Kama uko smart kichwani, usiishi Tanzania. Nenda kaishi moja kati ya hizi nchi 10 utanishukuru baadaye

...SEMA Umekosea! Usijetetee Kwa kusema 'Umeelewa'
Kwa kutembea kote huko, tulijua wewe ni Mtu Makini, lakini kukosea spelling za Hata Nchi uliyotembelea zimetufanya tufikiri vingine !
... Mimi basi nimedhani ni Nchi ya Kiafrika ya SWAZILAND....au huijui ?
Mkuu kwanini unajihangaisha na mtu muongo. Kwa kusoma mwandiko tu unatakiwa uujue ukweli. Kuna mtu hapa anadhani jamaa amezunguka kweli hizo nchi 125
 
Moja kati ya mambo niliyojifunza kwenye maisha yangu mpaka sasa ni mengi na bado naendelea kujifunza kupitia njia mbalimbali lakini mambo makubwa niliyojifunza yametokana na kusafiri nchi tofauti tofauti kikazi na vacation hasa Africa, Ulaya na Amerika, kwasasa nina miaka 34 na nimeshafanikiwa kuzunguka nchi 125 na hapa bado nchi sabini tu nimalize kuzunguka hii dunia na safari hii ntazunguka zaidi nchi za bara la Asia kuanzia China, Japan n.k naamini kabla sijafika miaka 70 basi nitakuwa nimemaliza kutembea nchi zote duniani..

But katika zunguka zunguka zangu nimegundua kuwa nchi hizi 10 zinawafaa sana watu wenye medium na high intelligence/smart people hapa naamanisha watu wenye akili timamu kwasababu ni nchi ambazo mbali na utulivu wake kiusalama, pia hizi ni nchi zenye geografia nzuri sana na serikali zao zimejitahidi sana kuweka kila kitu katika ubora na ufanisi unaomfaa binadamu kuishi kwa kiwango cha hali ya juu kuliko nchi zingine zote duniani.

Ukiishi kwenye nchi hizi uwezo wako wa kiakili unakuwa mkubwa sana na kwa asilimia 90% kuna uwezekano wa wewe kufanya mambo makubwa sana kuliko utakavyoishi nchi zingine duniani.

Mtu anayetaka kuiona kesho yake yenye furaha, kuishi muda mrefu(long life expectance) au mtu anayetaka kuboresha maisha yake na uzao wake basi namshauri aenda akaishi kwenye hizi nchi zifuatazo..

1. Switzland 2. Norway 3. Canada 4. Sweden 5. Finland 6. Denmark 7. Netherlands 8. Denmark 9. Austria 10. New Zealand

Nchi zote hizi nimezitembelea na nimeishi kwa kipindi cha miezi sita sita ni nchi nzuri sana kwa binadamu kuishi kutokana na miundo mbinu yake, sera za serikali zao, ajira na haki zao za kujali utu.. kama uko smart na unapenda maisha yako yawe smart usibaki Tanzania, nakushauri tafuta visa nenda kaishi kwenye moja kati ya hizo nchi nilizozitaja hapo juu niamini mimi baada ya kufika na kuishi kwenye hizo nchi utamshukuru Mungu kwa uumbaji wake na utaifurahia dunia sana..

NOTE: Kwa wale wapenda mbususu hizo nchi nilizozitaja hapo hazijawahi kuniangusha, nilipewa ushirikiano wa kutosha sana mpaka nikahisi dunia inazunguka kama kiuno cha mwali wa kimakonde...

Muwe na siku njema!
Mkuu Mimi nipo na Akili Sana kichwani na najikubali sasa tunafikaje hapo katika nchi za Asali na maziwa maana hapa Tanzania tunazidi kuchakaa na kufa Mapema

Mfano mshahara Mdogo
Ukiwa na Akili unachukiwa so Mimi nipo tiyari kuja ughaibuni Mkuu
 
Moja kati ya mambo niliyojifunza kwenye maisha yangu mpaka sasa ni mengi na bado naendelea kujifunza kupitia njia mbalimbali lakini mambo makubwa niliyojifunza yametokana na kusafiri nchi tofauti tofauti kikazi na vacations hasa Africa, Ulaya na Amerika, kwasasa nina miaka 34 na nimeshafanikiwa kuzunguka nchi 125 na hapa bado nchi sabini tu nimalize kuzunguka hii dunia na safari hii ntazunguka zaidi nchi za bara la Asia kuanzia China, Japan n.k naamini kabla sijafika miaka 70 basi nitakuwa nimemaliza kutembea nchi zote duniani..

But katika zunguka zunguka zangu nimegundua kuwa nchi hizi 10 zinawafaa sana watu wenye medium na high intelligence/smart people hapa naamanisha watu wenye akili timamu kwasababu ni nchi ambazo mbali na utulivu wake kiusalama, pia hizi ni nchi zenye geografia nzuri sana na serikali zao zimejitahidi sana kuweka kila kitu katika ubora na ufanisi unaomfaa binadamu kuishi kwa kiwango cha hali ya juu kuliko nchi zingine zote duniani.

Ukiishi kwenye nchi hizi uwezo wako wa kiakili unakuwa mkubwa sana na kwa asilimia 90% kuna uwezekano wa wewe kufanya mambo makubwa sana kuliko utakavyoishi nchi zingine duniani.

Mtu anayetaka kuiona kesho yake yenye furaha, kuishi muda mrefu(long life expectance) au mtu anayetaka kuboresha maisha yake na uzao wake basi namshauri aenda akaishi kwenye hizi nchi zifuatazo..

1. Switzerland 2. Norway 3. Canada 4. Sweden 5. Finland 6. Denmark 7. Netherlands 8. Denmark 9. Austria 10. New Zealand

Nchi zote hizi nimezitembelea na nimeishi kwa kipindi cha miezi sita sita ni nchi nzuri sana kwa binadamu kuishi kutokana na miundo mbinu yake, sera za serikali zao, ajira na haki zao za kujali utu.. kama uko smart na unapenda maisha yako yawe smart usibaki Tanzania, nakushauri tafuta visa nenda kaishi kwenye moja kati ya hizo nchi nilizozitaja hapo juu niamini mimi baada ya kufika na kuishi kwenye hizo nchi utamshukuru Mungu kwa uumbaji wake na utaifurahia dunia sana..

NOTE: Kwa wale wapenda mbususu hizo nchi nilizozitaja hapo hazijawahi kuniangusha, nilipewa ushirikiano wa kutosha sana mpaka nikahisi dunia inazunguka kama kiuno cha mwali wa kimakonde...

Muwe na siku njema!
Bila uwepo wa USA

Huu Uzi wako ni Batili.
 
Tupe sababu zilizokufanya usiweke makazi ya kudumu katika nchi Moja wapo kati ya hizo ulizotuambia ukawa unazunguka tu
 
Bila uwepo wa USA

Huu Uzi wako ni Batili.
USA its shit country! si nchi nzuri kama wengi tunavyohadithiwa ni majirani zangu hao ila dah kimaisha hapana, ukiishi hiyo nchi roho inakuwa juu tu, wasiwasi, mashaka mashaka na depression mbaya zaidi crime rates iko juu sana marekani, wanaosema pesa ipo ni kweli pesa ipo, ila pesa nyingi watu wanazipata kwa kufanya shughuli haramu(We call "Dirty Money") Jambo ambalo linaloweza kufanya life expectance yako kushuka chini kila kukicha.. kwa jicho la kitalaamu simshauri mtu kuingia humo labda kama una ndoto za kupata hela tu na kuondoka..
 
Moja kati ya mambo niliyojifunza kwenye maisha yangu mpaka sasa ni mengi na bado naendelea kujifunza kupitia njia mbalimbali lakini mambo makubwa niliyojifunza yametokana na kusafiri nchi tofauti tofauti kikazi na vacations hasa Africa, Ulaya na Amerika, kwasasa nina miaka 34 na nimeshafanikiwa kuzunguka nchi 125 na hapa bado nchi sabini tu nimalize kuzunguka hii dunia na safari hii ntazunguka zaidi nchi za bara la Asia kuanzia China, Japan n.k naamini kabla sijafika miaka 70 basi nitakuwa nimemaliza kutembea nchi zote duniani..

But katika zunguka zunguka zangu nimegundua kuwa nchi hizi 10 zinawafaa sana watu wenye medium na high intelligence/smart people hapa naamanisha watu wenye akili timamu kwasababu ni nchi ambazo mbali na utulivu wake kiusalama, pia hizi ni nchi zenye geografia nzuri sana na serikali zao zimejitahidi sana kuweka kila kitu katika ubora na ufanisi unaomfaa binadamu kuishi kwa kiwango cha hali ya juu kuliko nchi zingine zote duniani.

Ukiishi kwenye nchi hizi uwezo wako wa kiakili unakuwa mkubwa sana na kwa asilimia 90% kuna uwezekano wa wewe kufanya mambo makubwa sana kuliko utakavyoishi nchi zingine duniani.

Mtu anayetaka kuiona kesho yake yenye furaha, kuishi muda mrefu(long life expectance) au mtu anayetaka kuboresha maisha yake na uzao wake basi namshauri aenda akaishi kwenye hizi nchi zifuatazo..

1. Switzerland 2. Norway 3. Canada 4. Sweden 5. Finland 6. Denmark 7. Netherlands 8. Denmark 9. Austria 10. New Zealand

Nchi zote hizi nimezitembelea na nimeishi kwa kipindi cha miezi sita sita ni nchi nzuri sana kwa binadamu kuishi kutokana na miundo mbinu yake, sera za serikali zao, ajira na haki zao za kujali utu.. kama uko smart na unapenda maisha yako yawe smart usibaki Tanzania, nakushauri tafuta visa nenda kaishi kwenye moja kati ya hizo nchi nilizozitaja hapo juu niamini mimi baada ya kufika na kuishi kwenye hizo nchi utamshukuru Mungu kwa uumbaji wake na utaifurahia dunia sana..

NOTE: Kwa wale wapenda mbususu hizo nchi nilizozitaja hapo hazijawahi kuniangusha, nilipewa ushirikiano wa kutosha sana mpaka nikahisi dunia inazunguka kama kiuno cha mwali wa kimakonde...

Muwe na siku njema!
Inamaana wewe huna akili? Umeshindwa kwenda kuishi kwenye hizo inchi?pili inaonekana ni kati ya watu ambao mnahudumiwa na selikali, inamaana huwa huendi kwa gharama zako
 
Zitaje sasa hizo nchi.
Mauritius kuna amani kuliko nchi yeyote Africa na pia kuishi

Seychelles, Botswana, Ghana, Namibia na hata Cape Verde na SA

Hizo zote kuna maisha ya uhakika na kama una mtaji unaweza kufanya mengi tu
Ardhi unapata kama una nia ya Ranch na kilimo
Kama ni biashara wanakaribisha watu na longolongo kama za kwetu na tamaa za mswahili hakuna huko

Hata kwa Kagame ni pazuri pia na ujinga ujinga hakuna
Kama unataka kibali, ndani ya masaa 24 unapewa

Naona kuna zingine ila walizijadili sana humu kwa ubaguzi wao hizo pia zina maendeleo kuliko sisi
 
SA hapo
 
Back
Top Bottom