Kama umeajiriwa sehemu yoyote shika sana kazi yako hakikisha huipotezi, ukiipoteza utajuta

Kama umeajiriwa sehemu yoyote shika sana kazi yako hakikisha huipotezi, ukiipoteza utajuta

Sawa Mr Bilionea
Unaogopa kufanya jambo la kujitetea ili maslahi yaongezeke kisa unalinda kibarua, hiyo ni akili au matope? Wewe utaendelea kupigia makofi akina KIBAJAJI huku ukiishi kwenye lindi la ufukara MILELE.
 
Back
Top Bottom