Kama uko smart kichwani, usiishi Tanzania. Nenda kaishi moja kati ya hizi nchi 10 utanishukuru baadaye

Kama uko smart kichwani, usiishi Tanzania. Nenda kaishi moja kati ya hizi nchi 10 utanishukuru baadaye

Utaenjoy sana mkuu nakuhakikishia.. ukirudi Tanzania utakuwa mtu wa tofauti sana.. watu wanaokaa sehem moja muda mrefu wanakuwa mbumbumbu.. zunguka mkuu.. hahaa
Nishazungukua east africa nchi zote na mikoa kadha ndani apa Tz kutokana na kazi nayofanya.. ila sikupingi mkuu kuzuru mabara tofauti ni kitu natamani pia so uko on point.
 
vyovyote ila ushaelewa.. ngoja nianze wikiendi [emoji1787]
...SEMA Umekosea! Usijetetee Kwa kusema 'Umeelewa'
Kwa kutembea kote huko, tulijua wewe ni Mtu Makini, lakini kukosea spelling za Hata Nchi uliyotembelea zimetufanya tufikiri vingine !
... Mimi basi nimedhani ni Nchi ya Kiafrika ya SWAZILAND....au huijui ?
 
Nakubaliana nawe mtoa hoja hasa hiyo nchi no 10,ni super hasa kwa vijana wa dot.com kwenda kulea familia kule maana mifumo yao ipo A1,hapa Africa tuna nchi ambazo nazo ni safi hasa ushelisheli, Namibia, Botswana na kama ni elimu peleka watoto wako Zimbabwe
 
Tanzania yetu itajengwa na nani
Tanzania imeshajengwa huoni flyovers ?😁

IMG_20230310_141016.jpg
 
...SEMA Umekosea! Usijetetee Kwa kusema 'Umeelewa'
Kwa kutembea kote huko, tulijua wewe ni Mtu Makini, lakini kukosea spelling za Hata Nchi uliyotembelea zimetufanya tufikiri vingine !
... Mimi basi nimedhani ni Nchi ya Kiafrika ya SWAZILAND....au huijui ?
Relax mkuu, mistakes ni ukamilifu wa kiuumbaji, kama hukosei wewe si mwanadamu kamili.. stay positive. have a good day mkuu🙏
 
uliowapa makali wameng'ang'ania na mpini huna la kufanya zaid ya kuwaachia nchi tu
Sahihi kabisa, inafikia hatua unasusa nchi yako sababu ya hawa mafisadi........badala ya kuwekeza kuboresha hali ya maisha ya wananchi yanashindana kujipimia kwa urefu wa kamba na kulamba asali, hopeless!!
 
Waliokuelewa wameelewa ndo maana ukawaambia mwenye kichwa smart na haswa watafutaji,
Hizi nchi Nami nazi kubali sana ila age wengine kwa Sasa inatubidi tuimalizie nyumbani tz
Ila wenye damu bado inachemka msisite kutoka nje na ukifika uko kwa watu wekeza sana nyumbani haswa kwa ajili ya maisha yako
Kuwa makini na hawa watu wanaojiita washikaji na mandugu
Maana utapigwa mizinga kila siku na unaweza kukuta kipato chako kikaishia kwao na siku unarudia Unakutana na kebehi zao
Umeishi nje na umerudi kavu kama DK shika
Hili ni funzo jijenge kwanza hao omba omba achana nao
Usiogope kutoka nje kutafuta
 
niliyojifunza yametokana na kusafiri nchi tofauti tofauti kikazi na vacations hasa Africa, Ulaya na Amerika, kwasasa nina miaka 34 na nimeshafanikiwa kuzunguka..........................................

1. Switzerland 2. Norway 3. Canada 4. Sweden 5. Finland 6. Denmark 7. Netherlands 8. Denmark 9. Austria 10. New Zealand

Nchi zote hizi nimezitembelea na nimeishi kwa kipindi cha miezi sita sita ni nchi nzuri sana kwa binadamu kuishi
Kwa hizo nchi 10 ulizokaa miezi sita sita ume spend miaka mi 5 maana yake.

Mkuu ulianza kuzunguka duniani ukiwa na umri gani???

Kuna watu mmebarikiwa sana tena mapema mnooo

Imagine katika umri huu kama wako sina hata passport 😂😂😂😂😂 ..kenya tu sipajui kudadeeki
 
Back
Top Bottom