Kama uko smart kichwani, usiishi Tanzania. Nenda kaishi moja kati ya hizi nchi 10 utanishukuru baadaye

Kama uko smart kichwani, usiishi Tanzania. Nenda kaishi moja kati ya hizi nchi 10 utanishukuru baadaye

Nilianza kukuamini ila kwa uongo huu ulioandika kuhusu US nimeanza kuwaamini waliosema huko juu kuwa hujatembelea nchi zote hizo, na ndio maana hata baadhi ya maswali uliyoulizwa kuhusu hizo nchi umeshindwa kujibu umerukia hili, na ni kama kwenye ile list uliiacha US makusudi ukijua kabisa lazima tu kuna mtu atakuja kuiulizia ili ujibu huo ujinga
Happy weekend bro.. 😂 endelea kuteseka.. siwez kujibu kila comment chukua kitakachokusaidia shida ya watanzania ni negativity kwenye kila jambo.. karibu canada tule maisha utakufa huko Tanzania..🤣
🤣🤣
 
Kwanini watu mnachanganya utajiri na quality of life?

Mtu akiishi baadhi ya nchi automatically system inamchagulia quality life, Mfano; Healthy system, education, mazingira, maisha ya kazi/ajira (mwajiri anazitambua haki zako?), Ulinzi, wananchi kuridhika na serikali yao etc.

Kuishi hizo nchi haimaanishi utakuwa tajiri ila hautaishi kama wananchi wa shithole 😅

Kama ni utajiri hata bombambili Songea pia kuna matajiri ila ndio wanaishi kigagagigikoko.
 
- Kanyumba kamoja mijini

- Tugari tutatu used tena twenye zaidi ya miaka kumi na mileage zinasoma mishahara ya watu

- Tueneo kadhaa nje ya miji

- Tufrem kadhaa twa biashara town hasa twa simu, mavazi, electronic, spare parts na hardware, nk

- Mwisho kabisa tupesa twa kuchafua meza bar kila weekend hapo kwa sisi wabongo unakuwa umetoboa na una maisha mazuri kabisa binti kiziwi
Hahaha noma sana, wakati huo unakimbizana na TRA kila kona, polisi waonevu, na hata ukionewa hakuna sehemu utaenda kudai haki ukasikilizwa, panya road mitaani teh teh, ukiugua hata uwe na pesa unaweza kwenda hospitali kumbe doctor anayekutibu amefoji vyeti, mara vifaa vya kuchukulia vipimo vilishaexpire ila bado vinatumika, trafiki waomba rushwa kila baada ya kilomita kadhaa.

Aisee rafiki yangu Jadda tunadeal na watu ambao exposure ni 0.
 
Daa hata JK hajatembelea nchi 125

Huenda ila mmh
Mimi nimejaza passports 4 kwa nchi 32 nilizoishi na zingine kuzitembelea, na transit ya siku moja haihesabiki kama nimefika bali nimepita

Naona unawapeleka watu mbali sana
Kuna nchi nyingi sana hapo hapo jirani na sisi ambao ni bora zaidi x10 kuliko kuishi nyumbani

Kwanza imewafanya vijana wengi wawe na akili sawa na ubunifu sifuri
Angalia baadhi ya nchi za Africa wana maisha mazuri kuliko hii barafu ya Ulaya

Asikuambie mtu
Ulaya ukitaka uishi vizuri uwe na elimu nzuri inayokuingizia kipato kinono au kuza watoto wasome vizuri na walipwe vizuri

Ila maisha yako Africa kwenye baadhi ya nchi ila bongo hapafai
Zitaje mkuu....
 
Tanzania haiendelei kwa sababu imejaa vijana waongo wengi sana wanaopenda kujimwambafai kama wewe
Nimejaribu, kupiga hesabu, wastani miezi sita ya kukaa kila nchi hizo 125, mara umri wake 34, nikatoa miaka 14 ya shule, msingi na Sekondari, nikabaki na miaka 20, ambayo hii ndiyo ameitumia kutembea nchi 125, akikaa watani wa miezi sita kila nchi nikagundu inabidi tumuongezee miezi kama 60, ili iendane umri wake ukitoa miaka 14, ya shule kwenye umri wake 34.

Mimi naamini inawezeka kwa kutembea nchi 125 ila kila nchi ukikaa miezi sita basi itabidi tukuongezee miaka mitano, na ukitoa miaka mitano kwenye miaka ya shule, utabaki na miaka 9 ya shule. Inawezekana ama pia haiwezekani.
 
Moja kati ya mambo niliyojifunza kwenye maisha yangu mpaka sasa ni mengi na bado naendelea kujifunza kupitia njia mbalimbali lakini mambo makubwa niliyojifunza yametokana na kusafiri nchi tofauti tofauti kikazi na vacations hasa Africa, Ulaya na Amerika, kwasasa nina miaka 34 na nimeshafanikiwa kuzunguka nchi 125 na hapa bado nchi sabini tu nimalize kuzunguka hii dunia na safari hii ntazunguka zaidi nchi za bara la Asia kuanzia China, Japan n.k naamini kabla sijafika miaka 70 basi nitakuwa nimemaliza kutembea nchi zote duniani.

But katika zunguka zunguka zangu nimegundua kuwa nchi hizi 10 zinawafaa sana watu wenye medium na high intelligence/smart people hapa naamanisha watu wenye akili timamu kwasababu ni nchi ambazo mbali na utulivu wake kiusalama, pia hizi ni nchi zenye geografia nzuri sana na serikali zao zimejitahidi sana kuweka kila kitu katika ubora na ufanisi unaomfaa binadamu kuishi kwa kiwango cha hali ya juu kuliko nchi zingine zote duniani.

Ukiishi kwenye nchi hizi uwezo wako wa kiakili unakuwa mkubwa sana na kwa asilimia 90% kuna uwezekano wa wewe kufanya mambo makubwa sana kuliko utakavyoishi nchi zingine duniani.

Mtu anayetaka kuiona kesho yake yenye furaha, kuishi muda mrefu(long life expectance) au mtu anayetaka kuboresha maisha yake na uzao wake basi namshauri aenda akaishi kwenye hizi nchi zifuatazo..

1. Switzerland
2. Norway
3. Canada
4. Sweden
5. Finland
6. Denmark
7. Netherlands
8. Denmark
9. Austria
10. New Zealand

Nchi zote hizi nimezitembelea na nimeishi kwa kipindi cha miezi sita sita ni nchi nzuri sana kwa binadamu kuishi kutokana na miundo mbinu yake, sera za serikali zao, ajira na haki zao za kujali utu. Kama uko smart na unapenda maisha yako yawe smart usibaki Tanzania, nakushauri tafuta visa nenda kaishi kwenye moja kati ya hizo nchi nilizozitaja hapo juu niamini mimi baada ya kufika na kuishi kwenye hizo nchi utamshukuru Mungu kwa uumbaji wake na utaifurahia dunia sana.

NOTE: Kwa wale wapenda mbususu hizo nchi nilizozitaja hapo hazijawahi kuniangusha, nilipewa ushirikiano wa kutosha sana mpaka nikahisi dunia inazunguka kama kiuno cha mwali wa kimakonde.

Muwe na siku njema!

Safi sana
Nataka vijana watoke na waache ushabiki wa team pendwa. Uzi bora mwaka huu
 
Back
Top Bottom