Kama ulikubali na unakubali siasa za Hayati Magufuli hupaswi kuukosoa mkataba wa Bandari

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Magufuli ndio aliharibu uchaguzi wa 2020 akatuletea mabumunda mjengoni sasa leo wanapitisha mikataba ya kipopoma mnapiga kelele.

Athari za utawala mbaya wa magufuli zitadumu kwa miaka mingi sana. Wote mnaoshadadia siasa za hayati Magufuli hamna moral authority ya kuukosoa upopoma wa wabunge na bunge hili aliloliweka mwendazake.
 
Kwani wewe unadhani tungekuwa na mbunge kama wewe tungekuwa na nafuu yoyote?
Kikwete wakati anagawa gesi si tulikuwa na wabunge wa upinzani, mbona hawakututetea wakati huo, na gesi yetu ikatapeliwa nao wakiwa mjengoni?
Magufuli (rip) alipinga kwa nguvu zote mikataba ya kizezeta kama huu, kwa nini tusione fahari kuunga mkono siasa zake?
Nyie ndio mlikuwa mnaimba pambio za mama anaupiga mwingi, msianze kujilizaliza sasa hivi. Tulieni dawa iingie, labda mtaamka toka usingizini.
Alisema: mtamkumbuka, tena kwa mema!
 
Ni mkataba upi ambao hao unaowaita wapinzani walishwawi ukwamisha usipite Bungeni , ?? Maazimio yote yamekuwa yakipita Bungeni hao wapinzani waliishia kutoka tuu Bungeni na mambo hakaenda ? Hao wapinzani ndo zero brain kabisa
 
We ndio lofa kweli mikataba ya hovyo yote wabunge wa upinzani walipinga vilivyo kwa maslahi ya taifa ila kwakuwa wananchi bado ni wajinga na nyie ccm mnaiba kura ndio huwa mna wa outnumber wapinzani hivyo mambo yenu ya hovyo mnapitisha kwasababu ya wingi wenu. Je umesahau mkataba wa kuuza gesi ulipitiahwa kwa hati ya dharura? Mpaka wapinzani wakatolewa kwa nguvu bungeni kwa kupinga? Mungu mbariki lissu na wenzake ana kiti chake mbinguni.
Kwani wewe unadhani tungekuwa na mbunge kama wewe tungekuwa na nafuu yoyote?
Kikwete wakati anagawa gesi si tulikuwa na wabunge wa upinzani, mbona hawakututetea wakati huo, na gesi yetu ikatapeliwa nao wakiwa mjengoni?
Magufuli (rip) alipinga kwa nguvu zote mikataba ya kizezeta kama huu, kwa nini tusione fahari kuunga mkono siasa zake?
Nyie ndio mlikuwa mnaimba pambio za mama anaupiga mwingi, msianze kujilizaliza sasa hivi. Tulieni dawa iingie, labda mtaamka toka usingizini.
Alisema: mtamkumbuka, tena kwa mema!
Ho
 
Ni mkataba upi ambao hao unaowaita wapinzani walishwawi ukwamisha usipite Bungeni , ?? Maazimio yote yamekuwa yakipita Bungeni hao wapinzani waliishia kutoka tuu Bungeni na mambo hakaenda ? Hao wapinzani ndo zero brain kabisa
Huna ujualo endelea kubinua traco.
 
Ninaamini mtakuja kuamka kutoka usingizini siku moja......ni suala la muda tu
 
Magufuli ndio aliharibu uchaguzi wa 2020 akatuletea mabumunda mjengoni sasa leo wanapitisha mikataba ya kipopoma mnapiga kelele.

Athari za utawala mbaya wa magufuli zitadumu kwa miaka mingi sana. Wote mnaoshadadia siasa za hayati Magufuli hamna moral authority ya kuukosoa upopoma wa wabunge na bunge hili aliloliweka mwendazake.
Kipindi cha mkapa na kikwete ndio kulikuwa na madudu mengi na mikataba ya hovyo kupata kutokea na scandal za ajabu upinzani ulikuwa na viti vya kumwaga hatukuona walichopinga zaidi ya kugombea kuwa wenyeviti wa kamati za bunge ili wapige pesa na rushwa vizuri!
 
Magufuli ndio aliharibu uchaguzi wa 2020 akatuletea mabumunda mjengoni sasa leo wanapitisha mikataba ya kipopoma mnapiga kelele.

Athari za utawala mbaya wa magufuli zitadumu kwa miaka mingi sana. Wote mnaoshadadia siasa za hayati Magufuli hamna moral authority ya kuukosoa upopoma wa wabunge na bunge hili aliloliweka mwendazake.
Ni kipindi gani kulikuwa na bunge lenye akili na likasimamia mikataba inayotufaa?
Nipe muhula mmoja kama unao kuanzia 1995 mpaka 2020 ambao wabunge waligomea mikataba ya hovyo.
 
Magufuli ndio aliharibu uchaguzi wa 2020 akatuletea mabumunda mjengoni sasa leo wanapitisha mikataba ya kipopoma mnapiga kelele.

Athari za utawala mbaya wa magufuli zitadumu kwa miaka mingi sana. Wote mnaoshadadia siasa za hayati Magufuli hamna moral authority ya kuukosoa upopoma wa wabunge na bunge hili aliloliweka mwendazake.
Jizi la upinzani lilibanwa na Magu alivyofariki likafanya sherehe, likasema linaupiga mwingi saiv linalialia tena kama umbwa
 
Magufuli ndio aliharibu uchaguzi wa 2020 akatuletea mabumunda mjengoni sasa leo wanapitisha mikataba ya kipopoma mnapiga kelele.

Athari za utawala mbaya wa magufuli zitadumu kwa miaka mingi sana. Wote mnaoshadadia siasa za hayati Magufuli hamna moral authority ya kuukosoa upopoma wa wabunge na bunge hili aliloliweka mwendazake.
Magufuli hakuharibu uchaguzi wa 2020, ni kwamba wapigakura walifumbuka macho wakaona ulaghai wa wapi zani na hasara ya kuwachagua. Mfano halisi ni Halima Mdee na Askofu Gwajima jimbo la Kawe. Rais alisema Halima hupinga kila kitu hata kujenga barabara za Kawe, sasa atajengaje barabara zao ziwasaidie? Akasema: NILETEENI GWAJIMWA, wakamletea Gwajima, hakuna wizi hapo. Halima akatoa mpya eti kakamata furishi la kura feki, kumbe zilichapwa Mlimani City na CHADEMA walipokaribia polisi wazichukue ushahidi Halima na mabaunsa wake wakazichoma moto. Na Iringa Mjini hivo hivo, na Hai kwa Mbowe mwenyewe. Magufuli aliwafunbua macho wapiga kura. Huku akielimisha watu, mpinzani wake Tundu Lissu yeye akimwaga matusi eti Chato Airport haifai, yaani watu wa huko milioni 8 hadi Bukoba hawastahili airport nzuri? Mbona kwa Mbowe ziko 3 watu milioni 2 umbali kilometa 45? Wajipange 2025.
 
Ni bajeti ipi,azimio lipi au muswada upi umewahi kushindwa kupita kisa uwepo wa wapinzani bungeni toka 1996?

Siasa za uchama bila akidi kambi ya upinzani bungeni ni kama baiskeli ya kunolea visu tu.

Hata ungepelekwa muswada wa kufuta vyama vingi enzi za JK ungepita tu zaidi wangeleta fujo na kutolewa nje kwa kuburuzwa kama vibaka.
BUNGENI.jpg
 
Ni azimio lipi au muswada upi umewahi kushindwa kupita kisa uwepo wa wapinzani bungeni toka 1996?

Siasa za uchama bila akidi kambi ya upinzani bungeni ni nyuki wa mashineni tu.
Hawa chadema ndo wameharibu kbs upinzani nchi hii watu wasitegemee la maana kutoka Kwa hawa ni waongo na wachonganishi Tu huku nyuma ya pazia wakiangalia maslahi yao
 
Kwani wewe unadhani tungekuwa na mbunge kama wewe tungekuwa na nafuu yoyote?
Kikwete wakati anagawa gesi si tulikuwa na wabunge wa upinzani, mbona hawakututetea wakati huo, na gesi yetu ikatapeliwa nao wakiwa mjengoni?
Magufuli (rip) alipinga kwa nguvu zote mikataba ya kizezeta kama huu, kwa nini tusione fahari kuunga mkono siasa zake?
Nyie ndio mlikuwa mnaimba pambio za mama anaupiga mwingi, msianze kujilizaliza sasa hivi. Tulieni dawa iingie, labda mtaamka toka usingizini.
Alisema: mtamkumbuka, tena kwa mema!
Hatukatai angekuwepo Magu huu mkataba bila shaka ungekua na vifungu bora zaidi na vyenye manufaa kwa wabongo,na kwasababu hayupo na yy ndo aliemchagua Samia kuwa msaidiz wake plus bunge la mbereko aliloliacha hawez kuruka kulaumiwa
 
Magufuli ndio aliharibu uchaguzi wa 2020 akatuletea mabumunda mjengoni sasa leo wanapitisha mikataba ya kipopoma mnapiga kelele.

Athari za utawala mbaya wa magufuli zitadumu kwa miaka mingi sana. Wote mnaoshadadia siasa za hayati Magufuli hamna moral authority ya kuukosoa upopoma wa wabunge na bunge hili aliloliweka mwendazake.
Aliondoa wapinzani wote akidai tunachelewesha maendeleo. Cha ajabu wamebakia CCM wenyewe ndio wanakoleza ufisadi. Itakua unafiki sana kuona sukuma gang anakosoa bunge ilihali ni zao la JPM.

Yule dikteta aliharibu sana nchi, wapinzani wangekuwepo walau wangeleta balance ya mijadala bungeni na isingepitishwa kizembe zembe tu.
 
Ni bajeti ipi,azimio lipi au muswada upi umewahi kushindwa kupita kisa uwepo wa wapinzani bungeni toka 1996?

Siasa za uchama bila akidi kambi ya upinzani bungeni ni nyuki wa mashineni tu.

Hata ungepelekwa muswada wa kufuta vyama vingi enzi za JK ungepita tu zaidi wangeleta fujo na kutolewa nje kwa kuruzwa kama vibaka.
Uko sahihi,lakini tofauti na sasa ni kwmb bungeni hamna hata mtu wakutoa elimu wa wananchi ambao hawana uelewa kila anaesimama hatimiz kusudio la muda wako badala yake anatoa mapambio yanapigwa makofi kibao anakaa then anakwambia anaunga hoja,
Na kwa utaratibu wa kura za ndio na hapana plus ushabiki wa kichama unadhan tangu tumeanza uhuru awamu gani wangekua na nafasi za kushinda kwa kura bungeni
 
Kwani wewe unadhani tungekuwa na mbunge kama wewe tungekuwa na nafuu yoyote?
Kikwete wakati anagawa gesi si tulikuwa na wabunge wa upinzani, mbona hawakututetea wakati huo, na gesi yetu ikatapeliwa nao wakiwa mjengoni?
Magufuli (rip) alipinga kwa nguvu zote mikataba ya kizezeta kama huu, kwa nini tusione fahari kuunga mkono siasa zake?
Nyie ndio mlikuwa mnaimba pambio za mama anaupiga mwingi, msianze kujilizaliza sasa hivi. Tulieni dawa iingie, labda mtaamka toka usingizini.
Alisema: mtamkumbuka, tena kwa mema!
Acha uongo wapinzani walipinga muswada ule na walitoka bungeni ila CCM mkapitisha kwa ubabe.

tunachoshangaa hao wabunge aliopitisha JPM majimbo yote wakashinda tuliambiwa ni wazalendo na kwamba wapinzani tulikua tunachelewesha Sasa Cha ajabu wabunge waliopitishwa na JPM ndio Wana support ufisadi Kila kukicha.

Sasa unachotetea ni Nini haswaa? Hao wabunge unaoita mafisadi ndio hao hao zao la JPM
 
Ni mkataba upi ambao hao unaowaita wapinzani walishwawi ukwamisha usipite Bungeni , ?? Maazimio yote yamekuwa yakipita Bungeni hao wapinzani waliishia kutoka tuu Bungeni na mambo hakaenda ? Hao wapinzani ndo zero brain kabisa
zero brain ni wew na wapumbavu wenzio mnaofikir magufuli alikua kiongoz kumbe lilikua lishetani leo hii mnajambajamba eti wabunge wamekosea swali hao wabunge wenu walipelekwa na nani kwa nguvu humo bungeni eti unasema wabunge wa upinzan waliishia kutoka nje kwa hio ulitaka wabaki bungen waungane na mashoga ya ccm ambayo yalikua mengi kwa wizi wa kura, wewe ni mpuuz kama hayo mabunge yenu majingamajinga.
 
Back
Top Bottom