Kama ulikubali na unakubali siasa za Hayati Magufuli hupaswi kuukosoa mkataba wa Bandari

Kama ulikubali na unakubali siasa za Hayati Magufuli hupaswi kuukosoa mkataba wa Bandari

JPM ndio kasaini mikataba.

Haya kakojoe ulale.
 
miluzi mingi humpoteza mbwa apa ishu kubwa ni uo mkataba usio na kikomo na wakinyonyaji..
 
Wapinzani gani walikuwa wanapitisha upuuzi? Bunge la Heche,Lissu ,Mnyika ,Zitto,Wenje,Sugu,Mbowe? Unadhani wangekuwepo wangecopy na kupaste bila kuedit?
Wabunge wa upinzani hawajawahi kuwa wengi kiasi cha kukwamisha masuala ya serikali ya ccm huko bungeni.
 
Back
Top Bottom