Kama umeajiriwa sehemu yoyote shika sana kazi yako hakikisha huipotezi, ukiipoteza utajuta

Kama umeajiriwa sehemu yoyote shika sana kazi yako hakikisha huipotezi, ukiipoteza utajuta

Whatever, tumia hio hip Logic and science kujua kuwa kuna fursa nyingi nje ya ajira (kuajiriwa)!!

Kumbuka, ajira yako ni nzuri sana ila ujue kuna siku itakoma! Siku ikikoma na ukiwa na umri mdogo utafanyeje? Usitegemee mifuko ya hifadhi ya jamii, I lost a friend of mine kwa kusumbuliwa na mfuko mmoja wapo Lapf to be specific. Alikua just 46yrs imagine.

Mungu atusaidie or whatever unaamini....
Hakina asiyependa kutokuajiliwa, mazingira ndio yanapetekea watu wabuni njia zingine,

All in all tupp pamoja mkuu
 
Always hamna urafiki kazini,do your duties and go home no one loves you
Huu msemo una apply kwenye kada fulani fulani tu hasa serikalini mf waalimu, hawa wakunaga urafiki watumishi wengi wanachukiana sana sijui tatizo nini tofauti na kwetu huku wakili msomi popote nikimkuta ni learned brother au sister na sio kinafiki wala kinyonge natoa support.

Ila nimeshuhudia watumishi wa umma hasa waalimu wakinafikiana wazi wazi
 
Sasa km umeajiriwa sehemu na mshahara hupewi ata 3 months na apo apo nauli unajitegemea mwenyewe. Unataka kuniambia ung'ang'anie tu apo kazini kisa unaogopa kuishi bila Kazi?
 
Eeh mzee baba usiombe, ukiwaza unatakiwa uanze kuchoma mahindi stand wakati ulikuwa unarudishwa kibosi na Prado lenye namba SU mtaani kwako basi unaona wacha nitulie kwenye kochi nitafakari cha kufanya kwanza😅 huku wife yeye akiwasha IST yake na kwenda zake Access bank kila panapokuchwa!
😅😅😅 Yaani wewe jamaa huwa ni miongoni mwa wanao jua kuvuta hisia juu ya uhalisia wa maisha yalivyo hasa hapa bongo, mi naenda zangu kwenye kijiwe cha kahawa huku natia stori na wazee wa mtaa tena hapo nina kama chenji chenji nimebakizaga kwenye droo😂
 
Saivi tuhubiri kujiajiri tusiwadangaje watoto

Mtu akishakuwa na hio mentality ya ajira akimaliza chuo hafanyi chochote hata miaka mitano eti anasubili ajira.


Kizazi cha sasa kinabahati sana kuwa internet na social net work unaweza kufanya chochote na MTU yeyote.

Tusiwadanganye watu waamini kwenye kuajiriwa tu na kujiajili.


Tuwaambie kote MTU naweza kutoboa ilimradi awe tough mentally na awe serious
 
😅😅😅 Yaani wewe jamaa huwa ni miongoni mwa wanao jua kuvuta hisia juu ya uhalisia wa maisha yalivyo hasa hapa bongo, mi naenda zangu kwenye kijiwe cha kahawa huku natia stori na wazee wa mtaa tena hapo nina kama chenji chenji nimebakizaga kwenye droo😂
Ha ha ha unajivuta taratibu mpaka kijiweni ku kill time😅
 
Mi nadhani msingi ni kuwa kama umeajiriwa na unajua hiyo kazi ndo inakupa heshima, basi iheshimu hiyo kazi usiidharau na kama unaona haikufai ni vema ukaacha ukaenda kutafuta kazi nyingine au kujiajiri sababu sio wote tutaajiriwa na wala sio wote tutajiajiri.
 
Back
Top Bottom