mayounger
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 693
- 670
Hahahahahah 🤣🤣Nendeni, mimi nabaki na hawa akina Chiku Nichomeke, Aisha Chukua yote, na Mwajuma mitindo mipya.
Siendi kokote!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahah 🤣🤣Nendeni, mimi nabaki na hawa akina Chiku Nichomeke, Aisha Chukua yote, na Mwajuma mitindo mipya.
Siendi kokote!
Wewe umefanya nin cha maana ambacho hata ukifa leo watu watakukumbukaUtaenjoy sana mkuu nakuhakikishia.. ukirudi Tanzania utakuwa mtu wa tofauti sana.. watu wanaokaa sehem moja muda mrefu wanakuwa mbumbumbu.. zunguka mkuu.. hahaa
Swala la maisha mazuri huwaga ni fumbo, ukienda abroad kuna baadhi ya watanzania wanaishi kama digidigi wanaishi maisha magumu sanaYeah,kweli kabisa....watu wapo Tz na mambo ni poa tu
Upo nchi gani mkuu?Nashukuru uamuzi wa aina hii niliuchukua kitambo sana,nafurahia maisha ya Kubeba box.
Kabisa mkuuSwala la maisha mazuri huwaga ni fumbo, ukienda abroad kuna baadhi ya watanzania wanaishi kama digidigi wanaishi maisha magumu sana
Na hapa hapa Tanzania kuna watu wanaishi kama peponi wengine kawaida wengine katika wimbi la umaskini
Maisha ni fumbo zito sana
Tunakomaa na spelings na hapo kuna word lake piavyovyote ila ushaelewa.. ngoja nianze wikiendi 🤣
NOTE: Kwa wale wapenda mbususu hizo nchi nilizozitaja hapo hazijawahi kuniangusha,
Ukienda mahali ambapo ni tofauti na ulipokuwa, hata uwe mjanja namna ganiSasa mbona jamaa katoka Canada amechoka kaisha balaa ana hasira kaanza kuvamia bodaboda na wachungaji wakati alivyokuwa Tz alikuwa smart sana huko karudi amevurugika ile mbaya.
Moja kati ya mambo niliyojifunza kwenye maisha yangu mpaka sasa ni mengi na bado naendelea kujifunza kupitia njia mbalimbali lakini mambo makubwa niliyojifunza yametokana na kusafiri nchi tofauti tofauti kikazi na vacations hasa Africa, Ulaya na Amerika, kwasasa nina miaka 34 na nimeshafanikiwa kuzunguka nchi 125 na hapa bado nchi sabini tu nimalize kuzunguka hii dunia na safari hii ntazunguka zaidi nchi za bara la Asia kuanzia China, Japan n.k naamini kabla sijafika miaka 70 basi nitakuwa nimemaliza kutembea nchi zote duniani.
But katika zunguka zunguka zangu nimegundua kuwa nchi hizi 10 zinawafaa sana watu wenye medium na high intelligence/smart people hapa naamanisha watu wenye akili timamu kwasababu ni nchi ambazo mbali na utulivu wake kiusalama, pia hizi ni nchi zenye geografia nzuri sana na serikali zao zimejitahidi sana kuweka kila kitu katika ubora na ufanisi unaomfaa binadamu kuishi kwa kiwango cha hali ya juu kuliko nchi zingine zote duniani.
Ukiishi kwenye nchi hizi uwezo wako wa kiakili unakuwa mkubwa sana na kwa asilimia 90% kuna uwezekano wa wewe kufanya mambo makubwa sana kuliko utakavyoishi nchi zingine duniani.
Mtu anayetaka kuiona kesho yake yenye furaha, kuishi muda mrefu(long life expectance) au mtu anayetaka kuboresha maisha yake na uzao wake basi namshauri aenda akaishi kwenye hizi nchi zifuatazo..
1. Switzerland
2. Norway
3. Canada
4. Sweden
5. Finland
6. Denmark
7. Netherlands
8. Denmark
9. Austria
10. New Zealand
Nchi zote hizi nimezitembelea na nimeishi kwa kipindi cha miezi sita sita ni nchi nzuri sana kwa binadamu kuishi kutokana na miundo mbinu yake, sera za serikali zao, ajira na haki zao za kujali utu. Kama uko smart na unapenda maisha yako yawe smart usibaki Tanzania, nakushauri tafuta visa nenda kaishi kwenye moja kati ya hizo nchi nilizozitaja hapo juu niamini mimi baada ya kufika na kuishi kwenye hizo nchi utamshukuru Mungu kwa uumbaji wake na utaifurahia dunia sana.
NOTE: Kwa wale wapenda mbususu hizo nchi nilizozitaja hapo hazijawahi kuniangusha, nilipewa ushirikiano wa kutosha sana mpaka nikahisi dunia inazunguka kama kiuno cha mwali wa kimakonde.
Muwe na siku njema!
Hii hata ikifa haina hasaraTanzania yetu itajengwa na nani
Halafu ukaishia kurudi Tanzania!?? Kumbe na wewe hauko smart!!!Moja kati ya mambo niliyojifunza kwenye maisha yangu mpaka sasa ni mengi na bado naendelea kujifunza kupitia njia mbalimbali lakini mambo makubwa niliyojifunza yametokana na kusafiri nchi tofauti tofauti kikazi na vacations hasa Africa, Ulaya na Amerika, kwasasa nina miaka 34 na nimeshafanikiwa kuzunguka nchi 125 na hapa bado nchi sabini tu nimalize kuzunguka hii dunia na safari hii ntazunguka zaidi nchi za bara la Asia kuanzia China, Japan n.k naamini kabla sijafika miaka 70 basi nitakuwa nimemaliza kutembea nchi zote duniani.
But katika zunguka zunguka zangu nimegundua kuwa nchi hizi 10 zinawafaa sana watu wenye medium na high intelligence/smart people hapa naamanisha watu wenye akili timamu kwasababu ni nchi ambazo mbali na utulivu wake kiusalama, pia hizi ni nchi zenye geografia nzuri sana na serikali zao zimejitahidi sana kuweka kila kitu katika ubora na ufanisi unaomfaa binadamu kuishi kwa kiwango cha hali ya juu kuliko nchi zingine zote duniani.
Ukiishi kwenye nchi hizi uwezo wako wa kiakili unakuwa mkubwa sana na kwa asilimia 90% kuna uwezekano wa wewe kufanya mambo makubwa sana kuliko utakavyoishi nchi zingine duniani.
Mtu anayetaka kuiona kesho yake yenye furaha, kuishi muda mrefu(long life expectance) au mtu anayetaka kuboresha maisha yake na uzao wake basi namshauri aenda akaishi kwenye hizi nchi zifuatazo..
1. Switzerland
2. Norway
3. Canada
4. Sweden
5. Finland
6. Denmark
7. Netherlands
8. Denmark
9. Austria
10. New Zealand
Nchi zote hizi nimezitembelea na nimeishi kwa kipindi cha miezi sita sita ni nchi nzuri sana kwa binadamu kuishi kutokana na miundo mbinu yake, sera za serikali zao, ajira na haki zao za kujali utu. Kama uko smart na unapenda maisha yako yawe smart usibaki Tanzania, nakushauri tafuta visa nenda kaishi kwenye moja kati ya hizo nchi nilizozitaja hapo juu niamini mimi baada ya kufika na kuishi kwenye hizo nchi utamshukuru Mungu kwa uumbaji wake na utaifurahia dunia sana.
NOTE: Kwa wale wapenda mbususu hizo nchi nilizozitaja hapo hazijawahi kuniangusha, nilipewa ushirikiano wa kutosha sana mpaka nikahisi dunia inazunguka kama kiuno cha mwali wa kimakonde.
Muwe na siku njema!
Na ukienda USA unaludi ushakuwa shogaWale tunaoishobokea Russia vipi? Ama tukienda huko tutapelekwa vitani kwa lazima?
Yeye ni mcanada hauoni jina😂😂We unaishi wapi kati ya hizo nchi?
Hapo kwenye red ungefafanua kidogo vitu kama bei elekezi machimbo na specieNchi zote hizi nimezitembelea na nimeishi kwa kipindi cha miezi sita sita ni nchi nzuri sana kwa binadamu kuishi kutokana na miundo mbinu yake, sera za serikali zao, ajira na haki zao za kujali utu. Kama uko smart na unapenda maisha yako yawe smart usibaki Tanzania, nakushauri tafuta visa nenda kaishi kwenye moja kati ya hizo nchi nilizozitaja hapo juu niamini mimi baada ya kufika na kuishi kwenye hizo nchi utamshukuru Mungu kwa uumbaji wake na utaifurahia dunia sana.
NOTE: Kwa wale wapenda mbususu hizo nchi nilizozitaja hapo hazijawahi kuniangusha, nilipewa ushirikiano wa kutosha sana mpaka nikahisi dunia inazunguka kama kiuno cha mwali wa kimakonde.
Muwe na siku njema!
Namshangaa. Halafu ameandika Denmark Mara mbili na kuiacha Burundi.Tanzania yetu itajengwa na nani
Maisha mazuri kwa definition yako ni yapi Boss?Mbona Hapa hapa Tanzania Kuna watu wanaishi maisha mazuri na sehemu nzurii kuliko walioko katika hizo nchi 10 tajwa?