Kama ulikuwa hujui, Dola ya Kimarekani imeandikwa “In God we Trust”

Taifa la Marekani liliundwa katika misingi miwili REPUBLICANISM na PROTESTANTISM yani dini na serikali kwa pamoja vikiwa na utendaji usioingiliana.
 
Kwani hujui Kuna miungu mbali mbali...labd Mungu wanayemuongelea hapo Ni tofauti kabisa na Mungu unayemjua wewe
 
Wewe mjinga sana hata historia haujui , historia inajidhihisha Islamic Empires zimeishi huku zikitambua dini nyingine kama sehemu ya Jamii.
Mwulize mleta mada ni kwanini Somalia Wakristo wanaabudu kwa kujificha ?
Ila Wabudha, Wahindu, Waislamu na dini nyingine Wapo huru kuabudu.
 
Ukweli ni kwamba taifa la marekani limejengwa katika misingi ya kumwamini Mungu(creator of universe).

Wamarekani wanaomwamini Mungu ni wachache ukilinganisha na Africa, ila ukweli hao wachache wana imani kali sana ukilinganisha na africa ilivyo (wanaonekana wengi ila ni wafuata miujiza, wenye imani thabiti ni wachache na wengi utawapata sio wafia dini).

Elon Musk ni mfano mmoja wapo, si mfia dini ila ana imani thabiti na matokeo yake tunayaona.

Usodoma marekani upo tena wasioamini wapo wengi tu ila misingi ya taifa lao inaamini katika Ultimate Power The Creator of Universe. Ndo maana hata wewe utawapinga lakini mwisho wa siku utawaitaji tu na watakufikia iwe moja kwa moja au indirectly kupitia misaada wanayotoa. Na hiyo ni kanuni ya Mungu kuwa jibu kwa wanaokuzunguka.
 
Bila fact huu ni upotoshaji ama umetumia ubunifu wa akili.
Kama unataka facts fuatilia mizozo kuanzia Afghanistan🇦🇫, Iraq 🇮🇶, Syria na eneo lote la mashariki ya kati. USA kila anapotia mguu amefuata dhahabu, almasi au mafuta na kote huko kuna machafuko..
 
Kama unataka facts fuatilia mizozo kuanzia Afghanistan🇦🇫, Iraq 🇮🇶, Syria na eneo lote la mashariki ya kati. USA kila anapotia mguu amefuata dhahabu, almasi au mafuta na kote huko kuna machafuko..
In God We Trust ni maneno ya Biblia.
 
Unaweza kuthibitisha kuwa huyo Martin Luther King aliyesema I have a dream alikuwa na biblia yake? Ndiyo leo nasikia.
 
Mungu yupi wanaomuwmini wao, maana tunaemuamini sisi KAKATAZA dhuluma, kKAKATAZA ushoga na mengine, wao ndio kipaumbele chao.. usikute ni mungu tofauti na unaemuamini wewe
Kataa ndoaaa kama pauloo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…