torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 3,978
- 9,841
famasi ?Nilisoma na one incredible chuo...alikua mwana tu no makuu
Nilisoma na aggrey chuo...mambo yake ya kushushua ila hakua Kama alivyo sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
famasi ?Nilisoma na one incredible chuo...alikua mwana tu no makuu
Nilisoma na aggrey chuo...mambo yake ya kushushua ila hakua Kama alivyo sasa
Aggrey huyu shogaNilisoma na one incredible chuo...alikua mwana tu no makuu
Nilisoma na aggrey chuo...mambo yake ya kushushua ila hakua Kama alivyo sasa
Mkuu ulibonyeza ngapi mpaka ukafukuzwa shule ya msingi?Mbuyuni nlipofukuzwa nkaenda forodhani pry school nkakutana na mke wa mengi ntabaile rdhwn kikwt pia
R. K alikuwa mnyonge mkimya tu
Ova
Utovu wa nidham, utoroMkuu ulibonyeza ngapi mpaka ukafukuzwa shule ya msingi?
Hapa tumepigwaMorogoro, Nilikutana Na 20% Akiwa Amekaa Juu Ya Mpera Nikamsalimia Na Kumuomba Anichumie Pera Akanijibu "Acha Tamaa, Sifa Ya Moyoo Tamaa, Tamaa Mbaya Mdg Wangu" Nashangaa Baadae Akaja Kuimba Wimbo Huo...Wimbo Ulitungiwa Juu Ya Mpera Ule.
NdiyoAggrey huyu shoga
Umeandika ninifamasi ?
Huyu huyuAggrey yupi huyo? Huyu huyu au? Nimecheka mie lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ni msomi mzuri tyuuh, sasa kwann ana haha vile, nkajuaga Elimu haijapanda, afu nilikua nadhan ni mdogo yulee kumbe mtu mzima khaaah.
Daaah aiseeeeh, nimekumbuka niliwahi kumuona pale ubungo plaza hizo tashititi zake sasa mie hoi. Uwiiiih
Itakua iringa hii!??AY shule moja alinitangulia darasa moja.
Datazi nilimtangulia darasa moja.
Kuhusu Kajala tulifahamiana tu yeye akisoma shule moja Songea huko, likizo ndio ilikua namfahamu zaidi)
[emoji3][emoji3]Kwenye tabia nimechekaSqueezer - Morogoro Secondary
SELE - Misufini Area Moro
FA - High School
Kali P - Vingunguti
Dudubaya - Same Getto Moro
Wana tabia km waTz tulivyo!
Kwahiyo Mkuu kwenu palikua wapi? Block 41, Best bite au Mafreti?AY, Kajala na Dataz
AY alikua mstaarab sana, asiye na makuu. Walikua na kundi lao likiitwa SoG tokea wako shule O' Level.
Dataz hutu alihamia akiwa na kipaji na hilo jina la Dataz ameanza nalo tokea akiwa O'level.
Kajala hapa naomba nisiongee sana ila alikua mzuri sana, na yeye alikua anajua kwamba ni mzuri (naongelea wakati namfaham akiwa form two wazazi wake wakiwa wanaishi O'bay polisi).
[emoji3][emoji3]Wengine sijui tulisoma na wachawi wale! Balaa tupu
Navyojua Lamar na Chid Benz wamesoma shule 1 ndio maana alikuwa anapenda kusema classmatee kwenye midundo aliyopiga Lamar, yeye hujasoma nae mkuu?Producer Lamar
Kennedy yule model amemuoa Miss Tz
Buff G
KidBwoy
Fatma Almas Nyangasa
Maisha yao yalikuwa ya kawaida tu wachakarikaji sana
Nahisi kamaanisha famousUmeandika nini
[emoji16][emoji1787]Pole pole, mnyika etc
Nawajua vzr Hapo mbuyuni
Walikuwa wapole, wanyonge
Walikuwa John kisomo wkt ss tulikuwa
Wazee wa umabo, kuingilia dirishani kutokea dirishani
Ova