Kama ulikua hujui kuwa MWAMPOSA aliwahi kuachwa na mwanamke kisa umaskini wacha nikufahamishe;-

Kama ulikua hujui kuwa MWAMPOSA aliwahi kuachwa na mwanamke kisa umaskini wacha nikufahamishe;-

Mwanamke pekee anaeweza kukuvumilia wakati wa mapito ni yule ubavu wako yaani uliyepewa na Mungu.
Unajua unaweza ukaomba mme au mke shetani akawahi akakupa wa kwake, ndio hizo ndoa zinazovunjika.
Adam wako Eva wako ni lazima mzeeke wote na mfanane mkifika kuanzia miaka 50.
Ukiona ndoa ndoano huyo sio wako ni WA mtu,wengi wanao kuolewa na wasio wao
 
Hili la wanawake kuwaacha wanaume kwa sbb za umaskini wengi linatukuta.
Cha kushangaza huyo mwanamke ni kama ana kufungulia njia ya mafanikio.
Unastawi kiuchumi kimwili kiakili na kiimani kuliko mwanzo.
 
Tutaaminije kama haya uliyoyaelezea kuwa ni ya kweli? ndiyo kusema wewe unamfahamu Mwamposa kuliko watu wengine?
 
Back
Top Bottom