OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
- Thread starter
- #101
Hakina asiyependa kutokuajiliwa, mazingira ndio yanapetekea watu wabuni njia zingine,Whatever, tumia hio hip Logic and science kujua kuwa kuna fursa nyingi nje ya ajira (kuajiriwa)!!
Kumbuka, ajira yako ni nzuri sana ila ujue kuna siku itakoma! Siku ikikoma na ukiwa na umri mdogo utafanyeje? Usitegemee mifuko ya hifadhi ya jamii, I lost a friend of mine kwa kusumbuliwa na mfuko mmoja wapo Lapf to be specific. Alikua just 46yrs imagine.
Mungu atusaidie or whatever unaamini....
All in all tupp pamoja mkuu