Kama uliwahi kusoma darasani, kuishi karibu au kujuana na mtu maarufu (celebrity), maisha yake yalikuwaje?

Kama uliwahi kusoma darasani, kuishi karibu au kujuana na mtu maarufu (celebrity), maisha yake yalikuwaje?

Mbuyuni nlipofukuzwa nkaenda forodhani pry school nkakutana na mke wa mengi ntabaile rdhwn kikwt pia
R. K alikuwa mnyonge mkimya tu

Ova
 
Morogoro, Nilikutana Na 20% Akiwa Amekaa Juu Ya Mpera Nikamsalimia Na Kumuomba Anichumie Pera Akanijibu "Acha Tamaa, Sifa Ya Moyoo Tamaa, Tamaa Mbaya Mdg Wangu" Nashangaa Baadae Akaja Kuimba Wimbo Huo...Wimbo Ulitungiwa Juu Ya Mpera Ule.
Hapa tumepigwa
 
Nilipokuwa nasoma shule kulikuwa karibu na dudu baya... Kila siku tulikuwq tunamkuta kwenye mikorosho anatia zake ganja...

Tukimsogelea alikuwa anatukimbiza sana..
 
Aggrey yupi huyo? Huyu huyu au? Nimecheka mie lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe ni msomi mzuri tyuuh, sasa kwann ana haha vile, nkajuaga Elimu haijapanda, afu nilikua nadhan ni mdogo yulee kumbe mtu mzima khaaah.

Daaah aiseeeeh, nimekumbuka niliwahi kumuona pale ubungo plaza hizo tashititi zake sasa mie hoi. Uwiiiih
Huyu huyu
Msomi tena IT mzuri tu basi tu
 
AY shule moja alinitangulia darasa moja.

Datazi nilimtangulia darasa moja.

Kuhusu Kajala tulifahamiana tu yeye akisoma shule moja Songea huko, likizo ndio ilikua namfahamu zaidi)
Itakua iringa hii!??
Acha niushie hapa![emoji3]
 
Squeezer - Morogoro Secondary
SELE - Misufini Area Moro
FA - High School
Kali P - Vingunguti
Dudubaya - Same Getto Moro

Wana tabia km waTz tulivyo!
[emoji3][emoji3]Kwenye tabia nimecheka
 
AY, Kajala na Dataz

AY alikua mstaarab sana, asiye na makuu. Walikua na kundi lao likiitwa SoG tokea wako shule O' Level.

Dataz hutu alihamia akiwa na kipaji na hilo jina la Dataz ameanza nalo tokea akiwa O'level.

Kajala hapa naomba nisiongee sana ila alikua mzuri sana, na yeye alikua anajua kwamba ni mzuri (naongelea wakati namfaham akiwa form two wazazi wake wakiwa wanaishi O'bay polisi).
Kwahiyo Mkuu kwenu palikua wapi? Block 41, Best bite au Mafreti?
 
Dah niliwahi kupanga nyumba moja na bwana mdogo linex mitaa ya Africana dogo ganja sana na kundi lake ilikuwa kero sana dogo nilihama nikamuacha nikaja kusikia alifulia mbaya mpaka Kodi akashindwa kulipa wakapelekana serikali za mtaa na mwenye nyumba ndio dogo akahama
 
Producer Lamar
Kennedy yule model amemuoa Miss Tz
Buff G
KidBwoy
Fatma Almas Nyangasa

Maisha yao yalikuwa ya kawaida tu wachakarikaji sana
Navyojua Lamar na Chid Benz wamesoma shule 1 ndio maana alikuwa anapenda kusema classmatee kwenye midundo aliyopiga Lamar, yeye hujasoma nae mkuu?
 
Back
Top Bottom