Kama ulikuwa huijui Yanga SC ya GSM, La Liga, Sevilla na Mshindo Msolla basi ni hii

kama Haya ni yakwel ngoja nibet mwadui anashinda niweke dau kubwa kama laki

Japo Mimi siyo Yanga SC na wala sitokuja Kuipenda Yanga SC hadi naingia Kaburini Kwangu Siku yangu ikiwadia, ila nakuhakikishia japo ndani ya Yanga SC kuna Mpasuko mkubwa sana Leo watajitahidi kwa namna yoyote ile iwe ya ndani au nje ya Uwanja ili Washinde kusudi waweze kurejesha Imani kwa Mashabiki wao lakini pia wanaelekea Dodoma baada ya Leo hivyo kwakuwa Dodoma pia kuna Matajiri na Wabunge wengi wa Yanga SC hawatataka Kuwaudhi hivyo Leo afe Mmaasai au Mmang'ati Yanga SC itashinda tu Ndugu yangu. Itunze hii post yangu tafadhali.
 
Hii mbaula imechoka kinoma
Your browser is not able to display this video.
 
Mataga
 
Yanakuhusu kwani umbea tu huo unakuwasha.kajadilini ya mikia muwe na jengo la maana sio pale mbanano kariakoo
 
Ulikuwa wapi kuyasema au kutuambia haya mapema hadi umesubiri leo kawapeni Makavu ambayo mlitakiwa muyatafakari ili mtoke huko kubaya?
Mashabiki wa underdog mna shida sana
 
Mnyero united mnavyopayuka humu utadhani hata mechi zenu huwa mnashinda kihalali!
 
mashabiki wa hili litim lililoanzishwa na mganga wa kienyeji wana shida kweli kweli, nguvu yao ipo mdomoni, uwanjani ni mwendo wa kununua marefa & mechi, sijui uwekezaji wa mabilioni lakini uwanjani hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…