Naona umemiss enzi za true love kabla ya penzi biashara 😁2002 am 17 nna videmu vyangu mnakubaliana kuonana kesho nyuma ya shule Fulani saa saba mchana na unawnsa unamkuta kweli. Wacha kabisa hilo vibe mzee. Imagine kipindi hicho hakuna simu so kwenye kutongoza hakuna mambo yankuombana namba za simu wala kutongoza kwa meseji ni unamtongoza live kianalojia
Ohoo hapo nimekumanyaNilikuwa mtoto wa primary miaka ya tisini... Nilikuwa nazungumzia vibe la maisha yangu ya utoto
Acha kunizoea vibaya 'maku' Wewe sawa?Wachana kabisa na miaka ya tisini. Usifananishe na kitu chochote. Anyways hiyo Back City wakuja wengi hawaijui. Mimi kaetu Rock City nimekuja Dar mwaka 1994 nipo la tatu tumehamia huku. Ila wazawa wa mikoani kama GENTAMYCINE haawezi kuijua Back City.. Kama vipi tum challenge popoma atuambie Back City ni wapi hapa Dar. Tumpe hadi kesho saa nne asubuhi asipo itaja basi tujue kwamba yeye hajawahi kufika Dar na aache kujisema eti anaishi /amezaliwa Kawe. Kwa wewe mzaliwa wa Dar au uliekuja Dar muda mrefu kama Mimi au unaejua Back City ni nini naomba usiitaje hadi kesho saa nne asubuhi kama popoma atashindwa kuitaja
Hapo mbagala na mbande na Azam complex chamazi..Achana kabisa na miaka ya tisini. Those were the days.. Ilifika kipindi nikawa najiuliza why am so much possessed by the 90s? Is it because I was still a Lil Bow Wow( a very young boy) or what? But comments sections za nyimbo zilizo kuwa hit miaka ya tisini nchi mbalimbali zimejaa watu wanao share the same obsession about the 90s with me.. Watu walio kuwa watu wazima, walio kuwa vijana na tulio kuwa watoto miaka ya tisini kama akini all share the same feelings about the 90s. The wish feeling range from " Obsession " to possession.
Sasa kama ume miss hiyo energy ya miaka ya tisini, hasa wewe ambae ulikuwa mtoto miaka ya tisini basi hakikisha ilifika siku ya sikukuu ya kiislamu una tembelea Chanika( Chax) au Back City au vyote kwa pamoja.
Chanika na Back City zitakupa the impression of the 90s. I see a lot of the 90s in Chax or Back City whenever I come to visit these places in Islamic holidays.
Watoto wengi mtaani kwa makumi elfu Yao kuanzia watoto wa primary hadi vi teenagers kibao kwenye sehemu za "ki tembelea".You need to feel that kind of energy.. It is a very positive energy being around that kind of atmosphere. in a kufanya uione dunia bado ipo ipo sana na haina mpango wa kuisha any time sooner. This kind of energy huwezi juikuta sehemu nyingine za Dar ( More especially Old Dar es salaam: Sinza, Magomeni, Kinondoni, I lala etc) Mtoto jaiwezi enda disco toto Sinza labda umpeleke Mlimani City kwenye mabembea. Na kwenye mabembea ni vitoto under ten sio teenagers etc..
Back City and Chanika = New Dar Es Salaam
I love Salma ConeWale wa mwanza sikukuu zote za miaka ya 90s tulikuwa tunakutana Salma cone,maisha yalikuwa maisha mpaka nahisi wanangu wa kizazi hiki wanakosa vingi sana😁🔥🔥
Jibu swali Back City ni wapi? We si wa DarAcha kunizoea vibaya 'maku' Wewe sawa?
Hapo mbagala na mbande na Azam complex chamazi..
Nenda Islamic holiday season huto jutia
Ni katika Makalio yako hayo yaliyododa baada ya Kushindiliwa sana.Jibu swali Back City ni wapi? We si wa Dar
Duh hupajui Back City. Kwenu Nansio UkereweNi katika Makalio yako hayo yaliyododa baada ya Kushindiliwa sana.
Umenikumbusha sikukuu tulikuwa tuaenda pale kidongo chekundu (Kwa sasa ni JK YOUTH PARK) na pale ktk bustani ya Mnazi mmoja ktk sanamu linalopiga Ngoma. ODL IS GOLDAchana kabisa na miaka ya tisini. Those were the days.. Ilifika kipindi nikawa najiuliza why am so much possessed by the 90s? Is it because I was still a Lil Bow Wow( a very young boy) or what? But comments sections za nyimbo zilizo kuwa hit miaka ya tisini nchi mbalimbali zimejaa watu wanao share the same obsession about the 90s with me.. Watu walio kuwa watu wazima, walio kuwa vijana na tulio kuwa watoto miaka ya tisini kama akini all share the same feelings about the 90s. The wish feeling range from " Obsession " to possession.
Sasa kama ume miss hiyo energy ya miaka ya tisini, hasa wewe ambae ulikuwa mtoto miaka ya tisini basi hakikisha ilifika siku ya sikukuu ya kiislamu una tembelea Chanika( Chax) au Back City au vyote kwa pamoja.
Chanika na Back City zitakupa the impression of the 90s. I see a lot of the 90s in Chax or Back City whenever I come to visit these places in Islamic holidays.
Watoto wengi mtaani kwa makumi elfu Yao kuanzia watoto wa primary hadi vi teenagers kibao kwenye sehemu za "ki tembelea".You need to feel that kind of energy.. It is a very positive energy being around that kind of atmosphere. in a kufanya uione dunia bado ipo ipo sana na haina mpango wa kuisha any time sooner. This kind of energy huwezi juikuta sehemu nyingine za Dar ( More especially Old Dar es salaam: Sinza, Magomeni, Kinondoni, I lala etc) Mtoto jaiwezi enda disco toto Sinza labda umpeleke Mlimani City kwenye mabembea. Na kwenye mabembea ni vitoto under ten sio teenagers etc..
Back City and Chanika = New Dar Es Salaam
Nilikokuwa nikikuingilia sanaa Nyuma hadi sasa kumebakia wazi kama Bonde la Ufa.Duh hupajui Back City. Kwenu Nansio Ukerewe
BushmanNilikokuwa nikikuingilia sanaa Nyuma hadi sasa kumebakia wazi kama Bonde la Ufa.