Kama uliwahi kusoma darasani, kuishi karibu au kujuana na mtu maarufu (celebrity), maisha yake yalikuwaje?

Ulivyomtaja Zola d umenikumbusha kitambo Sana, huyu alikuwa rafiki yangu wa kalamu, nilikuja kutembea mpaka kwake,alafu nilikuwa sikujua kama star, baadaye ndo najua, kwake usiku mlango hafungi na hakuna kibaka wala mwizi anayesubutu kuingia kwake.
 
Sijakupata hapo unaposema "babuu wa kitaa na mdogo wake country boy" ina maana hao jamaa ni ndugu??
 
Wee!Mama P alikua bandidu sana ,enzi hizo shule zilikua chache sana,Za gvt kama 8 au tisa, private hazifik 30 so mnajuana sana hapa mjini!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee shos ndo kipindi cha kina kajala? Mmmh
 
Nilisoma na Rashid Makwiro aka Chid boy enzi hizo na Chid Benz siku hizi...he was naughty kama alivyokuwa kitaa alikuwa anachana mistari kitamboo kiboko yake chid ni headmaster Usangira na Second Master Maguhu rip chid mnyama kitambo yaani hiyo ilikuwa 2000s mwanzomwanzo
 
Wengi sana, kuanzia Primary, O-level, A-level, Chuo, jeshini hadi KAZINI aisee, nikifikiria naona ni bahati sana!
 
Ngwair, mez B, Noorah,......na wengine walijaribu mziki ukawakataa. Hawa mziki toka primary.
 
Mshukuru sana dogoo!!!
 
Mimi nimesoma na darasa moja na Kabudi habari za mitishamba alizipenda tangu tukiwa shule [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…