LGE2024 Kama umekuta kituo cha Kuandikisha Wapiga kura hakina Wakala wa Chadema Toa Taarifa kupitia uzi huu, nitafikisha kwa Wahusika

LGE2024 Kama umekuta kituo cha Kuandikisha Wapiga kura hakina Wakala wa Chadema Toa Taarifa kupitia uzi huu, nitafikisha kwa Wahusika

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mawakala wengine mpaka wanasusa, ule ubinadamu tu hakuna? Inakuwaje mtu anakuja saa mbili hapati hata chai na anakuja kuletewa chakula tena kidogo sana saa 9 alasiri na hiyo ni Kinondoni huko mikoani Peramiho, Lituhi, Nyasa, Bugarama,Kakola, Kanadi, Ikindilo hali ikoje ? Watu wanataka mabadiliko lakini viongozi sijui ni viongozi wa taifa, mikoa,wilaya au kata ndio wanafanya huu ukatili? Mtu amejitolea kuwa wakala kwanini hapati milo kamili? Refreshments yaani hata maji tu ? Mawakala wa CCM kituo kimoja wapo wanne wanakunywa Supu, maji baridi wwngine soda na juice. Mchana Chipsi na Mishikaki lakini Wakala wa CHADEMA mpaka wanatia huruma midomo imekauka mpaka anatia huruma unatoa sh 2000 anywe hata juice. Kuweni serious aisee, maana Wananchi wana hasira sana na ujinga uliokuwa unafanywa na hawa viongozi wa serikali za mitaa. Wanataka kuwakomesha lakini Wakala hana hata ile morali ya kazi.
Kwani Tundu Lisu hajalipwa hela zake za fidia za Vodacom?
 
Chadema wanafeli mawakala wamekata tamaa wameacha vituo wazi.
Wanaopokea taarifa za uandikishaji makao makuu Chadema wanakula chips kuku huki mawakala wao wanapiga miayo vituoni
 
Mkuu hali sio shwari kabisa nahisi viongozi wa kata na majimbo wanakula hizo hela za posho. Maana kata ya Makumbusho tu hali ni mbaya jana kuna kiongozi wa jimbo alijitolea 22k nashangaa Kiongozi wa kata anapika chakula kwake na kuanza kusambaza kwenye vituo tena saa 9 alasiri hapo Wakala kakaa toka asubuhi hajanywa hata chai. Hiyo ni Makumbusho je huko Uvinza, Luangwa, Msoga hali ikoje?
Haya mambo ni lazima myafanyie u serious sasa kama serikali za mitaa hivi je uchaguzi mkuu utakuwaje?
Hongera sana kwa kula saa tisa
 
Yeyote aliyeona Kwenye Kituo chochote Tanzania labda Hakuna Wakala wa Chadema, Basi atoe Taarifa kupitia Uzi huu (Siyo PM), Mimi nitawasiliana na Viongozi wa Chadema kwa njia mbalimbali na kuwapa Taarifa haraka iwezekanavyo.

Au kama umemkuta Wakala wa Chadema ana shida yoyote kituoni hapa, iwe fedha au Chakula lete Taarifa hapa hapa tutawajulisha Viongozi wake haraka.

Chadema ina zaidi ya Wanachama mil 15 walio hai Nchi Nzima(Kwa mujibu wa Chadema Digital), ,hakuna sababu yoyote ile ya kukosa Wakala popote pale, na wala hakuna sababu yoyote ya Wakala wao kukosa hela au Chakula.

Soma Pia:
Ikumbukwe kwamba hii siyo Special Thread, Ni uzi tu mfupi kwa ajili ya Uchaguzi wa serikali za Mitaa, Na wala kutoa Taarifa kama hizi siyo Kosa Kisheria, hivyo huna haja ya kuogopa chochote, Usikalie Taarifa.

Nakala: Boniface Jackob, Mwenyekiti Kanda ya Pwani
MOROGORO dc taarafa ya matombo kata ya kibogwa kata mzima hamna hata mmoja wa chadema
 
iko wazi chadema inajiendesha kwa mkopo, mtakopa wapi pesa ya kumlisha huyo wakala,

halafu mawakala wa chadema wanaona aibu kichizi sijui kwanini..

nadhani wanajijua kua hawana umuhimu na CCM mbona haina na wala hawababaiki 🐒
Ccm haibabaiki lakini mmeshaanza figisu zisizohitahijika.
 
Chem Chem, Imbaseny, Maji ya Chai, Arumeru, Arusha. Namuona balozi wa CCM tu. Chadema hawapo 🤔
 
Ccm haibabaiki lakini mmeshaanza figisu zisizohitahijika.
Gentleman,
chama kinachojiendesha kwa mkopo kinawezaje kushinda uchaguzi mbele ya chama kinacho jitegemea chenye sera za kuwavutia wananchi wengi zaidi, Lakini pia chenye mipango mikakati madhubuti ya maendeleo kwa wananchi na chenye wafuasi wengi zaidi?🐒
 
Yeyote aliyeona Kwenye Kituo chochote Tanzania labda Hakuna Wakala wa Chadema, Basi atoe Taarifa kupitia Uzi huu (Siyo PM), Mimi nitawasiliana na Viongozi wa Chadema kwa njia mbalimbali na kuwapa Taarifa haraka iwezekanavyo.

Au kama umemkuta Wakala wa Chadema ana shida yoyote kituoni hapa, iwe fedha au Chakula lete Taarifa hapa hapa tutawajulisha Viongozi wake haraka.

Chadema ina zaidi ya Wanachama mil 15 walio hai Nchi Nzima(Kwa mujibu wa Chadema Digital), ,hakuna sababu yoyote ile ya kukosa Wakala popote pale, na wala hakuna sababu yoyote ya Wakala wao kukosa hela au Chakula.

Soma Pia:
Ikumbukwe kwamba hii siyo Special Thread, Ni uzi tu mfupi kwa ajili ya Uchaguzi wa serikali za Mitaa, Na wala kutoa Taarifa kama hizi siyo Kosa Kisheria, hivyo huna haja ya kuogopa chochote, Usikalie Taarifa.

Nakala: Boniface Jackob, Mwenyekiti Kanda ya Pwani
Sijajua kazi ya mawakala wa vyama. Nilijiandikisha ila sikuona kazi zao. Niliona kuna meza pembeni ya CCM na sikuona kazi Yao!
 
Wakala tangu aambiwe analetewa chakula yamepita masaa manne, mwisho wakala wa chama kingine akawa akiletewa chakula na yeye wanamhesabia kwenye chakula.
 
Yeyote aliyeona Kwenye Kituo chochote Tanzania labda Hakuna Wakala wa Chadema, Basi atoe Taarifa kupitia Uzi huu (Siyo PM), Mimi nitawasiliana na Viongozi wa Chadema kwa njia mbalimbali na kuwapa Taarifa haraka iwezekanavyo.

Au kama umemkuta Wakala wa Chadema ana shida yoyote kituoni hapa, iwe fedha au Chakula lete Taarifa hapa hapa tutawajulisha Viongozi wake haraka.

Chadema ina zaidi ya Wanachama mil 15 walio hai Nchi Nzima(Kwa mujibu wa Chadema Digital), ,hakuna sababu yoyote ile ya kukosa Wakala popote pale, na wala hakuna sababu yoyote ya Wakala wao kukosa hela au Chakula.

Soma Pia:
Ikumbukwe kwamba hii siyo Special Thread, Ni uzi tu mfupi kwa ajili ya Uchaguzi wa serikali za Mitaa, Na wala kutoa Taarifa kama hizi siyo Kosa Kisheria, hivyo huna haja ya kuogopa chochote, Usikalie Taarifa.

Nakala: Boniface Jackob, Mwenyekiti Kanda ya Pwani
🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️ nch ngumu sana mm wakala ananisaidia nn n ivi atupo kuchanguwa chama mm nmeenda kujiandaksha kwa kumchanguwa kiongoz ataye tufanyia kaz kwa mtaa wang lakn hz sjui ujamkuta wakala wa chadema ktuon aitusaid vngoz wabongo ndyo wale wale tu leo utamkuta chadema kesho ccm ikijarbu kuchunguza utajua n maslai za watu ivo tu
 
Kwani uongozi wa chama chenu haukuweka mawakala na kukawa na ufuatiliaji hadi sisi wa mitandaoni tuwasaidie? Nitampigia simu katibu mkuu wa CCM tuone tunawasaidiaje.
 
Nimeona kwa macho yangu kabisa wakati na jiandikisha mawakala wa CCM wanaulizwa wale wa ugali ngapi na wale wa wali ngapi!? Nikatania kidogo nami niagize nikaambiwa poa agiza,sema wife akasema tuondoke, la sivyo ningekua peke yangu kipunga cha CCM ninge kipiga live!! CDM hata karibu hawana!!
Shemeji kazingua 😄😄
 
Wenzenu wanajipanga na uchaguzi, nyie umlikua mnajipanga na maandamano ona sasa.

Tunawakubali ila ndo hivo mnatuangusha
 
Back
Top Bottom