binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Hii inaitwa i'have no ex, tukiachana we are done!Uzuri wangu mm tukiachana nakuchukulia kama umekufa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inaitwa i'have no ex, tukiachana we are done!Uzuri wangu mm tukiachana nakuchukulia kama umekufa.
Dunia ina watu billion 7 mkuu, kwanini tuachane halafu nikupe tunda? Si ex tu mie siwezi tembea na Shemeji, au mtu yeyote aliyewahi kuwa karibu na mwanaume wangu wasasa au wazamani.Wewe huwezi mpa tunda Ex wako?
🤣Best hebu naomba nitafsirie mbegeres ni msamiati mpya kwangu.
One in a million, atleast wewe umekiri kabisa huwezi tembea na EX lakni unaweza switch mtu kitu ambacho ni kawaida.Dunia ina watu billion 7 mkuu, kwanini tuachane halafu nikupe tunda? Si ex tu mie siwezi tembea na Shemeji, au mtu yeyote aliyewahi kuwa karibu na mwanaume wangu wasasa au wazamani.
Nina dhambi zangu na hii si mojawapo.
Kwa nini unachuki binafsi na wanawake? Je umefanya uchunguzi na upande wa pili wa wanaume?Kwako ndugu yangu uliye oa hao ndio maadui zako.
Best namtafuta mtoto wa mtu mmoja tu tutoane 🤔Hahahahahaha Best wewe unatoka na nani?
Hao wanawake wa kuolewa na bado mnajipigia mnawaokoteaga wapi?Ex wangu kaolewa na najipigia tu nitakavyo