Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
katoto flani simple,huyo wa sasa ni tipwa flan ivAlikuwa kisa na bonge la limwanya!

Sema nae anapenda Sana mademu asioendana nao, hata huyo wa sasa ikitokea Kanisa limefungwa na hotel kufilisika atamuacha Tu. Aangalie mademu wa hadhi Yale, hawa Wengine ni for public consumption tuWatu wengi ukiwemo wewe najua hujui hili,
Sasa leo kupitia grupu hili la Maajabu Ya Dunia wacha nikufahamishe,
Kama ilovyo kwa wanaume wengi hapa duniani huachwa na wanawake kisa umasikini,
Ndivyo pia ilivyomtokea mchungaji maarufu nchini TANZANIA kwasasa,
Anaejulikana kwa jina la BONIFACE MWAMPOSA,
MWAMPOSA huko nyuma kuna mwanamke mmoja alimpenda sana,
Lakini MWAMPOSA aliumizwa sana na yule mwanamke,
Kiasi ambacho MWAMPOSA bado kidogo awe kichaa,
Kwani MWAMPOSA aliachwa kwenye kipindi kigumu sana,
Na mwanamke aliemuacha na kusababisha maumivu makali kwa MWAMPOSA,
Sio mwengine ni huyo hapo wa kwanza kulia kwako,
Huyo ndio mwanamke aliemfanya vibaya sana MWAMPOSA kipindi anajitafuta,
Jina lake kamili anaitwa SYLVIA NTAMUTI,
Nimeamua kuwaletea makala hii kwasababu,
Nimeona watu wengi mtandaoni wakimshambulia MWAMPOSA,
Kuwa yeye ni anajitapa kuwa kiongozi wa dini,
Lakini kumbe kuna mwanamke amemtelekeza,
Na huku wengine aliemtelekeza sio mwanamke wake tu bali ni mke wa ndoa,
Sasa kabla na wewe hujamlaumu endelea kusoma makala hii kama ifuatavyo,
Sio kwamba MWAMPOSA hakuwa na mwanamke hapo awali,
Mwanamke alikuwa naye tena alifunga nae ndoa kabisa,
Na mwanamke huyo ni kama nilivyo sema hapo juu,
Kuwa ni huyo wa upande wa kulia kwako,
Huyo mwanamke walifunga ndoa kabisa ya kanisani,
Lakini mwanamke huyo aliachana nae kisa umasikini wa BONIFACE MWAMPOSA,
Na mwanamke huyo alienda kwa mwanaume mwengine mwenye pesa,
Huku akimwambia BONIFACE MWAMPOSA kuwa,
Huna hadhi ya kuwa na mimi hivyo siwezi kuishi na kapuku unae nuka umasikini,
MWAMPOSA hayo maneno yalimchoma vibaya mno,
Na ilifika muda bado kidogo awe kichaa,
Kwasababu MWAMPOSA alimpenda mno mkewe,
Na hakuwahi kuwaza kama ipo siku atakuja kuachwa kikatili namna hiyo,
Ndugu yangu usiombe ukaachwa na mtu unae mpenda,
Halafu aliemchukua mwanamke wako yupo hapohapo mtaani unaniona kila siku,
Sasa hicho ndicho kilicho mpata MWAMPOSA,
Lakini mungu alimsaidia akayapita hayo mazingira salama,
Na sasa kamuinua kuliko yule mwanaume aliemchukulia mke wake,
Na yule jamaa sasaivi Hali yake sio mzuri kiuchumi,
Kwani jamaa aliemchukulia MWAMPOSA mwanamke wake,
Alikua ni mfanyabiashara na sasa biashara zake zimefilisika,
Sasa baada ya mwanamke kuona bwana wake wa zamani Sasa amekua na pesa,
Na yule alienae hali yake ni mbaya baada ya kufilisika,
Yule mwanamke alianza kumsumbua MWAMPOSA,
Kwa kumtafuta kwenye simu mpaka kumfuata kanisani kwake,
Akiomba msamaha na kutaka warudiane,
MWAMPOSA alimjibu yule mwanamke kuwa,
Mimi siwezi kufanya hivyo na hata hivyo mimi nilisha mshukuru mungu kwa uliyonifanyia,
Nikaamua kupambana na maisha yangu nasasa ninae mwanamke mwengine,
Yule mwanamke hakutaka kuelewa na akawa anasambaza uongo kuwa,
MWAMPOSA ndie kamuacha na kuitelelekeza familia yake,
Kwa lengo tu la kumchafua aonekane mtu wa hovyo,
Sasa baada ya MWAMPOSA kuona hivyo,
Akaamua kumuwahi kwa kumtambulisha mkewe hadharani,
Kabla mwanamke huyo muongo haja usambaza uongo wake na kuchafua kiongozi wa watu,
Na mwanamke aliemtambulisha hadharani kama mke wake,
Ni huyo hapo mwanamke wa katikati muangalie,
Hiyo ndio sababu ya MWAMPOSA kumtambulisha mkewe mpya hadharani,
Na huo ndio mkasa kamili wa BONIFACE MWAMPOSA.
Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka morogoro
ukristo haufahamu vizuri, kuachana kupo but under condition ambazo ni ngumu sana. Tena kama pande zote zilishirikishwa na kujaribu na mmoja akakataa.Sasa si nasikiaga kwenye ukristo hakuna kiachana hata iweje na ni ndoa moja tu,sasa imekuwaje mtumishi akaoa mtu mwengine ilihali mke wake bado yupo hai?
Oooh dah basi sawa mi nilikuwa najua hamna kuachna hata iweje labda mtu afeukristo haufahamu vizuri, kuachana kupo but under condition ambazo ni ngumu sana. Tena kama pande zote zilishirikishwa na kujaribu na mmoja akakataa.
Ni process ndefu. It no joke
Hiyo kitu humjeruhi mwanaume sana
Mkuu 😂 unasema alikuwa na limwanya? Li zuri au libayaaAlikuwa kisa na bonge la limwanya!
Kweli mkuu!ukristo haufahamu vizuri, kuachana kupo but under condition ambazo ni ngumu sana. Tena kama pande zote zilishirikishwa na kujaribu na mmoja akakataa.
Ni process ndefu. It no joke
Hiyo kitu humjeruhi mwanaume sana
Mkuu Chadema inaingiaje!!? Hapa!!.....Hii habari yako itawaepusha vipi CHADEMA na kichapo kitakatifu kwenye sanduku la kura?
Wanatuchanganya tu! Na mimi nilikuwa najua ni huyu!
Inaelekea huyo mwanamke ni malaya na ana nuksi na ana pepo la ufilisiWatu wengi ukiwemo wewe najua hujui hili,
Sasa leo kupitia grupu hili la Maajabu Ya Dunia wacha nikufahamishe,
Kama ilovyo kwa wanaume wengi hapa duniani huachwa na wanawake kisa umasikini,
Ndivyo pia ilivyomtokea mchungaji maarufu nchini TANZANIA kwasasa,
Anaejulikana kwa jina la BONIFACE MWAMPOSA,
MWAMPOSA huko nyuma kuna mwanamke mmoja alimpenda sana,
Lakini MWAMPOSA aliumizwa sana na yule mwanamke,
Kiasi ambacho MWAMPOSA bado kidogo awe kichaa,
Kwani MWAMPOSA aliachwa kwenye kipindi kigumu sana,
Na mwanamke aliemuacha na kusababisha maumivu makali kwa MWAMPOSA,
Sio mwengine ni huyo hapo wa kwanza kulia kwako,
Huyo ndio mwanamke aliemfanya vibaya sana MWAMPOSA kipindi anajitafuta,
Jina lake kamili anaitwa SYLVIA NTAMUTI,
Nimeamua kuwaletea makala hii kwasababu,
Nimeona watu wengi mtandaoni wakimshambulia MWAMPOSA,
Kuwa yeye ni anajitapa kuwa kiongozi wa dini,
Lakini kumbe kuna mwanamke amemtelekeza,
Na huku wengine aliemtelekeza sio mwanamke wake tu bali ni mke wa ndoa,
Sasa kabla na wewe hujamlaumu endelea kusoma makala hii kama ifuatavyo,
Sio kwamba MWAMPOSA hakuwa na mwanamke hapo awali,
Mwanamke alikuwa naye tena alifunga nae ndoa kabisa,
Na mwanamke huyo ni kama nilivyo sema hapo juu,
Kuwa ni huyo wa upande wa kulia kwako,
Huyo mwanamke walifunga ndoa kabisa ya kanisani,
Lakini mwanamke huyo aliachana nae kisa umasikini wa BONIFACE MWAMPOSA,
Na mwanamke huyo alienda kwa mwanaume mwengine mwenye pesa,
Huku akimwambia BONIFACE MWAMPOSA kuwa,
Huna hadhi ya kuwa na mimi hivyo siwezi kuishi na kapuku unae nuka umasikini,
MWAMPOSA hayo maneno yalimchoma vibaya mno,
Na ilifika muda bado kidogo awe kichaa,
Kwasababu MWAMPOSA alimpenda mno mkewe,
Na hakuwahi kuwaza kama ipo siku atakuja kuachwa kikatili namna hiyo,
Ndugu yangu usiombe ukaachwa na mtu unae mpenda,
Halafu aliemchukua mwanamke wako yupo hapohapo mtaani unaniona kila siku,
Sasa hicho ndicho kilicho mpata MWAMPOSA,
Lakini mungu alimsaidia akayapita hayo mazingira salama,
Na sasa kamuinua kuliko yule mwanaume aliemchukulia mke wake,
Na yule jamaa sasaivi Hali yake sio mzuri kiuchumi,
Kwani jamaa aliemchukulia MWAMPOSA mwanamke wake,
Alikua ni mfanyabiashara na sasa biashara zake zimefilisika,
Sasa baada ya mwanamke kuona bwana wake wa zamani Sasa amekua na pesa,
Na yule alienae hali yake ni mbaya baada ya kufilisika,
Yule mwanamke alianza kumsumbua MWAMPOSA,
Kwa kumtafuta kwenye simu mpaka kumfuata kanisani kwake,
Akiomba msamaha na kutaka warudiane,
MWAMPOSA alimjibu yule mwanamke kuwa,
Mimi siwezi kufanya hivyo na hata hivyo mimi nilisha mshukuru mungu kwa uliyonifanyia,
Nikaamua kupambana na maisha yangu nasasa ninae mwanamke mwengine,
Yule mwanamke hakutaka kuelewa na akawa anasambaza uongo kuwa,
MWAMPOSA ndie kamuacha na kuitelelekeza familia yake,
Kwa lengo tu la kumchafua aonekane mtu wa hovyo,
Sasa baada ya MWAMPOSA kuona hivyo,
Akaamua kumuwahi kwa kumtambulisha mkewe hadharani,
Kabla mwanamke huyo muongo haja usambaza uongo wake na kuchafua kiongozi wa watu,
Na mwanamke aliemtambulisha hadharani kama mke wake,
Ni huyo hapo mwanamke wa katikati muangalie,
Hiyo ndio sababu ya MWAMPOSA kumtambulisha mkewe mpya hadharani,
Na huo ndio mkasa kamili wa BONIFACE MWAMPOSA.
Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka morogoro
Nguvu ya kuachwa imempa msukumo wa kupambanaJe! Mwaposa asingeachwa si angebweteka si tusingekuwa tunamjua wazee au
Kwa level aliyofikia sahau kufilisika hawa wanazijua siri za utajiri.Sema nae anapenda Sana mademu asioendana nao, hata huyo wa sasa ikitokea Kanisa limefungwa na hotel kufilisika atamuacha Tu. Aangalie mademu wa hadhi Yale, hawa Wengine ni for public consumption tu
Kama shida ni mwanamke na sio wewe unatoboaKweli mkuu!
Ukiona mwanaume anakuhangaika ndoa yake kutovunjika ... Kufikia hatua ya talaka
Ila mwisho wa siku, Hilo likitimia na ndoa ikavunjwa ... Kama huyo mwanaume aataendelea kufanikiwa katika maisha
Basi huyo mwanaume apewe heshima yake. Majeraha ya moyo, yana tabia ya Ku slow down mafanikio ya mtu
Mwanamke mpumbavu anastahili talaka maandiko yapo wazi.Oooh dah basi sawa mi nilikuwa najua hamna kuachna hata iweje labda mtu afe
Ahsante kwa kunielewesha🙏
Inawezekana shida usiwe wewe ila mwanamke, lakini Hilo tendo la ndoa kuvunjika ... Kama mtu hapata neema ya Mungu.Kama shida ni mwanamke na sio wewe unatoboa
Kabla hajaitwa kwenye uchungaji alikuwa anafanya biashara maisha yanaenda sasa unadhani pisi hio angeipataje bila pesa.Mbona unahadithia km unalia?
Huyo mwanamke mpaka anakubali kufunga naye ndoa na kumzalia Mwamposa alikua tajiri??