UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Asante kwa kutujuza.
[Wewe ulikacha maandamano]
[Wewe ulikacha maandamano]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana tumeleta uzi huuMkuu hali sio shwari kabisa nahisi viongozi wa kata na majimbo wanakula hizo hela za posho. Maana kata ya Makumbusho tu hali ni mbaya jana kuna kiongozi wa jimbo alijitolea 22k nashangaa Kiongozi wa kata anapika chakula kwake na kuanza kusambaza kwenye vituo tena saa 9 alasiri hapo Wakala kakaa toka asubuhi hajanywa hata chai. Hiyo ni Makumbusho je huko Uvinza, Luangwa, Msoga hali ikoje?
Haya mambo ni lazima myafanyie u serious sasa kama serikali za mitaa hivi je uchaguzi mkuu utakuwaje?
Inawahusu mawakala? Sidhani kama ccm tu hawapati poshoKwani Ruzuku ya uchaguzi si imetoka kutoka kwa Msajili!!??
Anzeni kufuatilia kwa ukaribu aisee inawavunja moyo na hakuna Wakala wa Chadema ambaye ni mjinga mjinga lakini wanapitia maisha magumu sana na watu wana upendo na chama lakini wanachokipitia Mimi nakional inasikitisha. Ile kufanikisha jambo lazima gharama zitumike kuna meseji whatsapp nimetumiwa aisee, ikabidi niwaforwadie hao viongozi wa jimbo na kata hata kujibu hakuna. CCM wanajiona wanatupiga bao kwa sababu inaonekana uongozi haujali hata mawakala?Ndio maana tumeleta uzi huu
Anzeni kufuatilia kwa ukaribu aisee inawavunja moyo na hakuna Wakala wa Chadema ambaye ni mjinga mjinga lakini wanapitia maisha magumu sana na watu wana upendo na chama lakini wanachokipitia Mimi nakional inasikitisha. Ile kufanikisha jambo lazima gharama zitumike kuna meseji whatsapp nimetumiwa aisee, ikabidi niwaforwadie hao viongozi wa jimbo na kata hata kujibu hakuna. CCM wanajiona wanatupiga bao kwa sababu inaonekana uongozi haujali hata mawakala?Ndio maana tumeleta uzi huu
Inauma sana Mkuu halafu Mawakala wenye uelewa na elimu ya Secondary na chuo kabisa lakini wanachokipata huko kituoni ni mateso na Vijana ni Wahanga wa huu utawala uliopo ma matumaini yapo kwa Chadema . Wanawakatisha sana tamaa na wanavhekwa tu Vijana na Wazee wasiojielewa Mawakala wa CCMChadema inapeleka mawakala kwenye vituo vya kujiandikisha bila kuwapa hata posho ya chakula mtu anakaa kwanzia Asubuhi hadi jion bila kula chochote huu si ukatili
Nioneshe kituo ambacho CCM hakuna wakala tafadhali.iko wazi chadema inajiendesha kwa mkopo, mtakopa wapi pesa ya kumlisha huyo wakala,
halafu mawakala wa chadema wanaona aibu kichizi sijui kwanini..
nadhani wanajijua kua hawana umuhimu na CCM mbona haina na wala hawababaiki 🐒
jamaa wameingia mitini unafanya mchezo na kuwekwa kuanzia 2 hadi 12 bila walau mlo wa mchanaKwahy uongozi wa Chadema hamna taarifa ya vituo ambavyo hamjapeleka mawakala wenu?
Chadema wanafeli mawakala wamekata tamaa wameacha vituo wazi.Inauma sana Mkuu halafu Mawakala wenye uelewa na elimu ya Secondary na chuo kabisa lakini wanachokipata huko kituoni ni mateso na Vijana ni Wahanga wa huu utawala uliopo ma matumaini yapo kwa Chadema . Wanawakatisha sana tamaa na wanavhekwa tu Vijana na Wazee wasiojielewa Mawakala wa CCM
Hawajafeli bado kama wataamua kuwezesha hata hizi kampeni na kuwasihi mawakala walioapa kurejea vituoni na kuwalipa posho. Yaani uchaguzi ulikuwa ni mwepesi sana lakini wamejichanganya sana kushindwa kuhudumia mawakala ?Chadema wanafeli mawakala wamekata tamaa wameacha vituo wazi.
wameshachemka wameonyesha wazi kwa wananchi wao ni watu wa kutafuna ruzuku pekee hayo ndio malengo yao kama chama na sio kingine kwa watanzaniaHawajafeli bado kama wataamua kuwezesha hata hizi kampeni na kuwasihi mawakala walioapa kurejea vituoni na kuwalipa posho. Yaani uchaguzi ulikuwa ni mwepesi sana lakini wamejichanganya sana kushindwa kuhudumia mawakala ?
hakuna haja wala si muhimu gentleman 🐒Nioneshe kituo ambacho CCM hakuna wakala tafadhali.