escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
- Thread starter
- #101
Aibu tupu hawana aibu tena liwalo na liweYaani CCM yetu jamani jamani mpaka aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu tupu hawana aibu tena liwalo na liweYaani CCM yetu jamani jamani mpaka aibu
Hii video nimeiona sehemu ikabidi nipate uhakika kisha niipost.
Hawa ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana Rushwa hadharani bila woga wala soni. Kama vijana wadogo wanalelewa hivi, je hiki chama kina nia kweli ya kutokomeza rushwa?
View attachment 2423201
"Mtu hakimbilii ikulu; hakuna biashara kule, mtu yeyote anayepataka kwa faida yake HATUFAI"
Sina chama,Hata ya Simiyu mlisema ni umbea tu ila Katibu Mkuu wenu jana akaufutilia mbali uchaguzi. Haishangazi kuona CCM mkipingana na ukweli. Ndio kawaida yenu
Una level gani ya ELIMU? Unauwezo kueleza chochote kwenye hiyo clip kuhusu Forensic psychology ya watu hao?Mkuu unajuaje kama hiyo ni rushwa na wala si posho za mkutano?
Duh!!!!! Hatari sana halafu mtu anajitokeza na kuanza kumshambulia mtu mwingine anayetoa maoni ya kujenga kurekebisha mapungufu haya?Hii video nimeiona sehemu ikabidi nipate uhakika kisha niipost.
Hawa ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana Rushwa hadharani bila woga wala soni. Kama vijana wadogo wanalelewa hivi, je hiki chama kina nia kweli ya kutokomeza rushwa?
View attachment 2423201
CCM inaenda kufa kifo cha mendeDuh!!!!! Hatari sana halafu mtu anajitokeza na kuanza kumshambulia mtu mwingine anayetoa maoni ya kujenga kurekebisha mapungufu haya?
CCM has lost moral ethics and legitimacy authority to reign in Tanzania and they must be flushed away to safeguard the nation's interests
Ndani ya CCM watu wanatafuta Uongozi ili wajikwamue kimaisha. Ukipata Uongozi umetoboa, sababu ya rushwarushwa ndani ya ccm haiwezi kwisha kwani kwa sasa ndo inazidi kushamiri kabisaaa.hawa vijana wetu waliishajengewa hayo mawazo na hiki chama ndo maana hata wakipata ajira cha kwanza wanafikiria kupata rushwa ili wajikwamue na maish
Ukute vijana wa aina hii ndio wanaobebeshwa mabango na kujifanya ni wakulimanasikia urefu wa kamba unaongezeka
Nimebobea kwenye Forensic Computing mkuu! Unajingine nikusaidie?Una level gani ya ELIMU? Unauwezo kueleza chochote kwenye hiyo clip kuhusu Forensic psychology ya watu hao?
Huo ndio ushahidi au maneno matupu video imepewa maelezo na alierekodi shida imeanza pale no sawa na historia yako iandikwe na adui,,, inawezekn kweli wanapokea rushwa lakini kwa video ile sio ushahidi tosha ukifanyika uchunguzi wanaweza kuja na majibu sahihi kama kweli ni rushwa basi watawajibishwa.Mwenzako Mczigga, pamoja na kuiona video anataka ushahidi eti usio na shaka kwamba kinachotolewa hapo ni rushwa. Sijui kama anataka amsikie mtoa/mpokea fedha akitamka kwamba anatoa/anapokea rushwa! Hizo ndizo akili za wana CCM wenzako! Eti labda hao wanalipana tu posho...kwenye uchaguzi?
Kwa kweli nachoka. Unaweza kuta kuwa huyo Mczigga ni kiongozi wa chama au msimamizi wa uchaguzi! Kama rushwa ingekuwa inanuka kama choo, bado angedai alambishwe asikie kama ni choo kweli ndipo aamini! Watu wa aina hii ndio wamesaidia sana katika kutufikisha hapa tulipo kama taifa! Shame, shame, shame!
NDANI YA VYAMA??au ndani na chama (CCM) umewahi kuona hayo CUF?Uchaguzi ndani ya vyama Kwa Tz ni Rushwa tupu,hao sisiemu nikwasababu wameonekana tu
Kama umezaliwa mwaka 2000 huwezi kuelewaNDANI YA VYAMA??au ndani na chama (CCM) umewahi kuona hayo CUF?