Magufuli hakuharibu uchaguzi wa 2020, ni kwamba wapigakura walifumbuka macho wakaona ulaghai wa wapi zani na hasara ya kuwachagua. Mfano halisi ni Halima Mdee na Askofu Gwajima jimbo la Kawe. Rais alisema Halima hupinga kila kitu hata kujenga barabara za Kawe, sasa atajengaje barabara zao ziwasaidie? Akasema: NILETEENI GWAJIMWA, wakamletea Gwajima, hakuna wizi hapo. Halima akatoa mpya eti kakamata furishi la kura feki, kumbe zilichapwa Mlimani City na CHADEMA walipokaribia polisi wazichukue ushahidi Halima na mabaunsa wake wakazichoma moto. Na Iringa Mjini hivo hivo, na Hai kwa Mbowe mwenyewe. Magufuli aliwafunbua macho wapiga kura. Huku akielimisha watu, mpinzani wake Tundu Lissu yeye akimwaga matusi eti Chato Airport haifai, yaani watu wa huko milioni 8 hadi Bukoba hawastahili airport nzuri? Mbona kwa Mbowe ziko 3 watu milioni 2 umbali kilometa 45? Wajipange 2025.