USD 💶 inatengenezwa na Israelites elite unity ndio maana nikazi kuiangushaKama ulikua hujui Dolla 100 ya Kimarekani imeandikwa in In God we Trust
View attachment 3067201
Tunasemaga wazungu hawamwamini Mungu.
Mbona wameenda mbali hadi kumwandika Mungu kwenye pesa.
Nimeamini wazungu wanamwamini Mungu kuliko sisi.
Ninani anaweza kuweka maneno ya Mungu kwenye kitu chake chochote hapa???
Tunataka kuwajua
HOwIn GOD we Trust => katika Mungu tunayemuamini.
We Trust in GOD => Tunaamini katika Mungu.
In GOD we Trust != We Trust in GOD.
Nadhani kuna kitu kimejificha kwenye hiyo sentence...
Tiwaze...
Nani anakatisho shoo.Hata Mashoga nao wanaamini katika Mungu.
kwani kuna shido?
Angalia vizuri Kuna noti zao zina zile alama maarufu za FreemasonsKama ulikua hujui Dolla 100 ya Kimarekani imeandikwa in In God we Trust
View attachment 3067201
Tunasemaga wazungu hawamwamini Mungu.
Mbona wameenda mbali hadi kumwandika Mungu kwenye pesa.
Nimeamini wazungu wanamwamini Mungu kuliko sisi.
Ninani anaweza kuweka maneno ya Mungu kwenye kitu chake chochote hapa???
Tunataka kuwajua
Tena unaweza ukute waafrica ndo wabaguzi kuliko wazungu, yaan wamejiandikia wenyewe IN GOD WE TRUST sis tumeanza kudadavua kua sio MUNGU huyu tunae mjuaKuna wahuni watasema hapo wanamaanisha in Lucifer we trust.
Huyu Mungu tunayejivunia Waafrika hao wazungu ndio wametuonyesha.
Mkuu hii umebuni ama ni verified. Unaweza kuthibitisha tujifunze.Unajua kirefu chake?
GOD:
G:=GOLD
O: OIL
D: DIAMOND
Ndio ukweli mtupu.Nimeamini wazungu wanamwamini Mungu kuliko sisi.
Unaifahamu Nyimbo ya taifa ya Marekani..Kama ulikua hujui Dolla 100 ya Kimarekani imeandikwa in In God we Trust
View attachment 3067201
Tunasemaga wazungu hawamwamini Mungu.
Mbona wameenda mbali hadi kumwandika Mungu kwenye pesa.
Nimeamini wazungu wanamwamini Mungu kuliko sisi.
Ninani anaweza kuweka maneno ya Mungu kwenye kitu chake chochote hapa???
Tunataka kuwajua
Ndio ukweli mtupu.
Ila kuna wakuaji wa buza watakuambia dini ni utumwa.
Ukiachana na wazungu, nenda hapo Korea Kusini ndio utaina jinsi wanavyomwamini na kumuabudu Mungu. Zingatia uchumi wao unavyokua kwa kasi. Singapore nako wanafanya kama Korea Kusini na uchumi umeitika.
Sema haujafuatilia tu zipo pesa kadhaa zimewekwa jina la Mungu mfano wa haraka ni pesa za kuwaiti ukisoma juu kabisa utaona sentensi hii "وبالله نستعين" maana yake " In God we seek help" kwa kiswahili " kwa Mungu tunahitajia msaada".Kama ulikua hujui Dolla 100 ya Kimarekani imeandikwa in In God we Trust
View attachment 3067201
Tunasemaga wazungu hawamwamini Mungu.
Mbona wameenda mbali hadi kumwandika Mungu kwenye pesa.
Nimeamini wazungu wanamwamini Mungu kuliko sisi.
Ninani anaweza kuweka maneno ya Mungu kwenye kitu chake chochote hapa???
Tunataka kuwajua
Wewe mjinga sana hata historia haujui , historia inajidhihisha Islamic Empires zimeishi huku zikitambua dini nyingine kama sehemu ya Jamii.Na nakwambia kuwa,
kama Waislamu wangekuwa na nguvu ya kuitawala
Dunia.
Kwa lazima, tunge lazimishwa wote tuwe Waislamu.
Na sisi tunao ukataa Uislamu tunge uwawa wote kwa kuchinjwa.
Huwa nashangaa na kubaki uliza.
Hivi ni kwanini huu ulazimishaji wa wote tuwe Waislamu ?
Kama Uislamu ni Dini sahihi, ni kwanini Waislamu hawana furaha hadi sisi sote tuwe
Waislamu?
Naomba majibu zafadhalini.
Mfano
Huyo Mungu Allah, mimi simwamini kama ni Mungu halisi kabisa.
Na ni kwanini anani lazimisha nifuate mafundisho yake ?
Mimi Mungu wangu sio Allah.
Allah ni Mungu wa matapeli
Muhammadi na Majini ndio Waislamu safi.