Kama ulikuwa hujui, Dola ya Kimarekani imeandikwa “In God we Trust”

Kama ulikuwa hujui, Dola ya Kimarekani imeandikwa “In God we Trust”

Kama ulikua hujui Dolla 100 ya Kimarekani imeandikwa in In God we Trust

View attachment 3067429

Tunasemaga wazungu hawamwamini Mungu.

Mbona wameenda mbali hadi kumwandika Mungu kwenye pesa.

Nimeamini wazungu wanamwamini Mungu kuliko sisi.

Ninani anaweza kuweka maneno ya Mungu kwenye kitu chake chochote hapa???

Tunataka kuwajua
Ndo unajua leo?
 
Unaweza kuthibitisha kuwa huyo Martin Luther King aliyesema I have a dream alikuwa na biblia yake? Ndiyo leo nasikia.
Hukushuhudia uapisho wake Obama?
Alishika Biblia mbili boss
Jisomee zaidi kwanza
Screenshot_20240812_073631_Google~2.png
Screenshot_20240812_073527_Google~2.png
 
Unajua kirefu chake?
GOD:
G:=GOLD
O: OIL
D: DIAMOND
Lazima pia useme which GOD sababu wahindi wanasepa na ng'omba na sisi kabla ya Hawa Vimeo tulikua tunaabudu Mibuyu,Mizimu,na all traditions,nyoosha maelezo whixh God,yule wa Alon Musk,God of Cow,God of Fake Islael,Ni yupi huyo walomwandika,huyu wa magaidi wa ICC au yupi.
 
Mkuu mimi ndio nimejua juzi

Ungekua unafanya biashara/kazi zinazohusisha sana dollar ungekua umejua hili siku nyingi. Wajinga wa story za freemasonry nao wanalijua sana hili ila wana tafsiri yao kama akili zao.
 
Kataa ndoaaa kama pauloo
Mie ukiniambia kataa ndoa sikuelewi hata kidogo, bakini na kataa ndoa yenu sababu kila mtu na maono yake, kila mtu na mapotio yake.

Mie NISHAOA na NINAINJOI mzee... hakuna hata sekunde nishawahi kujuta kuoa.
 
Lazima pia useme which GOD sababu wahindi wanasepa na ng'omba na sisi kabla ya Hawa Vimeo tulikua tunaabudu Mibuyu,Mizimu,na all traditions,nyoosha maelezo whixh God,yule wa Alon Musk,God of Cow,God of Fake Islael,Ni yupi huyo walomwandika,huyu wa magaidi wa ICC au yupi.
Huu mwandiko unafanana maongezi ya Dr. Shika, mtu aliyechafukwa.
Gold ni moja tu. yaani ni kito cha thamani.
Ikiwa utamaanisha gold nyingine...ningesema labda red gold etc.
 
Kama unataka facts fuatilia mizozo kuanzia Afghanistan🇦🇫, Iraq 🇮🇶, Syria na eneo lote la mashariki ya kati. USA kila anapotia mguu amefuata dhahabu, almasi au mafuta na kote huko kuna machafuko..
Sikatai huwa wanatumia migogoro kujinufaisha wao, ILA hiyo sio fact kwamba hizo herufi ndo zilimaanisha hivyo, kwanini watenganishe gold, na diamond wakati zote ni madini ya thamani?

Kama ni hivyo ni kumaanisha wanataka madini ya gold na diamond tu, madini mengine ya thamani hawana habari nayo?

Kuna sababu ilipelekea hayo maneno kuwekwa kwenye dolla, ipo history kabisa. Na kinachosomeka hapo ndicho walichomaanisha.

Njoo na fact, za kueleweka uthibitishe kwamba congress waliopitisha huo motto walikuwa na ajenda hii hapa, dondosha na ushahidi dhahiri sio wakubuni. Tofauti na hapo utakuwa unapotosha kinyume na ukweli.

Nipo tayari kujifunza lete nondo mkuu.
 
Back
Top Bottom