Kama ulikua hujui kuwa DAR ES SALAAM kuna TAPELI WA JUICE wacha nikufahamishe;-



WEWE UNAYETAPELIWA NDO HUNA AKILI. UNAJUA MTU HAKUTAHAMU ANAJIFANYA KUKUFAHAMU UNAONGEA NAYE. ANAKUPA JUICE HUELEWI UNAKUNYWA. WE UNA AKILI KWELI? MWACHENI APIGE PESA KWENU WAPUMBAVU MTAKUJA OLEWA KWA KUPENDA VITU VYA BURE AU KAMA NI WANAWAKE MTALAWITIWA KWA HUO UJINGA
 
 
You have to set standard unakunywaje juice ilimradi tu sijui unaonjeshwa n.k
 
Kuna vitu vinashangaza sana aiseeh mtu anakupaje kitu tena chakula tu barabarani humjui, hakujui wewe unapokea tu kuweka kinywani? Hiyo ni hatari ya kwanza, kula kula ovyo barabarani ukipewa sumu je? Hatari ya pili, unawezaje kupokea kitu chochote achilia mbali chakula bila kuomba hiyo huduma? Na kama unajua huna hela kwanini upokee? Yani kweli utoke huko utokako mtu hakujui humjui akupe tu kitu bure na wewe unapokea? Ni umaskini? Njaa? Tamaa? Uroho? Ama kitu gani? Yani kweli mtu anaweza kukaa sehemu tu agawe juice ya bure kwa kila mpita njia? Nimekwazika sana na hii stori ndugu mleta mada
 
Dar kuna wawendawazimu wengi mno, yn kiwepesi hvy tuu ahh kudadeki zenu watu wa daslamu ndo mana wanaume wa huko wanaonekana rojorojo
 
Hao jamaa hapo wapo miaka 20 nikiwa kijana mdogo naona wanarithishana hapo wanawapiga wajinga tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nyie mnaokuja toka mikoani ndio mnaongeza mambwiga mjini...
Huyu muuza juisi mwenyewe lazima atakuwa katokea mikoani...
Anajua jinsi ya watu wa mikoani walivyorahisi kuingilika na salamu ya kupeana mkono....
Kama umeishi Dar tokea utotoni, huwa hatuna hulka ya kuzungumza na mtu usiemjua....
Halafu wako humu wakijibu wakiwa mikoani kuwa hawatapeliki, wakati mtaji wa matapeli Dar ni watu wa mikoani....
 
Huyu mbona dawa yake ilisha elekezwa. Akikuitia juisi wewe respond kwa kumpiga kibao kimoja hatari sana..kisha endelea na safari zako. Nishampiga kibao huyo jamaa ila ebana eeh ana mashavu magumu kama mawe hadi leo nina alama kwenye mikono
 
Washamba wengi hapa Dar ni wakuja hata bodaboda wengi wapumbavu wamekuja Dar ukubwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…