Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama Haya ni yakwel ngoja nibet mwadui anashinda niweke dau kubwa kama laki
Hii mbaula imechoka kinoma1. Timu inasafiri na Basi bovu kabisa ambalo wamepata nalo Breakdown mara mbili na kama si Umahiri wa Dereva wangekufa.
2. Bumbuli ni Msemaji wa Yanga SC na Nugaz ni Msemaji wa Yanga GSM Sports Club.
3. Kiungo Mshambuliaji Bernard Morissson Kagoma Kusafiri na Timu kwakuwa haipandi Ndege na Yeye Basi hajalizoea.
4. Mwenyekiti Msolla na Makamu wake Mwakalebela wanapishana na hawapatani kama Israel na Palestine.
5. Mshambuliaji David Molinga ni zaidi ya Kocha Msaidizi wa Yanga SC Charles Boniface Mkwasa.
6. Mhamasishaji Nugaz na Msemaji Bumbuli sasa si tu kuwa wana Bifu bali wameanza hata Kuhujumiana na Kusalitiana Kiutendaji.
7. Ndani ya Wachezaji wa Yanga SC tayari kuna Mpasuko mkubwa kwani kuna ambao Wanatengwa na Wanaonyenyekewa.
Upuuzi huu Kamwe hutokaa kuja ama Kuukuta au Kuusikia abadan kwa Timu iliyobarikiwa sana / mno na Mwenyezi Mungu ya Simba Sports Club.
Utopolo wanatembelea rim sasaView attachment 1477010
Mataga1. Timu inasafiri na Basi bovu kabisa ambalo wamepata nalo Breakdown mara mbili na kama si Umahiri wa Dereva wangekufa.
2. Bumbuli ni Msemaji wa Yanga SC na Nugaz ni Msemaji wa Yanga GSM Sports Club.
3. Kiungo Mshambuliaji Bernard Morissson Kagoma Kusafiri na Timu kwakuwa haipandi Ndege na Yeye Basi hajalizoea.
4. Mwenyekiti Msolla na Makamu wake Mwakalebela wanapishana na hawapatani kama Israel na Palestine.
5. Mshambuliaji David Molinga ni zaidi ya Kocha Msaidizi wa Yanga SC Charles Boniface Mkwasa.
6. Mhamasishaji Nugaz na Msemaji Bumbuli sasa si tu kuwa wana Bifu bali wameanza hata Kuhujumiana na Kusalitiana Kiutendaji.
7. Ndani ya Wachezaji wa Yanga SC tayari kuna Mpasuko mkubwa kwani kuna ambao Wanatengwa na Wanaonyenyekewa.
Upuuzi huu Kamwe hutokaa kuja ama Kuukuta au Kuusikia abadan kwa Timu iliyobarikiwa sana / mno na Mwenyezi Mungu ya Simba Sports Club.
1. Timu inasafiri na Basi bovu kabisa ambalo wamepata nalo Breakdown mara mbili na kama si Umahiri wa Dereva wangekufa.
2. Bumbuli ni Msemaji wa Yanga SC na Nugaz ni Msemaji wa Yanga GSM Sports Club.
3. Kiungo Mshambuliaji Bernard Morissson Kagoma Kusafiri na Timu kwakuwa haipandi Ndege na Yeye Basi hajalizoea.
4. Mwenyekiti Msolla na Makamu wake Mwakalebela wanapishana na hawapatani kama Israel na Palestine.
5. Mshambuliaji David Molinga ni zaidi ya Kocha Msaidizi wa Yanga SC Charles Boniface Mkwasa.
6. Mhamasishaji Nugaz na Msemaji Bumbuli sasa si tu kuwa wana Bifu bali wameanza hata Kuhujumiana na Kusalitiana Kiutendaji.
7. Ndani ya Wachezaji wa Yanga SC tayari kuna Mpasuko mkubwa kwani kuna ambao Wanatengwa na Wanaonyenyekewa.
Upuuzi huu Kamwe hutokaa kuja ama Kuukuta au Kuusikia abadan kwa Timu iliyobarikiwa sana / mno na Mwenyezi Mungu ya Simba Sports Club.
Mashabiki wa underdog mna shida sanaUlikuwa wapi kuyasema au kutuambia haya mapema hadi umesubiri leo kawapeni Makavu ambayo mlitakiwa muyatafakari ili mtoke huko kubaya?
Kulitaka Mwana, Kulipewa Mwana.Utopolo Deportivo de Mkunungu bado sana kufikia level ya Simba SC.
Mwana Kulitaka Mwana Kulipewa.
Kalia tako moko FC.Utopolo Deportivo de Mkunungu bado sana kufikia level ya Simba SC.
Mwana Kulitaka Mwana Kulipewa.
Mikia FC tako moko.Mada nzuri sana na ya kipekee.Yanga ni timu yenye asili ya propaganda nyingi za uongo kuliko uhalisia wa mambo.