LGE2024 Kama umekuta kituo cha Kuandikisha Wapiga kura hakina Wakala wa Chadema Toa Taarifa kupitia uzi huu, nitafikisha kwa Wahusika

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kwani Tundu Lisu hajalipwa hela zake za fidia za Vodacom?
 
Chadema wanafeli mawakala wamekata tamaa wameacha vituo wazi.
Wanaopokea taarifa za uandikishaji makao makuu Chadema wanakula chips kuku huki mawakala wao wanapiga miayo vituoni
 
Hongera sana kwa kula saa tisa
 
MOROGORO dc taarafa ya matombo kata ya kibogwa kata mzima hamna hata mmoja wa chadema
 
iko wazi chadema inajiendesha kwa mkopo, mtakopa wapi pesa ya kumlisha huyo wakala,

halafu mawakala wa chadema wanaona aibu kichizi sijui kwanini..

nadhani wanajijua kua hawana umuhimu na CCM mbona haina na wala hawababaiki πŸ’
Ccm haibabaiki lakini mmeshaanza figisu zisizohitahijika.
 
Chem Chem, Imbaseny, Maji ya Chai, Arumeru, Arusha. Namuona balozi wa CCM tu. Chadema hawapo πŸ€”
 
Ccm haibabaiki lakini mmeshaanza figisu zisizohitahijika.
Gentleman,
chama kinachojiendesha kwa mkopo kinawezaje kushinda uchaguzi mbele ya chama kinacho jitegemea chenye sera za kuwavutia wananchi wengi zaidi, Lakini pia chenye mipango mikakati madhubuti ya maendeleo kwa wananchi na chenye wafuasi wengi zaidi?πŸ’
 
Sijajua kazi ya mawakala wa vyama. Nilijiandikisha ila sikuona kazi zao. Niliona kuna meza pembeni ya CCM na sikuona kazi Yao!
 
Wakala tangu aambiwe analetewa chakula yamepita masaa manne, mwisho wakala wa chama kingine akawa akiletewa chakula na yeye wanamhesabia kwenye chakula.
 
πŸ™†πŸ½β€β™‚οΈπŸ™†πŸ½β€β™‚οΈπŸ™†πŸ½β€β™‚οΈ nch ngumu sana mm wakala ananisaidia nn n ivi atupo kuchanguwa chama mm nmeenda kujiandaksha kwa kumchanguwa kiongoz ataye tufanyia kaz kwa mtaa wang lakn hz sjui ujamkuta wakala wa chadema ktuon aitusaid vngoz wabongo ndyo wale wale tu leo utamkuta chadema kesho ccm ikijarbu kuchunguza utajua n maslai za watu ivo tu
 
Kwani uongozi wa chama chenu haukuweka mawakala na kukawa na ufuatiliaji hadi sisi wa mitandaoni tuwasaidie? Nitampigia simu katibu mkuu wa CCM tuone tunawasaidiaje.
 
Shemeji kazingua πŸ˜„πŸ˜„
 
Wenzenu wanajipanga na uchaguzi, nyie umlikua mnajipanga na maandamano ona sasa.

Tunawakubali ila ndo hivo mnatuangusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…