Kama ulishawahi kumkimbia mwanamke lodge tukutane hapa

Umenivunja mbavu mkuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka hatari
 
Kama mitandao mngeitumia kama fursa ya kutafuta jinsi ya kujiinua kichumi vijana wengi wangekua mbali zaidi kuliko mada ambazo hazina faida hata kwa mtoa mada
ww veepe?? una kiwanda nn??
 
We jamaa kama umetunga basi we kiboko.
 
Mi niliwahi kumkimbia mwanamke kwa sababu ifuatayo:
Ilikuwa ni siku ya Jumamosi moja ya mwaka 2013, siku hiyo nilikuwa nipo katika dozi ya Typhoid na Malaria, tangu asubuhi nilikuwa sijala kitu then kwenye saa 7 mchana ndio dem akanicall kuwa anakuja so nikapiga menu fasta na kumeza vidonge vya Metakelfin+Ciprofloxacin+Paracetamol then nikaingia Guest na kuanza kumsubiria demu nikiwa na chupa ya 1½ltrs, unaambiwa robo saa baadae dem akawa amewasili ili tufanye yetu....[emoji13] [emoji13] [emoji13] Asikwambie mtu ile kuanza foreplay za hapa na pale mara paap nikaanza kufeel dizzy[emoji56] [emoji56] [emoji13] [emoji13] [emoji13] dakika 5 mbele nikaanza kuwa sijitambui[emoji38] [emoji38]
Hapo unaambiwa nikahisi hapa sasa naweza kuvuta muda wowote, nilimpa yule dem kama 20,000 na kuchoropoka nduki[emoji125] [emoji125] hadi home. Nilipofika niliingia chumbani na kuchukua kopo la maji 6ltrs nikaweka pembeni ya kitanda na kulala. Unaambiwa hapo nilikuwa najihisi vibaya sana mpaka nilipopata usingizi. Nimekuja kushtuka saa12 jioni.
Dah! Ingekuwa bonge la noma kufia guest tena wakati wa mjambozz. Yaani sitajaribu tena hii[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
umevimba uka vimbiwa.
wenzako wanaji shusha unamueleza tunaweza tuka share ka elfu 30 haka angalau tukanywa.hapo hata kuwa mpole,lakini una muhita tu.
 
Itakua moro
 

haka kastory kazuri na hizi Bar zipo km si Arusha basi ni Moshi maeneo ya mafuta street au Dar road
lkn mida umechanganya, Bar inafungwa saa 8 kakushtukia na alipokupa mchezo ni saa 5 ukasepa kuwahi mabasi labda ni saa 11 alfajiri 'Like 'nakupa
 
Siku moja nimepanga miadi na dem wangu ili tukapate moja moto moja baridi,
Ghafla akaja na rafiki zake wawili,jumla tukawa wa 4 ktk meza
Ikanibidi nichkue simu yangu huku nikim text dem wangu kuwa hawa rafki zako wataondoka mida gani?ili watupishe tukapumzike.
Najibiwa wataondoka tu baby wala usisaji,ukizingatia hao marafiki komba kasingiziwa,wanashusha lager kama mashindano ya Promo
Mara wakaagiza mchesho,nikitazama mizani kuna chupa kama 9 za castle na zingine zimeshachkuliwa na mhudumu
Hapo hapo nikajiongeza kama naenda toilet kukojoa vile,,Nilitoka Baruti hadi nje,nikadaka bodaboda Nduki!!!!!
Naskia walipigishwa deki bar yote na kuosha vyombo vya hotelini
 
Mbona sijaona wanawake waliowatoroka wanaume?
 
Mbona sijaona wanawake waliowatoroka wanaume?
Tupo
Nakumbuka kipindi hiko Green Palm Kunduchi inabamba ile mbaya.
Siku hiyo nikaenda nikakutana na jamaa katoka zake mulemule ndani Club kalewa chakari, akanielewa, akaniomba game tuakelewana tukaenda kulala pale gesti karibu na kona ya msikiti.

Tumefika tukapiga game fresh tu.
Nikamwambia kuwa saa 11 alfajiri inabidi nisepe maana nguo niliyovaa sio, akasema hayakuwa makubaliano yetu.
Hapa hutoki mpaka saa 4 Asubuhi ndipo nakukabidhi mzigo wako.
Mie nikatulia kusubiri nimfanyie umafia.

Jamaa kapiga game, akapitiwa na usingizi, kalala fofofo.
Nikaamka nikaanza kumpiga sachi, piga sachi kila sehemu...holaaa
Nikasema huyu simuachi.

Kumbe pesa kaweka ndani ya kiatu, katoa kapeti kisha kadumbukiza kule.
Nikaziona nikabeba nikatia kwenye maziwa.
Nanyata nafika mlangoni, funguo haupo kumbe aliutoa.
Dah!!
Piga sachi tena...nikaupata kauweka chooni chini ya ndoo ya maji.
Nikafungua nikasepa saa 9 usiku.
Kumkomoa nikaondoka na kiatu chake kimoja na mkanda wa suruali.

Nafika home nahesabu pesa, sh 70 elfu.
Nikasema bora hata hivyo.
Yule jamaa sikuja kuonana nae tena.
 
Kumbe ndo wewe,leo tumekutana. Naomba kiatu change na mkanda😛😛😛😛😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…