Kama umekuwa ukitumia gharama kubwa kwenye vifurushi pitia hapa Kuna solution kwaajili yako ( GB 1 kwa buku tu)

Acha uongo.

Mfano mtu kajiunga hiyo package ya GB35 halafu ndani ya week akamaliza GB zote, unadhani ataendelea kupata Internet?
elewa kitu kimoja mkuu unadhani bando Lita isha mapema kwasababu gani ? Jibu simple kifurushi kutakuwa hakikidhi mahitaji yako hivo mteja kama huyo anapaswa kuangalia up ya matumizi yake na kuweza Kuya track /kuyakadilia ili aweze kujua ni kiasi gani a nahitaji ndani ya mwezi mzima mfano Kuna mtu kwa siku anatumia 800MB ina maana mtu kama huyu ukimpa 1Gb unakuwa umemsaidia especially 1Gb ya kwenye tigo Postpaid mana itam cost Buku badara ya 2000 kwa menu za kawaida

ELEWA KWANZA KABLA HUJAANZA KULETA NEGATIVE ZAKO

 
Uongo wa nn sasa ww boya, mm sitangazi biashara hapa, ni huduma ninayoitumia kila mwezi.
mkuu Hao ndio jini kujua anaropoka asichokijua wala kuki fahamu baada aulize yeye ana jump kwenye conclusion kwakuwa hana uelewa na haja taka kueleweshwa
 
Kufanya kazi fulani kwa miaka 8 au 20 si hoja maana unaweza kuwa unafanya kwa mazoea tu pasipo kuzingatia aina na utofauti wa customer behaviour. Pengine ungejikita zaidi kwenye kufanya sales na kipengele cha marketing ukawaachia wengine wenye uvumilivu stahiki kwa wateja.
 
Uelewa wako na mashaka nao mkuu soma comment ya mdau Kisha nambie wewe ungekuwa mimi kwa hiyo unayoita good customer service unge mjibu vipi ili nipate kujifunza nisichokijua tafdhali
 
Uelewa wako na mashaka nao mkuu soma comment ya mdau Kisha nambie wewe ungekuwa mimi kwa hiyo unayoita good customer service unge mjibu vipi ili nipate kujifunza nisichokijua tafdhali
Hawa ni wale wateja usiopombusu haudumiki.
 
Vinazingua....
 
Umeongea point!
 
Nikilipa sh 30000 kwa huduma data plan, mwezi mwengine nikalipa kiwango hicho hicho lkn kwa combo plan, inawezekana?
 
Nikilipa sh 30000 kwa huduma data plan, mwezi mwengine nikalipa kiwango hicho hicho lkn kwa combo plan, inawezekana?
unapaswa kutoa taaarifa kabla ya tarehe 25 na haipaswi kuwa marq kwa mara mana system inaingiza outomatic kama ilivosetiwa kila tarehe moja
 
NyegereBOY naomba kufahamu hii huduma ya post paid si unalipia baada ya kutumia kifurushi niko dillema vitu viwili
1.Unalipia vifurushi ulivyopst hapo kama hiko Elf 15 Gb 15 data plan n.k
Au
2.Unatumia tu kifurushi mfano GB 7 kulingana na matumizi YAKO unalipia ????
 
Kuna ka udanganyifu flan kako technically kwenye hii huduma.

Hii huduma inaitwa POSTPAID kwamba utumie ndio ulipe baadae. Ukiingalia hivi utaona ni unavutwa kwenye huduma.

Ila ukweli hii ni PREPAID iliyofichwa. Maana ili upate hii huduma utalazimika kutanguliza deposit inayofanana na bei ya kifurushi.

Tuseme unataka uanze January kupata huduma ili uje ulipie mwisho wa January, lakini kabla ya kupata huduma utalazimika kutanguliza deposit.

Sasa January ikiisha utakatwa salio ambalo wao wanasema ndio la huduma ulioitumia January, kumbe ki uhalisia January ulitumia ile deposit yako na unachokatwa mwisho wa January ni kwa ajili ya February (PREPAID).

Pamoja na hiki ni huduma nzuri, ila masharti ya kwamba mpaka umiliki TIN sijui business license ndio siyaelewi
 
huduma ni POST PAID yaani malipo ya baada unapewa kifurushi kisha wewe ndio unakilipia kile kifurushi ulichopewa na kifurushi utakuwa unapewa kila tarehe moja ya kila mwezi nawe utalazimika kulipia hicho kifurushi kadiri uwezavyo kabla ya mwezi kuisha ila sasa aiku ya kwanza unapotaka kujiungq hiki kifurushi kuna malipo utayatoa kama kilinda account yako yanaitwa SECURITY DEPOSIT ambayo yanakuwa na thamani sawa ya kifurushi ulichochagua mfano ukitaka kifurushi cha elfu 15 basi siku ya kwanza kujiunga utapaswa kuwa na SECURITY DEPOSIT ya elfu 15 hii itakaa kwenye account hutoweza kuitoa ila utarudishiwa siku ukijitoq kwenye huduma mkuu

Vifurushi vinaanza shilingi 15,000 mana yake walimkusudiq mtu ambae kwa siku anaweka vocha ya 500 ambayo ukichukua 500 × 30 siku za mwezi unapata 15000 kama wewe matumizi yako ya kujiunga vocha kila siku ni kuanzia 500 huduma inakufaa
 
Sio kweli huduma ni PRE PAID huduma hii ni POST PAID na malipo unayotanguliza huitwa security deposit na hii huwa hainunui kifurushi itakaa kwenye account yako na siku ukijitoq kwenye huduma na ukawa hidaiwi kifurushi basi hiyo security deposit yako itarudi kwenye simu yako kila jambo lina utaratibu na huu ndio utaratibu walio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…