NyegereBOY
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 225
- 328
- Thread starter
- #141
elewa kitu kimoja mkuu unadhani bando Lita isha mapema kwasababu gani ? Jibu simple kifurushi kutakuwa hakikidhi mahitaji yako hivo mteja kama huyo anapaswa kuangalia up ya matumizi yake na kuweza Kuya track /kuyakadilia ili aweze kujua ni kiasi gani a nahitaji ndani ya mwezi mzima mfano Kuna mtu kwa siku anatumia 800MB ina maana mtu kama huyu ukimpa 1Gb unakuwa umemsaidia especially 1Gb ya kwenye tigo Postpaid mana itam cost Buku badara ya 2000 kwa menu za kawaidaAcha uongo.
Mfano mtu kajiunga hiyo package ya GB35 halafu ndani ya week akamaliza GB zote, unadhani ataendelea kupata Internet?
ELEWA KWANZA KABLA HUJAANZA KULETA NEGATIVE ZAKO