Kama umekuwa ukitumia gharama kubwa kwenye vifurushi pitia hapa Kuna solution kwaajili yako ( GB 1 kwa buku tu)

Mkuu, naomba ufafanuzi. Inawezekana kubadilisha aina ya kifurushi ambacho mtu amekichagua?
Ahsante
 
mkuu Hao ndio jini kujua anaropoka asichokijua wala kuki fahamu baada aulize yeye ana jump kwenye conclusion kwakuwa hana uelewa na haja taka kueleweshwa

Usishangae mkuu.

Bin Adamu siku zote huwa tunachukia na kuvipinga /kukataa vitu tusivyovijua au tusi vyokua na Elimu navyo vizuri.

Hii ni nature ya binadamu tupo hivyo.
 
Hii huduma hata tigo shops wanatoa ila mleta mada anasaidia kwa kua wengi kigezo cha leseni ya biashara hawana. Hapo ndio anajua anavyofanya mpaka mtapata hudum
hakuna msada hapo shida ni uwelewa mdogo na ugogoi wa watu..iko ivi ukiwa na TIN kwisha habari na tin ni bure mtandaoni unakata na kufuata taratibu wala hakuna kigumu
 
Hiyo TIN ni lazima iwe ni kwa ajili ya kupatia leseni ya biashara?
 
Hapana unaweza katia leseni ya udereva kufungulia jins la biashara kifupi ina kazi nyingi sanaa manaxni namba ya utambulisho wa mlipa kodi hivo inakazi zaidi ya moja
 
hakuna msada hapo shida ni uwelewa mdogo na ugogoi wa watu..iko ivi ukiwa na TIN kwisha habari na tin ni bure mtandaoni unakata na kufuata taratibu wala hakuna kigumu
leseni ya biashara wataitoa wap tini no bure ndio mlolongo wa kupata leseni mpaka upate tax clarearance sijui kotu gani, cha muhimu helewa apo leseni unatengemezewa za magumashi ila leseni lazima
 
Sio kweli huduma ni PRE PAID huduma hii ni POST PAID na malipo unayotanguliza huitwa security deposit na hii huwa hainunui kifurushi itakaa kwenye account yako na siku ukijitoq kwenye huduma na ukawa hidaiwi kifurushi basi hiyo security deposit yako itarudi kwenye simu yako kila jambo lina utaratibu na huu ndio utaratibu walio
Ukiangalia kwa akili ya kawaida utaona hivyo unavyoona wewe, inahitajika akili ya ziada inayofikiri nje ya box kuweza kuelewa nilichoandika.

Ki uhalisia deposit yako ya security ndio inayonunua kifurushi cha mwezi wa kwanza. Malipo utakayokuja kukatwa wewe utaona ndio umelipia kifurushi kilichopita (POSTPAID) kumbe ki uhalisia ndio unalipia kifurushi cha mwezi wa pili (PREPAID).
 
Habari kaka je hii hali ya kusema muwe watatu na ikitokea wewe umelipa iyo tarehe moja ila wenzako hawajalipa ni kwamba line yako bado itafungwa??
 
Ndiyo.....yaani hutapata huduma inabidi ikifika tu tarehe wote mmeweka salio
 
Duuh basi sijiungi aisee hiyo ngumu
Hapana sio ngumu tunachofanya saiz tunawaunga nisha katika group ambalo wote mtakuwa mnafahsmiana na uaminifu ikitokea mmoja amsesumbu tutamuondoa kwenye hilo kundi
 
wakuu huduma insendelea japo mashart yamebadilishwa kidogo hii isikufanye ukakosa huduma uliza chochote nipo kukujibu
 
Hawa wahuni sana usipo lipia mwezi unaofata wanafunga laini au wanakuwekea bili bora sme ya airtel ni nzuri sana hata usipolipia hawakuwekei bili na hawafungi laini tigo ni wahuni sana
 
Sio kweli mkuu ya AIRTEL sio post paid ni pre paid wao wanachofanya ni kuwezesha menu tu kwenye laini yako ila hii ya kwetu TIGO/ZANTEL ni post paid kwakuwa unakopeshwa salio kisha wewe unapaswa kulipia hivo inapotokea hujalipia na huduma ulipewa ndio wanazuia na kumbuka post paid unaweza kuilipiq hata kidogo kidogo huku ukiwa unapata huduma ila Pre paid haiwezekan inamaana kama huduma inasaidia kuokoa gharama zako utailipia
 
Maneno mengi hoja sifuri
 
Kwa hiyo unakataa kuwa tigo hawa zimi laini na kukuekea bili?
 
Mkuu hebu elewa ndio maana nikakuwekea maelezo na nakuwekea bold uelewe wanakuzimia kwakuwa hujalipa hela yao hivo ukilipa hela unafunguliwa na kuendelea na huduma yao hivo wewe kwa tafsiri nyepesi
hupaswi kupewa huduma kama hii kwakuwa unawaza kutumia huduma ya watu bila kuweza kulipia wale wanaolipia huwezi kuta wanalalamika kwa ishu kama ulio address hapo wewe
 
Sawa mkuu kwanza mimi now nipo vodacom supakasi napata raha skuiz kupimiwa bando ni ushamba
 
Back
Top Bottom