Nishazungukua east africa nchi zote na mikoa kadha ndani apa Tz kutokana na kazi nayofanya.. ila sikupingi mkuu kuzuru mabara tofauti ni kitu natamani pia so uko on point.Utaenjoy sana mkuu nakuhakikishia.. ukirudi Tanzania utakuwa mtu wa tofauti sana.. watu wanaokaa sehem moja muda mrefu wanakuwa mbumbumbu.. zunguka mkuu.. hahaa
uliowapa makali wameng'ang'ania na mpini huna la kufanya zaid ya kuwaachia nchi tuKwa hiyo watu wote duniani tukisema tuhamie kwenye hizo nchi kumi patakalika? boresha hali ya pale unapokaa.
nimependa iq yako ,home is sweatNapenda sana adventure na sight seeing ila fainali yangu napendelea iwe Tz, napenda miji yote mizuri ya kifahari na natamani nifike ila fainali namuomba Mola inikutie mwanza kwetu.
...SEMA Umekosea! Usijetetee Kwa kusema 'Umeelewa'vyovyote ila ushaelewa.. ngoja nianze wikiendi [emoji1787]
Ingekuwa Australia sawa, si Austria.Mkuu nishakaa hapo miezi 9 nikachumpa, hivi wabongo kwanini mnaona maajabu maisha ni kuchagua tu.. 🤣 n thats what am playin through ..usikasirike🤣
Tanzania imeshajengwa huoni flyovers ?😁Tanzania yetu itajengwa na nani
Relax mkuu, mistakes ni ukamilifu wa kiuumbaji, kama hukosei wewe si mwanadamu kamili.. stay positive. have a good day mkuu🙏...SEMA Umekosea! Usijetetee Kwa kusema 'Umeelewa'
Kwa kutembea kote huko, tulijua wewe ni Mtu Makini, lakini kukosea spelling za Hata Nchi uliyotembelea zimetufanya tufikiri vingine !
... Mimi basi nimedhani ni Nchi ya Kiafrika ya SWAZILAND....au huijui ?
Sahihi kabisa, inafikia hatua unasusa nchi yako sababu ya hawa mafisadi........badala ya kuwekeza kuboresha hali ya maisha ya wananchi yanashindana kujipimia kwa urefu wa kamba na kulamba asali, hopeless!!uliowapa makali wameng'ang'ania na mpini huna la kufanya zaid ya kuwaachia nchi tu
Ndio hapo sasa! Mtu anafanya utafiti fulani, sio ili aboreshe kwao bali kupakimbia kwao! Anakushauri huko ndio kuwa na 'akili timamu'.Tanzania yetu itajengwa na nani
Kwa hizo nchi 10 ulizokaa miezi sita sita ume spend miaka mi 5 maana yake.niliyojifunza yametokana na kusafiri nchi tofauti tofauti kikazi na vacations hasa Africa, Ulaya na Amerika, kwasasa nina miaka 34 na nimeshafanikiwa kuzunguka..........................................
1. Switzerland 2. Norway 3. Canada 4. Sweden 5. Finland 6. Denmark 7. Netherlands 8. Denmark 9. Austria 10. New Zealand
Nchi zote hizi nimezitembelea na nimeishi kwa kipindi cha miezi sita sita ni nchi nzuri sana kwa binadamu kuishi