Kama ulikuwa hujui, Dola ya Kimarekani imeandikwa “In God we Trust”

Unajua kirefu chake?
GOD:
G:=GOLD
O: OIL
D: DIAMOND
 
In (Gold, Oil and Diamond) we trust.
 
Kuna wahuni watasema hapo wanamaanisha in Lucifer we trust.
Huyu Mungu tunayejivunia Waafrika hao wazungu ndio wametuonyesha.
 
Mungu yupi wanaomuwmini wao, maana tunaemuamini sisi KAKATAZA dhuluma, kKAKATAZA ushoga na mengine, wao ndio kipaumbele chao.. usikute ni mungu tofauti na unaemuamini wewe
 
Hata north korea , official name yao ni:
Democratic People's Republic of Korea
DPRK
 
Usisahau hilo neno lilikua limewekwa na Eye of providence

So unatakiwa u define kwanza ni Mungu yupi
 

Huo ni motto wa marekani ambao uliwekwa mwaka 1957. Wazungu wa mwaka 1957 sio wa leo hii.

Pia hawajataja Mungu gani , hivyo hatujui kama wanamaanisha Mungu wa biblia, Quran ama Mungu gani

Pia Mungu inategemea na Imani, utamaduni na desturi ya watu. Mungu wa wachina sio Mungu wa wahindi kiutamaduni na desturi..
 
Mungu ni Mungu mmoja, muumba wa vyote.
Changamoto ni watu kutokujua Mungu ni nini, na kinapatikana wapi.
Mungu inategemea na Imani, utamaduni na desturi ya watu. Mungu wa wachina sio Mungu wa wahindi kiutamaduni na desturi..
 
ndo maana mm piga ua lzm nimuoe Meneja Wa Makampuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…