The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Watu wengi ukiwemo wewe najua hujui hili,
Sasa leo kupitia grupu hili la Maajabu Ya Dunia wacha nikufahamishe,
Kama ilovyo kwa wanaume wengi hapa duniani huachwa na wanawake kisa umasikini,
Ndivyo pia ilivyomtokea mchungaji maarufu nchini TANZANIA kwasasa,
Anaejulikana kwa jina la BONIFACE MWAMPOSA,
MWAMPOSA huko nyuma kuna mwanamke mmoja alimpenda sana,
Lakini MWAMPOSA aliumizwa sana na yule mwanamke,
Kiasi ambacho MWAMPOSA bado kidogo awe kichaa,
Kwani MWAMPOSA aliachwa kwenye kipindi kigumu sana,
Na mwanamke aliemuacha na kusababisha maumivu makali kwa MWAMPOSA,
Sio mwengine ni huyo hapo wa kwanza kulia kwako,
Huyo ndio mwanamke aliemfanya vibaya sana MWAMPOSA kipindi anajitafuta,
Jina lake kamili anaitwa SYLVIA NTAMUTI,
Nimeamua kuwaletea makala hii kwasababu,
Nimeona watu wengi mtandaoni wakimshambulia MWAMPOSA,
Kuwa yeye ni anajitapa kuwa kiongozi wa dini,
Lakini kumbe kuna mwanamke amemtelekeza,
Na huku wengine aliemtelekeza sio mwanamke wake tu bali ni mke wa ndoa,
Sasa kabla na wewe hujamlaumu endelea kusoma makala hii kama ifuatavyo,
Sio kwamba MWAMPOSA hakuwa na mwanamke hapo awali,
Mwanamke alikuwa naye tena alifunga nae ndoa kabisa,
Na mwanamke huyo ni kama nilivyo sema hapo juu,
Kuwa ni huyo wa upande wa kulia kwako,
Huyo mwanamke walifunga ndoa kabisa ya kanisani,
Lakini mwanamke huyo aliachana nae kisa umasikini wa BONIFACE MWAMPOSA,
Na mwanamke huyo alienda kwa mwanaume mwengine mwenye pesa,
Huku akimwambia BONIFACE MWAMPOSA kuwa,
Huna hadhi ya kuwa na mimi hivyo siwezi kuishi na kapuku unae nuka umasikini,
MWAMPOSA hayo maneno yalimchoma vibaya mno,
Na ilifika muda bado kidogo awe kichaa,
Kwasababu MWAMPOSA alimpenda mno mkewe,
Na hakuwahi kuwaza kama ipo siku atakuja kuachwa kikatili namna hiyo,
Ndugu yangu usiombe ukaachwa na mtu unae mpenda,
Halafu aliemchukua mwanamke wako yupo hapohapo mtaani unaniona kila siku,
Sasa hicho ndicho kilicho mpata MWAMPOSA,
Lakini mungu alimsaidia akayapita hayo mazingira salama,
Na sasa kamuinua kuliko yule mwanaume aliemchukulia mke wake,
Na yule jamaa sasaivi Hali yake sio mzuri kiuchumi,
Kwani jamaa aliemchukulia MWAMPOSA mwanamke wake,
Alikua ni mfanyabiashara na sasa biashara zake zimefilisika,
Sasa baada ya mwanamke kuona bwana wake wa zamani Sasa amekua na pesa,
Na yule alienae hali yake ni mbaya baada ya kufilisika,
Yule mwanamke alianza kumsumbua MWAMPOSA,
Kwa kumtafuta kwenye simu mpaka kumfuata kanisani kwake,
Akiomba msamaha na kutaka warudiane,
MWAMPOSA alimjibu yule mwanamke kuwa,
Mimi siwezi kufanya hivyo na hata hivyo mimi nilisha mshukuru mungu kwa uliyonifanyia,
Nikaamua kupambana na maisha yangu nasasa ninae mwanamke mwengine,
Yule mwanamke hakutaka kuelewa na akawa anasambaza uongo kuwa,
MWAMPOSA ndie kamuacha na kuitelelekeza familia yake,
Kwa lengo tu la kumchafua aonekane mtu wa hovyo,
Sasa baada ya MWAMPOSA kuona hivyo,
Akaamua kumuwahi kwa kumtambulisha mkewe hadharani,
Kabla mwanamke huyo muongo haja usambaza uongo wake na kuchafua kiongozi wa watu,
Na mwanamke aliemtambulisha hadharani kama mke wake,
Ni huyo hapo mwanamke wa katikati muangalie,
Hiyo ndio sababu ya MWAMPOSA kumtambulisha mkewe mpya hadharani,
Na huo ndio mkasa kamili wa BONIFACE MWAMPOSA.
Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka morogoro