Kama uko smart kichwani, usiishi Tanzania. Nenda kaishi moja kati ya hizi nchi 10 utanishukuru baadaye

Kama uko smart kichwani, usiishi Tanzania. Nenda kaishi moja kati ya hizi nchi 10 utanishukuru baadaye

Mcanada

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
982
Reaction score
1,942
Moja kati ya mambo niliyojifunza kwenye maisha yangu mpaka sasa ni mengi na bado naendelea kujifunza kupitia njia mbalimbali lakini mambo makubwa niliyojifunza yametokana na kusafiri nchi tofauti tofauti kikazi na vacations hasa Africa, Ulaya na Amerika, kwasasa nina miaka 34 na nimeshafanikiwa kuzunguka nchi 125 na hapa bado nchi sabini tu nimalize kuzunguka hii dunia na safari hii ntazunguka zaidi nchi za bara la Asia kuanzia China, Japan n.k naamini kabla sijafika miaka 70 basi nitakuwa nimemaliza kutembea nchi zote duniani.

But katika zunguka zunguka zangu nimegundua kuwa nchi hizi 10 zinawafaa sana watu wenye medium na high intelligence/smart people hapa naamanisha watu wenye akili timamu kwasababu ni nchi ambazo mbali na utulivu wake kiusalama, pia hizi ni nchi zenye geografia nzuri sana na serikali zao zimejitahidi sana kuweka kila kitu katika ubora na ufanisi unaomfaa binadamu kuishi kwa kiwango cha hali ya juu kuliko nchi zingine zote duniani.

Ukiishi kwenye nchi hizi uwezo wako wa kiakili unakuwa mkubwa sana na kwa asilimia 90% kuna uwezekano wa wewe kufanya mambo makubwa sana kuliko utakavyoishi nchi zingine duniani.

Mtu anayetaka kuiona kesho yake yenye furaha, kuishi muda mrefu(long life expectance) au mtu anayetaka kuboresha maisha yake na uzao wake basi namshauri aenda akaishi kwenye hizi nchi zifuatazo..

1. Switzerland
2. Norway
3. Canada
4. Sweden
5. Finland
6. Australia
7. Netherlands
8. Denmark
9. Austria
10. New Zealand

Nchi zote hizi nimezitembelea na nimeishi kwa kipindi cha miezi sita sita ni nchi nzuri sana kwa binadamu kuishi kutokana na miundo mbinu yake, sera za serikali zao, ajira na haki zao za kujali utu. Kama uko smart na unapenda maisha yako yawe smart usibaki Tanzania, nakushauri tafuta visa nenda kaishi kwenye moja kati ya hizo nchi nilizozitaja hapo juu niamini mimi baada ya kufika na kuishi kwenye hizo nchi utamshukuru Mungu kwa uumbaji wake na utaifurahia dunia sana.

NOTE: Kwa wale wapenda mbususu hizo nchi nilizozitaja hapo hazijawahi kuniangusha, nilipewa ushirikiano wa kutosha sana mpaka nikahisi dunia inazunguka kama kiuno cha mwali wa kimakonde.

Muwe na siku njema!
 
Sis wenye akili smart ndo tunabaki apa Africa especially Tanzania, tunaijenga ili wajukuu zako waje wapende kuishia apa
Maana ata uko unakosema ni pazuri hapakushushwa toka mbinguni,
Kuna watu walibaki pale wakaamua kupajenga Leo wewe unapaita pazuri ,

Sema Nini !

liFe hAs opTionS,

We nenda kakae uko uko,
 
Apart from Canada na New Zealand
Hizo nyingine zote sio rafiki kwa mtu mweusi, utaishia kupiga deki vyoo na kuosha wazee, hakuna kazi ya elimu utapewa huko, hizi nchi hata kubeba box warehouse kwa mweusi hupati hiyo kazi
Ni US na UK tu ndio watathamini elimu yako na kuweza kufanya kaz iya maana, au kufanya kazi za casual kama kubeba box na udereva au hata kufungua shughuli yako binafsi.
 
Hebu tupe majibu ya haya maswali;

1.Ili Graduate ambaye hana kazi aweze kwenda huko anahitaji pesa kiasi gani?
2.Je akifika huko itamchukua muda gani kupata kazi ya kumfanya aishi maisha mazuri?
3.Atafanya kazi muda gani huko nchi za watu ili awe na uwezo wa kurudi na kuwekeza nchini mwake?
4.Mtu mwenye akili timamu lakini hana elimu akienda huko atafanya kazi gani?
5.Kazi ya Bodaboda huko inakubalika?
 
Back
Top Bottom