escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
Halafu anashambuliwa kwa kuusema ukweliccm chama cha majambazi kilichojivika ukijani. alisikika Dkt bashiru
bwashee wewe umetoa milioni ngapi hadi ukashinda?Mwaka ngumu huu
Hali ya mwenyekiti ndio hali ya vijana wakeHii video nimeiona sehemu ikabidi nipate uhakika kisha niipost...
Ukiwaona wanavyojitapa majukwaani CCM nambare wane kumbe nambare wane hii ya kutengeneza mafisadi papaHawa huko mbeleni wanashindwa vipi sasa kuwa mafisadi?
Hawa huko mbeleni wanashindwa vipi sasa kuwa mafisadi?
Vijana wanapikwa vizuri ili waje kula kwa urefu wa kamba zaoKwa ccm mbona hiyo kawaida sana..ccm ndio waasisi wa rushwa..wizi na utapeli..au umesahau hadi mwenyekiti wao kasema wale kwa urefu wa kamba zao.
#MaendeleoHayanaChama
Mkuu unajuaje kama hiyo ni rushwa na wala si posho za mkutano?Hii video nimeiona sehemu ikabidi nipate uhakika kisha niipost.
Hawa ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana Rushwa hadharani bila woga wala soni. Kama vijana wadogo wanalelewa hivi, je hiki chama kina nia kweli ya kutokomeza rushwa?
View attachment 2423201
PCCB wenyewe wanapewa rushwa nani atamfunga paka kengele?CCM na rushwa kamwe huwezi kuitenganisha ,najiuliza vyombo vyetu vya usalama vipo au vimeenda likizo au wenyewe wanakuwa na jukumu kuu la kupambana na upinzani
Ni maandalizi tu ya kuja kua mafisadi komavu!!Hii video nimeiona sehemu ikabidi nipate uhakika kisha niipost.
Hawa ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana Rushwa hadharani bila woga wala soni. Kama vijana wadogo wanalelewa hivi, je hiki chama kina nia kweli ya kutokomeza rushwa?
View attachment 2423201
Huko ndio mnafundisha vijana wawe mafisadi papa watafune nchiMambo ya CCM yanakuhusu nn?