Kama ulihisi UVCCM Simiyu ni kiboko, hebu angalia hawa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana rushwa hadharani


Waache waendelee hivi hivi. Hawajui huku ndiyo kujikaanga na kujitafuna wenyewe.

Rushwa sasa haina aibu. Na hamna wa kumnyoshea kidole mwenzie.
 
Hata ya Simiyu mlisema ni umbea tu ila Katibu Mkuu wenu jana akaufutilia mbali uchaguzi. Haishangazi kuona CCM mkipingana na ukweli. Ndio kawaida yenu
Sina chama,
Hivi kweli hiyo clip inaweza kukubalika pasi na shaka kama ushahidi mahakamani?
 
rushwa ndani ya ccm haiwezi kwisha kwani kwa sasa ndo inazidi kushamiri kabisaaa.hawa vijana wetu waliishajengewa hayo mawazo na hiki chama ndo maana hata wakipata ajira cha kwanza wanafikiria kupata rushwa ili wajikwamue na maisha yao.
 
rushwa ndani ya ccm haiwezi kwisha kwani kwa sasa ndo inazidi kushamiri kabisaaa.hawa vijana wetu waliishajengewa hayo mawazo na hiki chama ndo maana hata wakipata ajira cha kwanza wanafikiria kupata rushwa ili wajikwamue na maish
 
Duh!!!!! Hatari sana halafu mtu anajitokeza na kuanza kumshambulia mtu mwingine anayetoa maoni ya kujenga kurekebisha mapungufu haya?

CCM has lost moral ethics and legitimacy authority to reign in Tanzania and they must be flushed away to safeguard the nation's interests
 
CCM inaenda kufa kifo cha mende
 
rushwa ndani ya ccm haiwezi kwisha kwani kwa sasa ndo inazidi kushamiri kabisaaa.hawa vijana wetu waliishajengewa hayo mawazo na hiki chama ndo maana hata wakipata ajira cha kwanza wanafikiria kupata rushwa ili wajikwamue na maish
Ndani ya CCM watu wanatafuta Uongozi ili wajikwamue kimaisha. Ukipata Uongozi umetoboa, sababu ya rushwa
 
What is happening in the ongoing ccm party elections can only be clearly examined through the "Psychology of Fraudsters" by the well-seasoned experts in 'Forensic Accounting and Financial Fraud Investigation'
 
Huo ndio ushahidi au maneno matupu video imepewa maelezo na alierekodi shida imeanza pale no sawa na historia yako iandikwe na adui,,, inawezekn kweli wanapokea rushwa lakini kwa video ile sio ushahidi tosha ukifanyika uchunguzi wanaweza kuja na majibu sahihi kama kweli ni rushwa basi watawajibishwa.
 
Uchaguzi ndani ya vyama Kwa Tz ni Rushwa tupu,hao sisiemu nikwasababu wameonekana tu
 
Uchaguzi ndani ya vyama Kwa Tz ni Rushwa tupu,hao sisiemu nikwasababu wameonekana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…