauti uwepoHakuna nchi nzuri ya kuishi kushinda nchi uliyo zaliwa, ni swala la kuweka miundo mbinu ya makazi yako na muendelezo wa kiuchumi binafsi, hili uliloongea washauri watu wanaotoka nchi zenye shida kama Somalia n.k
Nyie ndo wale kama walioko Dar es Salaam hua wana tabia ya kuwaita waTanzania wengine eti hao ni wa mikoani, yaani kimtu kilitoka huko huko mikoani tena vijijini Ngara huko Kagera,kikifika Dar miaka mitatu kinasema we wa mkoani. Yote kwa yote maisha bora yako hapa hapa TZ
Tanzania Tanzania Nchi yangu TanzaniaTupambane kuijenga nchi yetu.
Hizo nchi unazozusema wananchi waliumia kuzijenga.
Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania.
Nchi yangu.
Kuna sehemu na sehemu mzee
Umesema kweli ndugu ila kipato bado kipo chini hata tiketi tu kukata shidaNamba 3
South Africa yote security wise mbovu I believeKuna sehemu na sehemu mzee
Moja kati ya mambo niliyojifunza kwenye maisha yangu mpaka sasa ni mengi na bado naendelea kujifunza kupitia njia mbalimbali lakini mambo makubwa niliyojifunza yametokana na kusafiri nchi tofauti tofauti kikazi na vacations hasa Africa, Ulaya na Amerika, kwasasa nina miaka 34 na nimeshafanikiwa kuzunguka nchi 125 na hapa bado nchi sabini tu nimalize kuzunguka hii dunia na safari hii ntazunguka zaidi nchi za bara la Asia kuanzia China, Japan n.k naamini kabla sijafika miaka 70 basi nitakuwa nimemaliza kutembea nchi zote duniani.
But katika zunguka zunguka zangu nimegundua kuwa nchi hizi 10 zinawafaa sana watu wenye medium na high intelligence/smart people hapa naamanisha watu wenye akili timamu kwasababu ni nchi ambazo mbali na utulivu wake kiusalama, pia hizi ni nchi zenye geografia nzuri sana na serikali zao zimejitahidi sana kuweka kila kitu katika ubora na ufanisi unaomfaa binadamu kuishi kwa kiwango cha hali ya juu kuliko nchi zingine zote duniani.
Ukiishi kwenye nchi hizi uwezo wako wa kiakili unakuwa mkubwa sana na kwa asilimia 90% kuna uwezekano wa wewe kufanya mambo makubwa sana kuliko utakavyoishi nchi zingine duniani.
Mtu anayetaka kuiona kesho yake yenye furaha, kuishi muda mrefu(long life expectance) au mtu anayetaka kuboresha maisha yake na uzao wake basi namshauri aenda akaishi kwenye hizi nchi zifuatazo..
1. Switzerland
2. Norway
3. Canada
4. Sweden
5. Finland
6. Australia
7. Netherlands
8. Denmark
9. Austria
10. New Zealand
Nchi zote hizi nimezitembelea na nimeishi kwa kipindi cha miezi sita sita ni nchi nzuri sana kwa binadamu kuishi kutokana na miundo mbinu yake, sera za serikali zao, ajira na haki zao za kujali utu. Kama uko smart na unapenda maisha yako yawe smart usibaki Tanzania, nakushauri tafuta visa nenda kaishi kwenye moja kati ya hizo nchi nilizozitaja hapo juu niamini mimi baada ya kufika na kuishi kwenye hizo nchi utamshukuru Mungu kwa uumbaji wake na utaifurahia dunia sana.
NOTE: Kwa wale wapenda mbususu hizo nchi nilizozitaja hapo hazijawahi kuniangusha, nilipewa ushirikiano wa kutosha sana mpaka nikahisi dunia inazunguka kama kiuno cha mwali wa kimakonde.
Muwe na siku njema!
Amina 🙏tatizo wivu tu. . haha nimeingia kwenye ajira nikiwa na miaka 24 hakuna uchawi ni KIBALI cha BWANA.
hii post naitazama kwa jicho tofauti sana. Kwa wajuvi unaweza kubaini Unigeria kwa mbaaali. Hii post iko kimtego kuvuta wapenda mteremko na maisha ya chap chap wamfuate DM afu hapo ndio wapigwe kama kawaida.Moja kati ya mambo niliyojifunza kwenye maisha yangu mpaka sasa ni mengi na bado naendelea kujifunza kupitia njia mbalimbali lakini mambo makubwa niliyojifunza yametokana na kusafiri nchi tofauti tofauti kikazi na vacations hasa Africa, Ulaya na Amerika, kwasasa nina miaka 34 na nimeshafanikiwa kuzunguka nchi 125 na hapa bado nchi sabini tu nimalize kuzunguka hii dunia na safari hii ntazunguka zaidi nchi za bara la Asia kuanzia China, Japan n.k naamini kabla sijafika miaka 70 basi nitakuwa nimemaliza kutembea nchi zote duniani.
But katika zunguka zunguka zangu nimegundua kuwa nchi hizi 10 zinawafaa sana watu wenye medium na high intelligence/smart people hapa naamanisha watu wenye akili timamu kwasababu ni nchi ambazo mbali na utulivu wake kiusalama, pia hizi ni nchi zenye geografia nzuri sana na serikali zao zimejitahidi sana kuweka kila kitu katika ubora na ufanisi unaomfaa binadamu kuishi kwa kiwango cha hali ya juu kuliko nchi zingine zote duniani.
Ukiishi kwenye nchi hizi uwezo wako wa kiakili unakuwa mkubwa sana na kwa asilimia 90% kuna uwezekano wa wewe kufanya mambo makubwa sana kuliko utakavyoishi nchi zingine duniani.
Mtu anayetaka kuiona kesho yake yenye furaha, kuishi muda mrefu(long life expectance) au mtu anayetaka kuboresha maisha yake na uzao wake basi namshauri aenda akaishi kwenye hizi nchi zifuatazo..
1. Switzerland
2. Norway
3. Canada
4. Sweden
5. Finland
6. Australia
7. Netherlands
8. Denmark
9. Austria
10. New Zealand
Nchi zote hizi nimezitembelea na nimeishi kwa kipindi cha miezi sita sita ni nchi nzuri sana kwa binadamu kuishi kutokana na miundo mbinu yake, sera za serikali zao, ajira na haki zao za kujali utu. Kama uko smart na unapenda maisha yako yawe smart usibaki Tanzania, nakushauri tafuta visa nenda kaishi kwenye moja kati ya hizo nchi nilizozitaja hapo juu niamini mimi baada ya kufika na kuishi kwenye hizo nchi utamshukuru Mungu kwa uumbaji wake na utaifurahia dunia sana.
NOTE: Kwa wale wapenda mbususu hizo nchi nilizozitaja hapo hazijawahi kuniangusha, nilipewa ushirikiano wa kutosha sana mpaka nikahisi dunia inazunguka kama kiuno cha mwali wa kimakonde.
Muwe na siku njema!
Kuna documentary niliangalia inaelezea maisha ya homeless people wa AmericaDaa hata JK hajatembelea nchi 125
Huenda ila mmh
Mimi nimejaza passports 4 kwa nchi 32 nilizoishi na zingine kuzitembelea, na transit ya siku moja haihesabiki kama nimefika bali nimepita
Naona unawapeleka watu mbali sana
Kuna nchi nyingi sana hapo hapo jirani na sisi ambao ni bora zaidi x10 kuliko kuishi nyumbani
Kwanza imewafanya vijana wengi wawe na akili sawa na ubunifu sifuri
Angalia baadhi ya nchi za Africa wana maisha mazuri kuliko hii barafu ya Ulaya
Asikuambie mtu
Ulaya ukitaka uishi vizuri uwe na elimu nzuri inayokuingizia kipato kinono au kuza watoto wasome vizuri na walipwe vizuri
Ila maisha yako Africa kwenye baadhi ya nchi ila bongo hapafai
Nasubiri majibu.Hebu tupe majibu ya haya maswali;
1.Ili Graduate ambaye hana kazi aweze kwenda huko anahitaji pesa kiasi gani?
2.Je akifika huko itamchukua muda gani kupata kazi ya kumfanya aishi maisha mazuri?
3.Atafanya kazi muda gani huko nchi za watu ili awe na uwezo wa kurudi na kuwekeza nchini mwake?
4.Mtu mwenye akili timamu lakini hana elimu akienda huko atafanya kazi gani?
5.Kazi ya Bodaboda huko inakubalika?