Kama ulishawahi kumkimbia mwanamke lodge tukutane hapa

Sheikhe.umefanya makosa makubwa sana.hilo shamba ningekuwa mimi ningelilima bila jembe
 
hahaha
 
Hahaha...pole sana mkuu, ila jinsi ukivyomdescribe daah [emoji23]
 
Kwangu alikula bia nyingi sana kucheki 150000 pamoja na kuku sana ,nikampa chake 40000 kabla gemu nikajifanya kulala kumbe namchungulia ,hela akazungushia kwenye chupi na kuweka kwenye tendego la kitanda akakoroma baada ya hapo nikachukua zote na chupi nikaficha chini ya ndoo bafuni nikarudi kulala asubuhi akaniamsha nimgonge nikagonga mbili fasta nikaenda kuoga yeye akasubiri nimalize kuoga mimi nikamuaga namtuma vocha mhudumu ndio mazima,sema nilishawahi kukutana naye anasema hakumbuki aliweka wapi hela .pombe sio chai
 
Siyo mbaya ilikuwa mbinu ya kushinda vita
 
Kuna demu nilifukuzia kwa mda mrefu, lkn alikuwa mtata, mi nikapotezea. Baadaye kanitext mambo nikamjibu poa, akasema naomba pesa ninashida, kwa vile mzee nilikuwa namfukizia mda mrefu Nikajua hii ndo fursa.fast a nkarusha 15000,baadaye nkamuuliza VP ombi langu?dogo kajibu amekubali.zikapita siku kadhaa ,kanitext tena naomba 30000 faster mzee nikatupia. Na hapo bado sijala mzigo.sikumoja kanipigia sim lini twende town akanipetpet?.tukapanga siku tuende gest.siku ikafika Yale mazingira sikuwa mwenyeji sana. Ikabidi yeye ndo anipeleke kwenye gest nzuri. Dogo alionekana mzoefu sana na ile gest nikajiuliza kajuaje huku?.bad ikabidi nianze kuwa makini na huyo demu. Tukaingia gest, kabla ya sex nkamwambia twende tukachek afya kwanza, dogo kakubali,tulipofika getini mwa gest dogo kaanza kugoma. Nilimbembeleza sana lkn dogo kagoma.ikabidi
 
Haaaaaahaaaaaaaaa umenifanya nicheke sana
 
Samahani wadau issue yangu sikumalia tanesco walifanya yao.sasa yule dogo si kagoma kupima, ni nikampa nauli asepe zake.tukawa tumekata mawasiliano tangu siku hiyo. Baada ya mwezi mmoja kupita kunaskendo zikaanza kuzagaa mtaani kwetu kuwa yule dem amemwambukiza mshkaji flani ngoma kwa maksudi. Sikutaka kuamini, lkn nilivofuatilia nikakuta kweli watu wengi wanajua dogo anangoma. Aisee nilijiona ni MTU mwenye bahati mno. Vijana tujitahidi kupima, usimwamini MTU kwa macho
 
Mi huwa nawachana laivu
Mfano mmoja alikuja kukaa na mie ile kuagiza kataja jina la kinywaji ambacho hata sijawahi lisikia hilo jina ikabidi nidakie fasta kwani hiyo bei gani nikaambiwa ni tsh 25000
Nikamgeukia mdada we fulani si uagize tu hizi bia zetu hiyo makitu unayotaka ndo bajeti yangu nzima kwa leo
Nikamwona akawa mdogo akasema nipe castle [emoji16][emoji742][emoji742][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji742][emoji16][emoji16][emoji742][emoji16][emoji16][emoji742][emoji16]
[emoji742][emoji742][emoji742][emoji742][emoji16][emoji742][emoji742][emoji742]
[emoji742][emoji16][emoji16][emoji742][emoji16][emoji16][emoji742][emoji16]
[emoji742][emoji16][emoji16][emoji742][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu wewe ni bonge la midfielder. Unapanda na kushuka! Beki hazikabi. Nyuma ngumu.
 
Mkuu mlikuwa mmetokea wapi mpk mkafika Msamvu? So mkuu ulihonga viatu!
 
Duh![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Nakumbuka nilikuwa bar fulani nasaga mirungi na mvinyo mdogo×2 mara mhudumu akajipendeza basi siku hio tulipeana kampani kwa kweli ila ss huyo mdada alikuwa mtata wa kupenda pesa sana uzuri alinikuta na mm siku hio mambo financial yamekaa vizur kwahiyo tukamlizana fresh,baada ya kama 2 weeks nikahudhuria tena hapo ila safari hii sikuwa na kitu zaid ya hela kula/kunywa na chumba,kama kawaida yake si akajua danga lake nipo fresh wala hata siku hio sikuwa na wazo la kutaka mwanamke ila kwasababu alijileta nikaona poa tuu,yy umechukua chumba no ngap nikamwelekeza baada ya kufunga bar akaja,baada ya sebene la nguvu mida ya saa 8 usku story 2 3 nikamwambia mm leo sina kitu,aisee mbona aliwakia kwenye gia!,akaniambia asubuh utanijua mm ndio mmachame sikuja mjini kuchekea wanaume[emoji23],na mm nikafikiria haraka haraka nikaona asubuh huyu dada anaweza kunijazia inzi na kudhalilishana hapa,basi nikambeleza nikamwambia na ww huniwii,nikaomba game akanipa nilipiga show moja ya uhakika naamin hatanisahau huko alipo,baada ya show si akapitiwa usingizi ilikuwa mida ya saa 5 kasoro,na mm sikutaka kuremba nilivaa zangu fresh nikamuaga mlinzi nawahi mabasi ya mkoani chap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…