Board member
Senior Member
- Sep 24, 2021
- 107
- 248
Mkuu, naomba ufafanuzi. Inawezekana kubadilisha aina ya kifurushi ambacho mtu amekichagua?
Ahsante
Ahsante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu inawezekana inaitwa UPGRADE PACKAGEMkuu, naomba ufafanuzi. Inawezekana kubadilisha aina ya kifurushi ambacho mtu amekichagua?
Ahsante
mkuu Hao ndio jini kujua anaropoka asichokijua wala kuki fahamu baada aulize yeye ana jump kwenye conclusion kwakuwa hana uelewa na haja taka kueleweshwa
hakuna msada hapo shida ni uwelewa mdogo na ugogoi wa watu..iko ivi ukiwa na TIN kwisha habari na tin ni bure mtandaoni unakata na kufuata taratibu wala hakuna kigumuHii huduma hata tigo shops wanatoa ila mleta mada anasaidia kwa kua wengi kigezo cha leseni ya biashara hawana. Hapo ndio anajua anavyofanya mpaka mtapata hudum
Hiyo TIN ni lazima iwe ni kwa ajili ya kupatia leseni ya biashara?hakuna msada hapo shida ni uwelewa mdogo na ugogoi wa watu..iko ivi ukiwa na TIN kwisha habari na tin ni bure mtandaoni unakata na kufuata taratibu wala hakuna kigumu
Hapana unaweza katia leseni ya udereva kufungulia jins la biashara kifupi ina kazi nyingi sanaa manaxni namba ya utambulisho wa mlipa kodi hivo inakazi zaidi ya mojaHiyo TIN ni lazima iwe ni kwa ajili ya kupatia leseni ya biashara?
eeh ni tin ya biashara mkuuHiyo TIN ni lazima iwe ni kwa ajili ya kupatia leseni ya biashara?
leseni ya biashara wataitoa wap tini no bure ndio mlolongo wa kupata leseni mpaka upate tax clarearance sijui kotu gani, cha muhimu helewa apo leseni unatengemezewa za magumashi ila leseni lazimahakuna msada hapo shida ni uwelewa mdogo na ugogoi wa watu..iko ivi ukiwa na TIN kwisha habari na tin ni bure mtandaoni unakata na kufuata taratibu wala hakuna kigumu
Ukiangalia kwa akili ya kawaida utaona hivyo unavyoona wewe, inahitajika akili ya ziada inayofikiri nje ya box kuweza kuelewa nilichoandika.Sio kweli huduma ni PRE PAID huduma hii ni POST PAID na malipo unayotanguliza huitwa security deposit na hii huwa hainunui kifurushi itakaa kwenye account yako na siku ukijitoq kwenye huduma na ukawa hidaiwi kifurushi basi hiyo security deposit yako itarudi kwenye simu yako kila jambo lina utaratibu na huu ndio utaratibu walio
Ndiyo.....yaani hutapata huduma inabidi ikifika tu tarehe wote mmeweka salioHabari kaka je hii hali ya kusema muwe watatu na ikitokea wewe umelipa iyo tarehe moja ila wenzako hawajalipa ni kwamba line yako bado itafungwa??
Duuh basi sijiungi aisee hiyo ngumuNdiyo.....yaani hutapata huduma inabidi ikifika tu tarehe wote mmeweka salio
Hapana sio ngumu tunachofanya saiz tunawaunga nisha katika group ambalo wote mtakuwa mnafahsmiana na uaminifu ikitokea mmoja amsesumbu tutamuondoa kwenye hilo kundiDuuh basi sijiungi aisee hiyo ngumu
Sio kweli mkuu ya AIRTEL sio post paid ni pre paid wao wanachofanya ni kuwezesha menu tu kwenye laini yako ila hii ya kwetu TIGO/ZANTEL ni post paid kwakuwa unakopeshwa salio kisha wewe unapaswa kulipia hivo inapotokea hujalipia na huduma ulipewa ndio wanazuia na kumbuka post paid unaweza kuilipiq hata kidogo kidogo huku ukiwa unapata huduma ila Pre paid haiwezekan inamaana kama huduma inasaidia kuokoa gharama zako utailipiaHawa wahuni sana usipo lipia mwezi unaofata wanafunga laini au wanakuwekea bili bora sme ya airtel ni nzuri sana hata usipolipia hawakuwekei bili na hawafungi laini tigo ni wahuni sana
Maneno mengi hoja sifuriSio kweli mkuu ya AIRTEL sio post paid ni pre paid wao wanachofanya ni kuwezesha menu tu kwenye laini yako ila hii ya kwetu TIGO/ZANTEL ni post paid kwakuwa unakopeshwa salio kisha wewe unapaswa kulipia hivo inapotokea hujalipia na huduma ulipewa ndio wanazuia na kumbuka post paid unaweza kuilipiq hata kidogo kidogo huku ukiwa unapata huduma ila Pre paid haiwezekan inamaana kama huduma inasaidia kuokoa gharama zako utailipia
Kwa hiyo unakataa kuwa tigo hawa zimi laini na kukuekea bili?Sio kweli mkuu ya AIRTEL sio post paid ni pre paid wao wanachofanya ni kuwezesha menu tu kwenye laini yako ila hii ya kwetu TIGO/ZANTEL ni post paid kwakuwa unakopeshwa salio kisha wewe unapaswa kulipia hivo inapotokea hujalipia na huduma ulipewa ndio wanazuia na kumbuka post paid unaweza kuilipiq hata kidogo kidogo huku ukiwa unapata huduma ila Pre paid haiwezekan inamaana kama huduma inasaidia kuokoa gharama zako utailipia
Mkuu hebu elewa ndio maana nikakuwekea maelezo na nakuwekea bold uelewe wanakuzimia kwakuwa hujalipa hela yao hivo ukilipa hela unafunguliwa na kuendelea na huduma yao hivo wewe kwa tafsiri nyepesiKwa hiyo unakataa kuwa tigo hawa zimi laini na kukuekea bili?
Sawa mkuu kwanza mimi now nipo vodacom supakasi napata raha skuiz kupimiwa bando ni ushambaMkuu hebu elewa ndio maana nikakuwekea maelezo na nakuwekea bold uelewe wanakuzimia kwakuwa hujalipa hela yao hivo ukilipa hela unafunguliwa na kuendelea na huduma yao hivo wewe kwa tafsiri nyepesi
hupaswi kupewa huduma kama hii kwakuwa unawaza kutumia huduma ya watu bila kuweza kulipia wale wanaolipia huwezi kuta wanalalamika kwa ishu kama ulio address hapo wewe