Kama uko smart kichwani, usiishi Tanzania. Nenda kaishi moja kati ya hizi nchi 10 utanishukuru baadaye

Naona dunia yako Ina Denmark mbili
 
Daa hata JK hajatembelea nchi 125

Huenda ila mmh
Mimi nimejaza passports 4 kwa nchi 32 nilizoishi na zingine kuzitembelea, na transit ya siku moja haihesabiki kama nimefika bali nimepita

Naona unawapeleka watu mbali sana
Kuna nchi nyingi sana hapo hapo jirani na sisi ambao ni bora zaidi x10 kuliko kuishi nyumbani

Kwanza imewafanya vijana wengi wawe na akili sawa na ubunifu sifuri
Angalia baadhi ya nchi za Africa wana maisha mazuri kuliko hii barafu ya Ulaya

Asikuambie mtu
Ulaya ukitaka uishi vizuri uwe na elimu nzuri inayokuingizia kipato kinono au kuza watoto wasome vizuri na walipwe vizuri

Ila maisha yako Africa kwenye baadhi ya nchi ila bongo hapafai
 
Zitaje sasa hizo nchi.
 
Tanzania haiendelei kwa sababu imejaa vijana waongo wengi sana wanaopenda kujimwambafai kama wewe
 
Napenda sana adventure na sight seeing ila fainali yangu napendelea iwe Tz, napenda miji yote mizuri ya kifahari na natamani nifike ila fainali namuomba Mola inikutie mwanza kwetu.
Utaenjoy sana mkuu nakuhakikishia.. ukirudi Tanzania utakuwa mtu wa tofauti sana.. watu wanaokaa sehem moja muda mrefu wanakuwa mbumbumbu.. zunguka mkuu.. hahaa
 
...Mmmm, inaelekea Uliishi lakini hukuwahi kujua spelling za jina lake!.

....Ni. SWITZERLAND....
 
inategemea unapiga mishe gani kama ukisoma uzi wangu vizuri nimeandika hapo imekuwaje nimetembelea nchi zote hizo.. sababu nilizoandika ni mbili tu 1. Mazingira ya kazi niliyokuwa nafanya 2. Likizo nilizokuwa napata nilikuwa nazitumia kutembelea nchi zilizo karibu na nchi niliyokuwa nafanya kazi.. mpaka napokwambia hapa tayari nipo canada ila katika nchi hii hapa ndio nimeamua yawe maisha yangu yote.. na sasa naandaa mradi ambao utaniwezesha kupata fungu la kutembelea nchi za bara la asia.. Napenda Nature mno hebu angalia kapicha kangu hapo
 
Austria. Naamini sasa hujawahi tembelea huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…