Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Unajua kirefu chake?Kama ulikua hujui Dolla 100 ya Kimarekani imeandikwa in In God we Trust
View attachment 3067201
Tunasemaga wazungu hawamwani Mungu.
Mbona wameenda mbali hadi kumwandika Mungu kwenye pesa.
Nimeamini wazungu wanamwamini Mungu kuliko sisi.
Ninani anaweza kuweka maneno ya Mungu kwenye kitu chake chochote hapa???
Tunataka kuwajua
GOD:
G:=GOLD
O: OIL
D: DIAMOND