escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
- Thread starter
- #81
Nisome vizuri hapo juu. Nimejiridhisha kwanza kabla ya kupost video hii. Hakuna posho yoyote ile iliyotolewa siku hiyo ya uchaguzi.Labda wanagawana posho za kikao utasema rushwa,, kwahiyo saizi watu wanaopeana hela barabarani wanagawana rushwa? Ila naamini hao jamaa wana akili wasingeweza kupeana rushwa hadharani kama pale.
Ndio uone jinsi CCM ilivyokosa aibu hadi watu wanagawana rushwa hadharani bila kuogopa kitu chochote