Kama ulikuwa hujui, Dola ya Kimarekani imeandikwa “In God we Trust”

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Kama ulikua hujui Dolla 100 ya Kimarekani imeandikwa in In God we Trust



Tunasemaga wazungu hawamwamini Mungu.

Mbona wameenda mbali hadi kumwandika Mungu kwenye pesa.

Nimeamini wazungu wanamwamini Mungu kuliko sisi.

Ninani anaweza kuweka maneno ya Mungu kwenye kitu chake chochote hapa???

Tunataka kuwajua
 
Kwani wamarekani nao ni wazungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…